kizaizai
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 5,651
- 6,966
Tunapata viongozi kimasihara,....kama masiahara vile machawa ndio wala vinono vya nchi.Haya yote yanatokana na kula tunda kimasihara, wanazaliwa watu kimasihara halafu wanaishi kimasihara huku wakifanya mambo ya masihara. Mpaka tuache kufanya mambo kimasihara ndiyo nchi itanyooka. Masihara mpaka kwenye mambo yasiyohitaji masihara matokeo yake ni kuishi kimasihara katika nchi ya masihara