Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukampokee mjomba Nyani Ngabu hatuna namna🥲🥲🥲Dada Joannah huna rafiki tukampokee airport tuambulie hata ipod 😥
Ndiyo hao wamepelekwa kwao guatemala!?Trump ameanza na wale waliokuwa waanaalndamana kupinga vita israel
Hili zee sio poa
😹 Jamani.!!Tukampokee mjomba Nyani Ngabu hatuna namna🥲🥲🥲
We lazima utakuwa na greencard mbona huna wasiwasi kabisa?Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.
Sasa hapo uchokozi umekujaje mtu kumpokea anko wake?mwenda kwao si mtoro akifika nampoza na kakinywaji hako keshokutwa haoooo safari ya Magu😹 Jamani.!!
Kwani kakwambia yeye ni mmojawapo?
Dada mbona mchokozi jamani 😥
Kilimo mwaka huu kitakuwa chepesi sana😂Wawahi kurudi kabla mvua hazijakata watusaidie kilimo 😹😹🤣🤣
😹😹😹 Wewe wa kupigwa kabisaaa..!!Sasa hapo uchokozi umekujaje mtu kumpokea anko wake?mwenda kwao si mtoro akifika nampoza na kakinywaji hako keshokutwa haoooo safari ya Magu
Yupo hapa kachanganyikiwa Hadi ndevu anapaka Kiwi.
Mno nguvu kazi inarejea, hata uchaguzi utanoga wapiga kura tutakuwa wengi..!!Kilimo mwaka huu kitakuwa chepesi sana😂
Kunipiga ni kunionea😂😹😹😹 Wewe wa kupigwa kabisaaa..!!
Sis ka divai 😋😋😻
Mwamba mwambaaa, Mwamba wen ye imara.WareeeteeeTrump ameanza na wale waliokuwa waanaalndamana kupinga vita israel
Hili zee sio poa
Usinivunje mbavu kilimo hiki hiki cha majembe butu yenye mipini mifupi?! Au cha matrekta?Kilimo mwaka huu kitakuwa chepesi sana😂