Tuwe na adabu Kwa Jakaya, yaani wewe kijana wa misungwi , mbinga, kibondo unajua mipango ya nchi kuliko jakaya hadi umzodoe?

Na wala sio amri ya papa,,,huku wakulungwa wakiamua ishapita hio

Hata Papa ni binadamu kama mimi na wewe. Mwenyezi Mungu peke yake ndiye anayejua nani atakaa upande gani akishaenda mita sita chini
 
Samia si Makutupora Tabora, Tabora Isaka na Kigoma? Tunaangalia miradi inavyoenda kwa kasi 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Na wala sio amri ya papa,,,huku wakulungwa wakiamua ishapita hio

Halafu yule robot mliyempeleka bungeni anakaa wapi? Nataka anifundishe kiingereza na akili zake mnembe😂😂😂😂
 
jakaya legacy pekee ameacha ni majizi na utani. hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kujilimbikizia mali.
Dah
Hakuacha mazuri yoyote?
Mimi nakumbuka 2005 wahitimu kada mbali mbali walikuwa wakiomba kazi ila 2006 mheshimiwa aliajiri. Aliajiri mpaka anaondoka madarakani. Mshahara ilipanda na vyeo vikapanda pia.
Miundombinu nayo haikuwa haba hasa barabara. Mtwara Korido akafungua Dom Iringa.
Apewe maua yake
 
Eeeh mungu nakuomba kwa hekima zako umchukue huyu mzee umpekeke kuzimu kwa shetani mwenzie...Amen.
 
Huyu mkwere muongo sana kaona hawezi bishiwa na wote kwa vile ni marehemu basi kila kitu anadai yeye ndio alianzisha. Awamu yake ilikua kazi kuchezea mbunye tu za wadada wa mjini, leo anataka kujionesha eti yeye ndio alianza na vitu vyote. Awadanganye ma bumunda wenzake tu, ila watu wenye uelewa hawadanganyiki kwa huyu mkwere mwenye maneno mengi.
 
Shida vyeo vya wakina seint wanatoa wakina papa

The most organized entity in the whole world. Ndio maana mna wivu nayo sana. In fact Napoleone wanted to crush it down completely with is masonic ideas. He failed. Na yeye yote yule anayejaribu toka ndani au nje atafeli
 
Can you show the evidence? Au ni maneno ya kwenye gahawa wakati tunakula Bryani
Evidence gani tena unayoitaka zaidi ya ripoti ya CAG,hela haikuonekana kwenye matumizi ya serikali na mtu mzima kauchuna kimya kama hakijatokea kitu wakati yeye alijifanya mtu wa kunyoosha,kusoma hujui hata picha huioni!
 
The most organized entity in the whole world. Ndio maana mna wivu nayo sana. In fact Napoleone wanted to crush it down completely with is masonic ideas. He failed. Na yeye yote yule anayejaribu toka ndani au nje atafeli
Wivu wa nini blaza,,,wakati mambo yao na sie huku tulikua tunayo muda tu,,,shida lugha tu
 
Kuzungumza kila mtu anazungumza. Kufanya ili itokee ndio mtihani. JPM apewe maua yake. Wengine wanachofanya kitokee ni kubeba hela kwa sandarusi
Hakika JPM alikuwa mtekelezaji wa miradi mipango mingi.
 
Alama ninayomkumbuka ni skendo za ufisadi wa kutisha, usanii..........
 
LEGACY KUBWA ALIACHA NI YA UFISADI NA UUZAJI UNGA
Kwenye Unga hapo naungana na wewe,Mpaka ikafika wakati wanataka kubadilishana mateka na Aridhi yetu ya Bagamoyo...Kaharibu sana vijana wa kinondoni na sjui kwa nn mpaka leo afi akapate Adhabu yake mbinguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…