Satirical Yet Awesome
JF-Expert Member
- Oct 11, 2023
- 629
- 1,688
- Thread starter
- #21
AirtelNi mtandao gani huo wa simu? At least siku hizi ni mwendo wa kutumia mobile banking au aende kwa wakala atume code.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AirtelNi mtandao gani huo wa simu? At least siku hizi ni mwendo wa kutumia mobile banking au aende kwa wakala atume code.
Basi kuna data breach mahali. Na commission inatoka kwa kila muamala unaofaulu.Airtel
Kuna kitu hakiko sawa coz mimi juzi nimeongea na sister maswala ya pesa sasa wakati najiandaa kutuma ghafla ikaingia msg tuma kwa namba hii ikabidi nishtuke na nilivyompigia akasema sio yeye.Iko hivi, siku za nyuma kama wiki tatu zilizopita nilikuwa naongea na mama kweny simu, tulikuwa tunaongea kuhusu maswala ya kutumiana pesa, nikwambia ntamtumia muda si mrefu tukimaliza kuongea, cha kushangaza baada ya kukata tuu simu, kuna message ikaingia ya namba nyingine ngeni inasema "mwanangu tuma kweny hii namba 07xx xxx xxx".
Nikashtuka kidogo ila kwa kuwa najua mambo ya utapeli wa mitandao nikakausha.
Ila kilichonishangaza, kwann ile message mtu aliyetuma imeandika "mwanang" just momentarily baada ya kuongea na mama, muda uliotumwa hio message pamoja na context za hio message zilinishtua.
Nilimpigia simu mama akasema sio yeye, nikapotezea nikawaza maybe it's just a coincidence.
Second scenario, imetokea wiki iliyopita, nilikuwa naongea na demu flani ivi kweny simu, nayeye hivohivo tulikuwa tunaongea maswala ya kutumiana pesa. Cha kushangaza baada ya kuongea nae nilivokata simu tuu baada ya kama dakika moja ikaingia message "Tuma kweny namba 07xx xxxx xxx".
Nilivompigia akasema sio yeye na hajawahi miliki hio namba.
Nikawaza kuhusu precession ya ile message, mbona imetumwa muda muafaka kabisa, ila nikapotezea pia.
Leo imetokea tena, huyuhuyu demu amenicheki sema this time hatujaongea, tumetumiana tuu message nikamwambia sawa nakutumia.
From tulivoongea saa 12 jioni, saa 12 unusu message mbili zikaingia namba ngeni, ya kwanza "Ntumie basi hio hela" ya pili "tuma humu 07xx xxx xxx", kumuuliza anasema sio yeye.
Hii ya leo imenifikirisha sana na ndio imenifanya nikumbuke scenario za nyuma, kwann hizi message zinaingia just after kuongea na watu kuhusu kutumiana pesa, wanajuaje? Or is it just a coincidence??
Mi nadhani hii mitandao haina ulinzi, haina privacy kabisa, na nahisi kuna watu huwa wanatusikiliza na kusoma message zetu, this can't be a simple coincidence.
Sitautaja mtandao ninao tumia ila nina mpango wa kuuhama.
Nyie wenzangu vipi hamjawahi kutana na haya mambo??
Huku ndiko tulikofikiaBasi kuna data breach mahali. Na commission inatoka kwa kila muamala unaofaulu.
Coincidence tu. Matapeli wanarusha sms kila mara, ilitokea wamerusha sms ukiwa umemaliza maongezi na mama yako.Iko hivi, siku za nyuma kama wiki tatu zilizopita nilikuwa naongea na mama kweny simu, tulikuwa tunaongea kuhusu maswala ya kutumiana pesa, nikwambia ntamtumia muda si mrefu tukimaliza kuongea, cha kushangaza baada ya kukata tuu simu, kuna message ikaingia ya namba nyingine ngeni inasema "mwanangu tuma kweny hii namba 07xx xxx xxx".
Nikashtuka kidogo ila kwa kuwa najua mambo ya utapeli wa mitandao nikakausha.
Ila kilichonishangaza, kwann ile message mtu aliyetuma imeandika "mwanang" just momentarily baada ya kuongea na mama, muda uliotumwa hio message pamoja na context za hio message zilinishtua.
Nilimpigia simu mama akasema sio yeye, nikapotezea nikawaza maybe it's just a coincidence.
Second scenario, imetokea wiki iliyopita, nilikuwa naongea na demu flani ivi kweny simu, nayeye hivohivo tulikuwa tunaongea maswala ya kutumiana pesa. Cha kushangaza baada ya kuongea nae nilivokata simu tuu baada ya kama dakika moja ikaingia message "Tuma kweny namba 07xx xxxx xxx".
Nilivompigia akasema sio yeye na hajawahi miliki hio namba.
Nikawaza kuhusu precession ya ile message, mbona imetumwa muda muafaka kabisa, ila nikapotezea pia.
Leo imetokea tena, huyuhuyu demu amenicheki sema this time hatujaongea, tumetumiana tuu message nikamwambia sawa nakutumia.
From tulivoongea saa 12 jioni, saa 12 unusu message mbili zikaingia namba ngeni, ya kwanza "Ntumie basi hio hela" ya pili "tuma humu 07xx xxx xxx", kumuuliza anasema sio yeye.
Hii ya leo imenifikirisha sana na ndio imenifanya nikumbuke scenario za nyuma, kwann hizi message zinaingia just after kuongea na watu kuhusu kutumiana pesa, wanajuaje? Or is it just a coincidence??
Mi nadhani hii mitandao haina ulinzi, haina privacy kabisa, na nahisi kuna watu huwa wanatusikiliza na kusoma message zetu, this can't be a simple coincidence.
Sitautaja mtandao ninao tumia ila nina mpango wa kuuhama.
Nyie wenzangu vipi hamjawahi kutana na haya mambo??
hili ni janga. japo kuna muda zile sms za matapeli zikiingia tu zinaenda direct kwenye spam na kufichwa. sjajua criteria gani inatumikaCoincidence tu. Matapeli wanarusha sms kila mara, ilitokea wamerusha sms ukiwa umemaliza maongezi na mama yako.
NishautajaNatamani huu mtandao niutaje, wababaishaji kinoma
Airtel??Hiyo ilishawahi kunitokea pia nimemaliza tu kuongea na Bi mkubwa nakata tu simu ndani ya sekunde kadhaa ikaingia meseji fupi sana "tuma kwenye namba hii ××××" kidogo niingie chakike
[emoji120][emoji120]Ahsante kwa pole yako
Sure sureNishautaja