mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Huu ni umbea kama umbea mwingine. Thamani ya pesa yao unashuka against fedha gani kama kwacha moja kwa leo ni shilingi 1.5 ya Tanzania.Huu mwezi nimekuwa Malawi mara kadhaa nimejifunza vitu vingi huku ila ukweli Malawi hali ni mbaya . Thamani ya pesa Yao imeshuka kuliko kawaida, kuna njaaa Maeneo mengi na majanga , bidhaa huku zinauzwa bei nafuu sana lakini mwananchi wa kawaida hawezi Bado kujipambania, tuwaombee hawa wenzetu, huu kwao ni mtihani hakuna ambaye yupo happy kuishi Malawi kwa sasa
Aise malawi na zambia wapo motoni maisha ya hovyo kabisaHuu mwezi nimekuwa Malawi mara kadhaa nimejifunza vitu vingi huku ila ukweli Malawi hali ni mbaya . Thamani ya pesa Yao imeshuka kuliko kawaida, kuna njaaa Maeneo mengi na majanga , bidhaa huku zinauzwa bei nafuu sana lakini mwananchi wa kawaida hawezi Bado kujipambania, tuwaombee hawa wenzetu, huu kwao ni mtihani hakuna ambaye yupo happy kuishi Malawi kwa sasa
Tanzania tuko vizuri sanaa kuliko Malawi au ni yale yale kasoro watanzania wamezoea umasikini na ni wavumilivu, neenda vijijini ujionee umasikini wa Tanzania dar isukudanganye.Huu mwezi nimekuwa Malawi mara kadhaa nimejifunza vitu vingi huku ila ukweli Malawi hali ni mbaya . Thamani ya pesa Yao imeshuka kuliko kawaida, kuna njaaa Maeneo mengi na majanga , bidhaa huku zinauzwa bei nafuu sana lakini mwananchi wa kawaida hawezi Bado kujipambania, tuwaombee hawa wenzetu, huu kwao ni mtihani hakuna ambaye yupo happy kuishi Malawi kwa sasa
Kanywe soda kwa mangi nalipa mimi.Maombi hayabadilishi maisha duni bali,kazi,juhudi na maarifa.
Huu ndiyo ukweli mchungu.Maombi hayabadilishi maisha duni bali,kazi,juhudi na maarifa.
Ha ha ha nimejikuta nachekaKanywe soda kwa mangi nalipa mimi.
Kipi kikuchekeshachoHa ha ha nimejikuta nacheka
Kote hali ni mbaya sana ila Malawi wamekuwa Wana hali mbayaLabda ungesema Zambia lakini Malawi hapana.
Zambia wana badili new bank notes mwezi machi mwaka huu kukabiliana na inflation, Kule hali ni mbaya.
Damu ya Dr Saulos Chilima inawatandika mpaka watubu na wahakukishe Dr Chakwera anaondoka wqlinogewa na kiingereza chake kizuri na hotuba za kichungaji na motivation za kimaskini zinawatafunaHuu mwezi nimekuwa Malawi mara kadhaa nimejifunza vitu vingi huku ila ukweli Malawi hali ni mbaya . Thamani ya pesa Yao imeshuka kuliko kawaida, kuna njaaa Maeneo mengi na majanga , bidhaa huku zinauzwa bei nafuu sana lakini mwananchi wa kawaida hawezi Bado kujipambania, tuwaombee hawa wenzetu, huu kwao ni mtihani hakuna ambaye yupo happy kuishi Malawi kwa sasa
Huu mwezi nimekuwa Malawi mara kadhaa nimejifunza vitu vingi huku ila ukweli Malawi hali ni mbaya . Thamani ya pesa Yao imeshuka kuliko kawaida, kuna njaaa Maeneo mengi na majanga , bidhaa huku zinauzwa bei nafuu sana lakini mwananchi wa kawaida hawezi Bado kujipambania, tuwaombee hawa wenzetu, huu kwao ni mtihani hakuna ambaye yupo happy kuishi Malawi kwa sasa
Maombi hayana msaada , ila ukweli hard work inalipa ikambatanishwa na bahatiKipi kikuchekeshacho