Mimi nipo USA miaka 25 ulizeni kabla ya kukurupuka!1. Ndugu zetu Diaspora kimewaka tayari. Mzee hataki utani anawapakia kwenye madege ya kukodi na kuwarejesha makwao.
2. Waziri Mambo ya nje TZ hawezi kuongea na viongozi wenzake huko? Nyani Ngabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nipo USA miaka 25 ulizeni kabla ya kukurupuka!1. Ndugu zetu Diaspora kimewaka tayari. Mzee hataki utani anawapakia kwenye madege ya kukodi na kuwarejesha makwao.
2. Waziri Mambo ya nje TZ hawezi kuongea na viongozi wenzake huko? Nyani Ngabu
SawaKila mtu akajenge Nchi yake, au akae Nchi ya watu kwa kufuata taratibu