Tuwaombee Malawi hali yao kiuchumi ni mbaya sana

Tunapata viongozi kimasihara,....kama masiahara vile machawa ndio wala vinono vya nchi.
 
Burundi kuna hadi kodi ya kuendesha baskeli.
Aseee ndio maana warundi wanakimbilia sana Tanzania. Na wakifika bongo wanajiita waha

Ila sina tatizo nao , cha msingi wapambanie life yao maana kiuhalisia ni watu cool na wana upendo kwa watanzania kama ndugu
 
hawa si walikubali kupigwa dushe ili watunzwe au ndoa yao na mabeberu imekufa?
 
kwani bongo maisha yenu mazuri mpaka muwaonee huruma wenzenu? maisha ya bongo kuna maeneo hasa huko vijijini huwezi kuamini hizo ngonjera za eti sijui nani anaupiga mwingi.
 
Ni mara nyingi nimekuwa nikipita barabara ya dom babati hapakuwa na ukaguzi wa wahamiaji haramu, ila kama miezi 3 nyuma nimenot pale mtungutu wanasimamisha gari, uhamiaji wanakagua wahamiaji haramu na hii ni wakati wa kwenda babati tu, ukiwa unatokea babati hawakagui! (Naongelea private car) kwa bus sina uhakika. Nikiunganisha na habari hii naamini kbs nchi za kusini wanakimbia nchi zao na kuingingia tz.
 
Thamani ya fesha ya Malawi leo ni kuwa; ukiwa Tsh 1, unapewa Kwacha 0.66. Hiyo ni kisema thamani Tsh iko chini. Sasa tunawahurumia kwa vigezo gani?
 
Malawi hali mbaya kuliko maelezo $1 ni kwacha 4100, kwacha 1000 sawa na shilingi 600.
 
Ninawashauri wanaotaka kuchangia Post hii waitembelee Malawi kupitia AZAM TV chaneli 380 MBC, 381 TTV, 382 Zodiac, 383 Mibawa, 384 MBC2 na nyinginezo ili tupate uhalisia wa hali ilivyo, chakuambiwa ongeza na ........ .
 
Labda ungesema Zambia lakini Malawi hapana.
Zambia wana badili new bank notes mwezi machi mwaka huu kukabiliana na inflation, Kule hali ni mbaya.
Huku tz tunabadili saini ya noti,hali mbaya sana
 
Inabidi tuwasaidie kwakuwa miaka ya 79s mwishoni au 80s mwanzoni waliisaidia Tanzania kwa chakula pamoja na kuwa tulitoka kwenye mgogoro wa mipaka
 
Halafu Bashe anazuia kuwauzia mahindi hawa ndugu zetu aisee
 
Wamatumbi bwana,sasa wewe na MALAWI mnapishana nini.Kweli nyani haoni kundule.
 

Attachments

  • Screenshot_2025-02-12-11-51-01-490_com.google.android.googlequicksearchbox-edit.jpg
    185 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…