Tuwataje "100 Greatest Tanzanian of all time"

TOP 15 yangu ambao hawajatajwa kabisa
1. Jenerali Ulimwengu
2. Richard Mabala
3. Rugemalira Mutahaba
4. Samwel Sitta
5. Mohammed Dewji
6. Muhammed Said Abdulla
7. John Kaduma
8.John Msimbe Simbamwene
9. Aristablis Elvis Musiba
10.Maria Tsehai Sarungi
11. Hussein Tuwa
12. Prof. Joyce Ndalichako
13. Asha Baraka
14. Kelvin Twisa
15. Happiness Magese
 
Asante umefanya nimfahamu zaidi, kwa mara ya kwanza nilimsikia kwa Masoud Masoud TBC Taifa.
 
Statesman,
Mimi nimeshawaandika wale niwajuao sasa ni zamu ya wengine na wao
wakatupatia majina ya wale ambao hawajatajwa.
Nimerejea tena baada ya kufanya tafakuri na kwenda nyuma katika kumbukumbu
zangu za udogo nikikua katika mitaa ya Kariakoo.

Naamini si wengi wanaomfahamu Rashid Sisso.

Lakini endapo Mwalimu Julius Nyerere angejaaliwa kuandika historia ya maisha
yake pale alipoanza siasa Dar es Salaam baada ya TANU kuundwa, atake asitake
lazima angetueleza Rashid Sisso alikuwa nani kwake na kwa TANU.

Baa ya TANU kuundwa mwaka wa 1954 kilijitokeza kikundi cha vijana wa mjini
waliomuunga mkono Nyerere kwa kujitolea nafsi zao.

Mmoja katika hawa alikuwa Rashid Sisso.
Lile ambalo lingempata Nyerere basi Sisso lisingemkosa.

Hebu jiulize katika picha hiyo ya watu wakubwa sana Nyerere, Kamuzu Banda,
Kaluta Amri Abeid Sisso
inakuwaje awe katikati ya miamba hii?

 
hauko serious mkuu
 
Mtikila
Khadija Kopa
Seif Shariff Hamad
Kadinali Rugambwa
Mufti Hemed bin Jumaa bin Hemed
Ruge Mutahaba
Mzee Jangala
Mzee Majuto
Zamoyoni Mogella
Sunday Manara Computer
Tundu Antipass Lissu
Zitto Kabwe
Captain John Komba
Kanumba
Benny Mtobwa [Kikosi cha Kisasi, Kikokomo, Njama]
 
Statesmann,
[/QUOTE]
101.Mizengo Peter Pinda.
102.
Ni kweli,katika hili ni wazi Wizara husika ilichukue hoja na mawazo yetu kama pilot study ya elimu kuhusu Uzalendo.
 
So far,
1. Nyerere - Baba wa taifa.

2. Okello - Kufanikisha Mapinduzi.

3. Karume - Baba mwenza wa taifa.

4. Moringe Sokoine - the most outstanding waziri mkuu.

5. Dk. Slaa - Revolutionized siasa za upinzani.

6. Sitti Binti Sa'ad na Bi. Kidude (not sure of the Spelling)- Magwiji mziki wa mwambao.

7. Mkapa - kuiingiza Tanzania kwenye ubepari (achana na Mwinyi) na Infrastructures.
8. S.S Bakhresa - Kabadili sana maisha ya mijini kwa product zake.

9. Dk. Mengi - His touch in media and manufacturing industry.

10. P - Funk Majani - You all know him.

11. Miriam Odemba - Opened the way for Tz international models.

12. Diamond Naseeb - Revolutionized Tz music to what it is right now.

13. Lady Jay D - The real female GOAT in Bongo flavor.

14. Ruge Mutahaba - Media, Music and Motivation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…