Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 3,499
- 5,956
Ni kama wewe unapotoka nyumbani kwako na kwenda dukani kwako. Je, unaweza ukatabiri kwamba leo utauza mauzo ya shilingi 300,000/= za kitanzania. Jibu ni hapana! kwa sababu mauzo kwenye biashara yana panda na kushuka nikimaanisha yana-fluctuate, leo utauza mauzo ya shilingi 50,000/=, kesho utauza mauzo ya shilingi 70,000/=, kesho kutwa unaweza usiuze kabisa. Kutokana na hali ya kiuchumi na uhitaji wa wataje wako. The same applied to forex - ambapo soko linategemea na market conditions (economic events, political events, market sentiment, global events) zote hizi zinaweza kuathiri soko kwa ujumla wake. Hivyo ni ngumu kutabiri uelekeo wa soko, isipokuwa unajenga directional bias ili kwenda sambamba na uelekeo wa soko.Hakika 💯
Unayo link yao mkuu?
mm najua ivyo wako royal na customers naona huu Uzi nimeshtuka ila najua wengi wanaona kulipia izo ela wanapigwa wakati ni darasa kama madarasa ya economics📌Hao jamaa wako reputable acha uongo...
Hizo ndiyo gharama za kufundishwa forex mkuu..
Ila endapo watakuambia weks kiasi fulani na utakuwa unapewa faidia fulani, basi achana nao, kimbia haraka.
Nenda kafundishwe, kapate basics kisha mambo advanced utajiongeza mwenyewe.
Uzuri forex ukishapata msingi, kuta na paa na finishing unaweza kumalizia mwenyewe ikiwa una akili ya kujiongeza!
Point ya msingi ni hii ndio ingekua kichwa cha Madahakuna pesa rahisi
Mbuzi mwingine huyu akina Micole hawa ndio michezo yao
Nani alisema ni rahisi? Mnawalisha watu maneno. Lile ni darasa uelewa na ufanisi wa mtu ndio utakaomlipa anaejifunza. Tukubali tu sio kila biashara ni ya kila mtu. Mambo mengine yanachagizwa hata na personality ya mtu.Anastasia21 na Kingsmann hoja ya mleta mada Iko valid kama ilivyo ya kwenu pia.
Anachokataa ni kuambiwa kuwa ni lazima mtu apate faida. Ni kama vile ukifundishwa mambo ya Forex basi ukishajua ndiyo fedha zinatiririka tu kimfululizo.
Alipokuwa anamjibu Anastasia21 kaelezea vizuri tu kwamba forex ni ubashiri (Speculation)na ubashiri hauwezi kuwa sahihi wakati wote.
Na pia kwenye maelezo yake kaweka mambo yanayoongoza huo ubashiri. Ukweli wa mambo forex siyo biashara rahisi kama hao "brokers" na "mentors" wanavyotaka ionekane.
Halafu mleta mada ana hoja. Kama hao wafundishaji wanaona forex ni rahisi kujioatia fedha kwa nini wao wasijikite kuzipata hizo fedha toka kwenye forex badala ya kuhangaika na hizo dola 200-300 za wanaowaalika wajifunze mambo ya Forex?
Nakubaliana na mleta mada: Hakuna upatikanaji wa fedha kirahisi.
Hao jamaa wako reputable acha uongo...
Hizo ndiyo gharama za kufundishwa forex mkuu..
Ila endapo watakuambia weks kiasi fulani na utakuwa unapewa faidia fulani, basi achana nao, kimbia haraka.
Nenda kafundishwe, kapate basics kisha mambo advanced utajiongeza mwenyewe.
Uzuri forex ukishapata msingi, kuta na paa na finishing unaweza kumalizia mwenyewe ikiwa una akili ya kujiongeza!
Yaani wewe ndio utoe hela tena?? Anapumuliwa huyoMbuzi mwingine huyu akina Micole hawa ndio michezo yaoView attachment 3274598
Unaona hii michezo
View attachment 3274600
Wazee wa linkpesa,13,000😀😀😀Mbuzi mwingine huyu akina Micole hawa ndio michezo yaoView attachment 3274598
Unaona hii michezo
View attachment 3274600