Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Hivi mtanzania ambaye ni muislamu anafaidika vp na urais wa Samia hapa Tanzania au uislamu hapa Tanzania unafaidikaje na utawala wa Samia hivi sasa?Ooh safi sana.
Ni mkataba hamuutaki au hamumtaki Samia Suluhu?
Ona hili jibu lako hapa...Ni wanamuonea tuu Mama!. Niliwauliza humu DP World: Hizi Kelele, Kulalamika, Shutuma, na Lawama ni za Kweli au ni Ujinga Tu? Rais Samia Anastahili Kulaumiwa au Kupongezwa?
Humo nilisema
hakuna mwenye jibu!.
P
Kwa Mkataba ule..kama wanavyotueleza Watalaam basi anko asingeleta hiyo kitu.Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.
Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?
Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Na hapa tena unapounga mkono hoja ya kusema Magufuli asingefanya huu ujinga wa Samia..Naunga mkono hoja
P
Uliponnukuu umeyakuta hayo unayyasema au unataka kuubadili mjadala? Fungua uzi tu.Hivi mtanzania ambaye ni muislamu anafaidika vp na urais wa Samia hapa Tanzania au uislamu hapa Tanzania unafaidikaje na utawala wa Samia hivi sasa?
Nimekuwa nikijiuliza sana hiki kitu na kuona pengine kuna manufaa ama fursa ambazo sijazigundua.
Hivi mbona mnajaribu kujitoa akili? Ni kipindi gani Lissu alipigwa risasi kama si kipindi cha Magufuli? Mbona alipinga ripoti za kina Prof Mruma na Osoro kuhusu madini, vito na makinikia?Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.
Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?
Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Binafsi nadhani yawezekana ingekuwa hivyo ila sio kwa vipengele vya mkataba kama vilivyo hapo Magufuli asingekubali hatakidogo.
DPW si wabaya kibaya ni namna mkataba ulivyo.
Kumbuka sakata la bandari ya bagamoyo.
Anajua Kabisa Sema akili tuuu...Elimu elimu ElimuHivi mbona mnajaribu kujitoa akili? Ni kipindi gani Lissu alipigwa risasi kama si kipindi cha Magufuli? Mbona alipinga ripoti za kina Prof Mruma na Osoro kuhusu madini, vito na makinikia?
Mkataba na kampuni ya Wamisri kujenga Bwawa la Nyerere ulipingwa Kwa uwezo mdogo wa kampuni ambayo ilithibitika kugawa kazi Kwa mwingine.
Mifano ya Magufuli kupingwa iko mingi Ila mnajizima data tu.
Faiza unatakaJe na uislamu wako huu, ktk nchi ambayo watu wana dini mbalimbali ?!Jitahidi sana tu.
Nia na mawazo ya mtu hayajifichi kwenye maandiko, si lazima upinge wazi. Lini Nyerere aliwahi kuupinga Uislam wazi lakini vitendo vyake havikuwahi kuuficha ukweli.
Shida aliyoleta Magufuli ni kuonesha kuwa Watanzania hatupaswi kuwa wanyonge kwenye ku-negotiate mikataba ya kimataifa!Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.
Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?
Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Faiza unatakaJe na uislamu wako huu, ktk nchi ambayo watu wana dini mbalimbali ?!
Hapa wanajadili ingekuwaJe kama ni Maghufuli ndiye angeleta mkataba mbovu hivi . Wewe unakimbilia Ukristo mara Uislamu .
Nadhani dini ziache huko pembeni.
Tujadili kwanza hii favour kwa wajomba. Mbona inalazimishwa kwa mkataba wa hovyo ?! FaizaFoxy
Huu ndio ukweli.Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.
Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?
Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Mimi nimekuuliza tu wewe na swali langu najua lipo nje ya mada ila nimeona sana ukituhumiwa kwa udini kwamba unamkubali rais Samia kwa sababu ni muislamu na wewe pia umekuwa ukituhumu watu kuwa wanamchukia rais Samia kwa sababu ni rais ambaye muislamu, umekuwa hivyo kwa Kikwete pia ndio maana mie nimekuwa najiuliza kwamba waislamu wanafaidikaje na urais wa hawa marais waislamu.Uliponnukuu umeyakuta hayo unayyasema au unataka kuubadili mjadala? Fungua uzi tu.
Sisisi tunasema, Kazi ya Mungu haina makosa.
RubbishSitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.