Nakubaliana na wewe 100%, wanasiasa Sasa wanafanya propaganda kupumbaza watanzania ili wasahau kwamba kilichotokea kuhusu mauaji ya watanzania sio kitu.Tanganyika ile tuliyoijua tuliipoteza October 29, wengine hawawezi kuelewa kwa sasa ila baada ya miaka 2 mbele sote tutakuwepo hapa kama mashahidi kuona madhara ya visasi vya kisiasa kutokana na kikundi kidogo cha watu kulazimisha kutawala wakati hawatakiwi.
huenda unasikitika kutumia vpn wakati hakuna haja ya kufanya hivyoNi masikitiko!
Jamani mbona shemeji Smart hana shida na siku hizi anaandika sentence ndefu ndefu, kuna mmoja mjinga mjinga ID yake ni ya zamani nikiikumbuka iβll bring it peopleβs attention.Sahihi kabisa Kuna mmoja anajiita smart98 huyo ni kama sigara Kali, yana anawashwa pande zote mbili.
Huyo jamaa ni kama panya yani anang'ata na kupuliza.
Huyo Mahondaw wake atakua anamjua vizuri
Uwe wa muda mrefuNi vigezo gani niwe navyo ili kuwa platnum member?
Kwani kuwa Platinum Member Kuna kupigiwa kura?Na mimi mnipigie kura sasa ili niwe Platinum Member. Umri unazidi kwenda! Nimechoka kuwa Jamii Expert Member.
Huyo shemeji Yako ni panya wa usiku.Jamani mbona shemeji Smart hana shida na siku hizi anaandika sentence ndefu ndefu, kuna mmoja mjinga mjinga ID yake ni ya zamani nikiikumbuka iβll bring it peopleβs attention.
Mimi nipo tangu 2013, ni miaka 12 Sasa.
Bado haitoshi?
Huyo namheshimu sababu ya umri mkubwa tu ila hana msimamo.Pascal Mayalla itakuwa vibaya kama hata huyu ndugu yangu sija mtag hapa, maana mchango wake katika uwandishi unaonekana
Kila mtu yupo hapa sababu ya maslai binafsi, kila mtu anaamini katika upande wake ambao huo upande, mtu mwingine hauwamini na anaona hauko sawaHuyo namheshimu sababu ya umri mkubwa tu ila hana msimamo.
Uongozi wa kifisadi anatamani na harakati za ukombozi anatamani.
Mtu wa namna hiyo tumuitaje?
Wengine tupo hapa kwa maslahi ya Taifa, hatuna vyama Wala itikadi za kisiasa, kidini, kikabila n.k ila tunapenda nchi yetu isiwe na utekaji, mauaji, ufisadi n.kKila mtu yupo hapa sababu ya maslai binafsi, kila mtu anaamini katika upande wake ambao huo upande, mtu mwingine hauwamini na anaona hauko sawa
Wapo pia new members walio toa mchango wenye maana sana.Wewe ni mbaguzi na hujatenda haki
kwahiyo ni platinum members tu waliotoa michango kulaani mauaji ya 29oct?
Ni invisible ndiye aliyekuwa na kauli hiyo, siyo invincible."Ficha upumbavu wako, onyesha hekma yako". - Enzi za Invincible ndio Moderator humu. π
"JF, The Home of Great Thinkers"
"JF, Where we dare to talk openly"
Usihofu utakua Diamond platnum!Ngoja tu, nami siku moja nitakuwa platinum member kama weee π.
Ni invisible ndiye aliyekuwa na kauli hiyo, siyo invincible.
Hahaha π.Usihofu utakua Diamond platnum!
Ili hayo maslai ya wengi yawepo ni lazima kuwe na maslai binafsi. Binadamu tuna utofauti baina ya mtu mmoja na mwingine. Kuna mwingine yeye maslai ya wengi ni muhimu kwake, na mwingine ubinafsi ni muhimu kwake vilevileWengine tupo hapa kwa maslahi ya Taifa, hatuna vyama Wala itikadi za kisiasa, kidini, kikabila n.k ila tunapenda nchi yetu isiwe na utekaji, mauaji, ufisadi n.k
Je hayo pia ni maslahi binafsi?