Tuwaombee Diaspora (undocumented) wanapakiwa kwenye madege ya kesho kurejeshwa kwao

Amepata zuio la mahakama kwa baadhi ya states.
 
😹 Jamani.!!
Kwani kakwambia yeye ni mmojawapo?
Dada mbona mchokozi jamani πŸ˜₯
Sasa hapo uchokozi umekujaje mtu kumpokea anko wake?mwenda kwao si mtoro akifika nampoza na kakinywaji hako keshokutwa haoooo safari ya Magu
 
Attachments

  • 20250125_222918.jpg
    280 KB · Views: 1
Sasa hapo uchokozi umekujaje mtu kumpokea anko wake?mwenda kwao si mtoro akifika nampoza na kakinywaji hako keshokutwa haoooo safari ya Magu
😹😹😹 Wewe wa kupigwa kabisaaa..!!
Sis ka divai πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…