#COVID19 Tuwatambue wanaohujumu vita dhidi ya Covid-19 nchini

Huyu jamaa anaipambania Corona sijapata kuona,ikitokea dunia nzima Corona iishe,itamuuma Sana,maana post zake nyingine ni corona.
Na bahati mbaya anachokitamani kitokee Tanzania kamwe hakitatokea.
Anaitumia corona kufikisha hisia zake za kisiasa tu hivyo si lazima atumie corona, mwaka jana wakati wa uchaguzi aliachana na habari za corona na kumtumia Lissu. Hivyo usione anaizungumzia corona kutwa ukafikiri anajali afya.
 
Imagine mtu ameamka hana hata senti mfukoni, familia hajui itakulaje, ada za watoto shuleni itakuwaje, nk. halafu unamtisha unamtisha kwa corona asiyoiona!
 
Kweli mjinga mwenzao ametangulia......na kibri chake
Maalim seif hakuwa kiburi ila corona imepita nae,sasa sijui kuna tofauti gani ya kuwa kiburi na kutokuwa kiburi. Nasikia Mbowe kafiwa na sijui kaka yake.
 
Hili suala la kupambana na UVIKO-3 linarudishwa nyuma na ukosefu wa elimu kwa watu wengi mijini na vijijini, wengi ambao wanadharau huu ugonjwa ukiwawafuatilia vizuri unaona uwezo wao kifikra, elimu na IQ zinamashaka.

Wengine ni wanawake, kwa tafiti niliyofanya wanawake kwa asilimia kubwa ndio wanasambaza ugonjwa huu kwa kasi kubwa. Wengi wa wanawake hawa wamejawa na tabia za kiswahili kukusanyika na kuweka mikutano bila kuchukua tahadhari pamoja na mambo ya vyama wanakutana na virusi na kwenda kusambaza majumbani.

Kundi lingine ambalo limepelekea kuwepo kwa UVIKO ni kundi la Imani hasa dini, watu hawa wa dini wanaongopewa na viongozi wao misikitini na makanisani wakiambiwa korona ni kitu cha kawaida. Kwa ufuatiliaji niliofanya asilimia 90 ya watu wa dini hawafuati taratibu za kujikinga na kupambana na UVIKO wakiamini kila mtu atakufa tu.

Hitimisho! Inahitajika jitihada kubwa kupambana na UVIKO ukiwa umezungukwa na watu wa aina hii.
 
Imagine mtu ameamka hana hata senti mfukoni, familia hajui itakulaje, ada za watoto shuleni itakuwaje, nk. halafu unamtisha unamtisha kwa corona asiyoiona!

Kutisha? Unayasoma wapi yenye kutisha? Kunako uzi mikononi:

1. Kichwa cha uzi "kuwatambua wenye kutatiza jitihada za serikali kupambana na ugonjwa."
2. Unatambua mwongozo na hatua zinazopaswa kuchukuliwa ambazo serikali imetangaza.
3. Unawatambua wanaotatiza jitihada hizo kwa tabia vyao
4. Unawatambua wanaounga mkono jitihada hizi za serikali
5. Ushauri kwa serikali umetolewa:

Tafadhali jiridhishe kuona kama uko kwenye uzi husika.
 
Kuna siku wamekuja wageni home wakasalimia baada ya muda wakaaga kuondoka wakajilazimisha kutoa na mikono na hata barakoa hawakuvaa, baada ya kutoka nje wenyewe wakapaka sanitizer wakasepa zao.

Kibongo bongo watu kama hao ndio wenye kujikinga na hiyo corona ndio wenye uelewa na sie wengine ndio hatuna uelewa ndio maana hatujali afya zetu.
 
Imagine mtu ameamka hana hata senti mfukoni, familia hajui itakulaje, ada za watoto shuleni itakuwaje, nk. halafu unamtisha unamtisha kwa corona asiyoiona!

Kutisha? Unayasoma wapi yenye kutisha? Uzi mikononi:

1. Kichwa cha uzi "kuwatambua wenye kutatiza jitihada za serikali kupambana na ugonjwa."
2. Unatambua mwongozo na hatua zinazopaswa kuchukuliwa ambazo serikali imetangaza.
3. Unawatambua wanaotatiza jitihada hizo kwa tabia vyao
4. Unawatambua wanaounga mkono jitihada hizi za serikali
5. Ushauri kwa serikali umetolewa:

View attachment 1845628

Tafadhali jiridhishe kuona kama uko kwenye uzi husika.

Tatizo kubwa ni elimu.

Habari hii iwafikie mbingunikwetu Niza doyi BekaNurdin na wenzao kokote kule waliko.
 
Nadhani nimeshindwa kukuelewa vizuri mkuu, unaweza kubadili uwasilishaji?
 
Yaani wewe una akili gani taasisi zinatumia kigezo Cha Corona kumaliza matatizo ya siku nyingine?
Au unafikiri Oxygen hosipitali zimeanza kutumika baada ya kuja Corona😅😅😅au hukuelewa ni maandalizi ya kukabiliana na janga linalo kulisha? Ambalo unatamani lilipuke lakini limegoma? Au hujiulizi Jobo ilielekea wapi?
 
A
Yupo vizuri toka aanze mwaka jana alipumzika kile kipindi cha uchaguzi
Alipumzika baada ya kumwona bwana wake kutoka Ubelgiji anapuyanga bila barakoa na akijisifia kujaza nyomi.Alikumbuka like barakoa lake kubwa Kama bakuli siku anatoroka kurudi kwa waliomtuma.
 
Uliwahi kusikia upungufu wa Oxygen hospitali? Hospitali oxygen wanachomea vyuma?

Kuna tathmini nyingine inawatambua wanaopinga katiba mpya. Lakini kwa vile wengi wa wanaopinga katiba pia wanapinga Corona labda jiangalie mwenyewe kama haumo humo kwenye makundi haya:

Jitendee haki wewe mwenyewe tafadhali.

Cc: ROBERT HERIEL
 
Utahangaika na makorona mpaka lini bwana mdogo?

Huku nilipo hatujui hata maana ya corona. Tunakula vyuku na kujiachia bila hofu.

Hakuna cha mabarakoa wala nini!

Corona iko magazetini tu na kwenye mitandao ya kijamii.

Wazungu wanakupiga pumbu ili uwasaidie kueneza propaganda za corona?

Nasikia unapenda kupigwa pumbu na wazungu?
 
A

Alipumzika baada ya kumwona bwana wake kutoka Ubelgiji anapuyanga bila barakoa na akijisifia kujaza nyomi.Alikumbuka like barakoa lake kubwa Kama bakuli siku anatoroka kurudi kwa waliomtuma.

Pana kundi angalau moja lina kuhusu hapo - without prejudice.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
A

Alipumzika baada ya kumwona bwana wake kutoka Ubelgiji anapuyanga bila barakoa na akijisifia kujaza nyomi.Alikumbuka like barakoa lake kubwa Kama bakuli siku anatoroka kurudi kwa waliomtuma.
Sasa yeye ndio alikuwa anakuja kushangilia lile nyomi la Lissu ambalo halina barakoa halafu sasa hivi et anatueleza habari za corona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…