Tuwaombee Diaspora (undocumented) wanapakiwa kwenye madege ya kesho kurejeshwa kwao

Tuwaombee Diaspora (undocumented) wanapakiwa kwenye madege ya kesho kurejeshwa kwao

Mno nguvu kazi inarejea, hata uchaguzi utanoga wapiga kura tutakuwa wengi..!!

Mange nae arudi aje tuandamanie huku 😹😹
Na nyumba yake nasikia ni majivu huko santa Monica aje tu sisi hatuna ubaya tutawapokea ni wetu hatuna pa kuwapaleka😂
 
Usinivunje mbavu kilimo hiki hiki cha majembe butu yenye mipini mifupi?! Au cha matrekta?
Kule kwetu usukumani tunasema mgoe,kila mtu na jembe lake ila tunavamia shamba la mmoja,kesho tunahamia la mwingine...sasa wakirudi na hao wa huko mambo yatakuwa bambam
 
😹😹😹 Aje akojoe huku huku uswekeni..!!
😂😂😂maana anapendaga kututetemesha sana eti niliamka kukojoa shenyang kabisa sasa tutakuwa tunashinda wote tunaamka kukojoa wote
 
Kule kwetu usukumani tunasema mgoe,kila mtu na jembe lake ila tunavamia shamba la mmoja,kesho tunahamia la mwingine...sasa wakirudi na hao wa huko mambo yatakuwa bambam
Wataweza kuamka saa tisa usiku na simu umeifunga kwenye kimfuko chepesi cha rambo,unalima kwa mwanga wa simu .We thubutuuu.
 
😂😂😂maana anapendaga kututetemesha sana eti niliamka kukojoa shenyang kabisa sasa tutakuwa tunashinda wote tunaamka kukojoa wote
Vibabu vya kizungu itabidi akavitege Cape town 😹😹
 
Umeandika km dada mcheza kanga moko, hao wanatafuta maisha tu kama hawafanyi uhalifu yeye huyu Tundu Lissu wa Us inamuhusu nini.
Kuna janga kubwa la moto huko L.A. Anatakiwa afanye kazi huko.
Ye mara yuko Ukraine, mara mashoga , mara Warudi kwao wahamiaji haramu.
Kuna mambo 500 ya kushughulika nayo zaidi ya hizo petty issue
Ye mwenyewe mu-IRISH.
What a dumb president.
USA has no nation, wote wahamiaji na ndo mana kuna Green Card.
 
Wataweza kuamka saa tisa usiku na simu umeifunga kwenye kimfuko chepesi cha rambo,unalima kwa mwanga wa simu .We thubutuuu.
🤣🤣🤣🤣🤣kha watazingua sana
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
1. Ndugu zetu Diaspora kimewaka tayari. Mzee hataki utani anawapakia kwenye madege ya kukodi na kuwarejesha makwao.

2. Waziri Mambo ya nje TZ hawezi kuongea na viongozi wenzake huko? Nyani Ngabu
Mtoto mtembezi?

Atakula miguu yake
 
Back
Top Bottom