K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 7,823 Reaction score 10,857 Jan 26, 2025 #81 Andrew123 said: 1. Ndugu zetu Diaspora kimewaka tayari. Mzee hataki utani anawapakia kwenye madege ya kukodi na kuwarejesha makwao. 2. Waziri Mambo ya nje TZ hawezi kuongea na viongozi wenzake huko? Nyani Ngabu Click to expand... Mimi nipo USA miaka 25 ulizeni kabla ya kukurupuka!
Andrew123 said: 1. Ndugu zetu Diaspora kimewaka tayari. Mzee hataki utani anawapakia kwenye madege ya kukodi na kuwarejesha makwao. 2. Waziri Mambo ya nje TZ hawezi kuongea na viongozi wenzake huko? Nyani Ngabu Click to expand... Mimi nipo USA miaka 25 ulizeni kabla ya kukurupuka!
M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Jan 26, 2025 #82 Chuma kimeanza na moto
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 1,748 Reaction score 3,229 Jan 26, 2025 #83 Kila mtu akajenge Nchi yake, au akae Nchi ya watu kwa kufuata taratibu
M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Jan 26, 2025 #84 The mission 2017 said: Kila mtu akajenge Nchi yake, au akae Nchi ya watu kwa kufuata taratibu Click to expand... Sawa
The mission 2017 said: Kila mtu akajenge Nchi yake, au akae Nchi ya watu kwa kufuata taratibu Click to expand... Sawa
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Jan 26, 2025 #85 Hawa nyang'au ndio huwa wanamchangia Lissu, kama walienda kiharamu wafikie Segerea
M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Jan 26, 2025 #86 Air Tanzania vichwa hivyo