Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,762
- 21,843
"Become Profitable" na ku "Stay Profitable" zina maana ileile mkuu..Struggle to Stay Profitable & Consistent
"Become Profitable" na ku "Stay Profitable" zina maana ileile mkuu..Struggle to Stay Profitable & Consistent
Hapo nyuma yake kuna neno STRUGGLE TO STAY PROFITABLE & CONSISTENT"Become Profitable" na ku "Stay Profitable" zina maana ileile mkuu..
Ukisha-Struggle mwisho wa siku una-BecomeHapo nyuma yake kuna neno STRUGGLE TO STAY PROFITABLE & CONSISTENT
For what?Mtoa post nenda VETA
Kingsmann Anastasia21 pitieni hii mje na majibu, coz sisi tukisema tunaonekana tunawaonea....haya sasa mambo yameanza kuwa hadharani.Hawa jamaa waliwahi kunipiga 250k wakaniuzia signals. Zote trades zilikuwa zinapigwa stop loss, halafu walivyo *******.. Trade moja wakiotea ndio wanaipost IG na kwenye app yao ili watu wavutike.
In short wana loss nyingi sana kuliko profits.
Hawatrade kwa pesa zao wanatumia za wateja wao.. Mfano nalipa 250k kupata signals wao wanatia mpunga wako wanakupa signals,
Halafu sasa wanapost Kimya Kimya tu Hawaweki pending orders wanatia instantly excusion. Kuna muda umelala saa saba usiku unakuja kushtuka asubhi washaingia na trade imekuacha.. Inahitaji 24 hours uwe na simu kitu ambacho siyo kabisa.
In Long run wana loss nyingi sana kuliko faida.
Wana maintain brand kwa kuishi maisha yasiyo halisi.
Sasa mkuu, mtu anakubalije kuuziwa signal?Kingsmann Anastasia21 pitieni hii mje na majibu, coz sisi tukisema tunaonekana tunawaonea....haya sasa mambo yameanza kuwa hadharani.
Acha apigwe tu 😹😹😹 ndo shida ya kuamin mitandao sasaSasa mkuu, mtu anakubalije kuuziwa signal?
Alafu pamoja na kuuziwa, kwani kabla haujaiingia hiyo signal kwa nini usijiridhishe mwenyewe kama hiyo signal ina probability rate kubwa?
Wote mnaotrade kwa signal, nawaombea muendelee kupigwa hivyohivyoo😂😂😂
Is it fair, kufurahia kupigwa kwa Mtafutaji mwenzako, ili hali hana elimu tosha juu ya biashara.Sasa mkuu, mtu anakubalije kuuziwa signal?
Alafu pamoja na kuuziwa, kwani kabla haujaiingia hiyo signal kwa nini usijiridhishe mwenyewe kama hiyo signal ina probability rate kubwa?
Wote mnaotrade kwa signal, nawaombea muendelee kupigwa hivyohivyoo😂😂😂
Na wewe pia, una sapoti, utapeli.Acha apigwe tu 😹😹😹 ndo shida ya kuamin mitandao sasa
Iyo ni fact 100%, sikupingi kwa hilo.Hakuna mtu anayetengeneza pesa za kutosha atakufundisha jinsi ya kupata pesa haswa Ngozi nyeusi!
Asa unataka nifanyaje jaman😹😹Na wewe pia, una sapoti, utapeli.
ABSOLUTELYNasisitiza na kusema “Ukiona unaitiwa fursa ujue wewe ndio fursa.”
Inabidi uwe mfano bora wa jamii inayokuzunguka ukiona sehemu kuna hatari. Ni vyema kutoa ishara na kuwasha indicator ili wengine wasije kuzama kwenye huo mkumbo. Hata mtu akizama, akumbuke kwamba alitahadharishwa lakini alishupaza shingo.Asa unataka nifanyaje jaman😹😹
Sawa💔Inabidi uwe mfano bora wa jamii inayokuzunguka ukiona sehemu kuna hatari. Ni vyema kutoa ishara na kuwasha indicator ili wengine wasije kuzama kwenye huo mkumbo. Hata mtu akizama, akumbuke kwamba alitahadharishwa lakini alishupaza shingo.