mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Huu mwezi nimekuwa Malawi mara kadhaa nimejifunza vitu vingi huku ila ukweli Malawi hali ni mbaya . Thamani ya pesa Yao imeshuka kuliko kawaida, kuna njaaa Maeneo mengi na majanga , bidhaa huku zinauzwa bei nafuu sana lakini mwananchi wa kawaida hawezi Bado kujipambania, tuwaombee hawa wenzetu, huu kwao ni mtihani hakuna ambaye yupo happy kuishi Malawi kwa sasa