Tuwe makini, nahisi hii mitandao ya simu haina ulinzi wa uhakika

Kuna kitu hakiko sawa coz mimi juzi nimeongea na sister maswala ya pesa sasa wakati najiandaa kutuma ghafla ikaingia msg tuma kwa namba hii ikabidi nishtuke na nilivyompigia akasema sio yeye.

Kuna kauchunguzi inabidi tukafanye hapa ila nnauhakika Kuna kitu hakiko sawa, thou sijajua ni kwa namna gani wanafanya hizi trick.
 
Coincidence tu. Matapeli wanarusha sms kila mara, ilitokea wamerusha sms ukiwa umemaliza maongezi na mama yako.
 
Coincidence tu. Matapeli wanarusha sms kila mara, ilitokea wamerusha sms ukiwa umemaliza maongezi na mama yako.
hili ni janga. japo kuna muda zile sms za matapeli zikiingia tu zinaenda direct kwenye spam na kufichwa. sjajua criteria gani inatumika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…