Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Na wala sio amri ya papa,,,huku wakulungwa wakiamua ishapita hioKukaa kulia au kushoto kwa Mwenyezi Mungu sio amri ya waswahili wenzangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wala sio amri ya papa,,,huku wakulungwa wakiamua ishapita hioKukaa kulia au kushoto kwa Mwenyezi Mungu sio amri ya waswahili wenzangu
Na wala sio amri ya papa,,,huku wakulungwa wakiamua ishapita hio
Samia si Makutupora Tabora, Tabora Isaka na Kigoma? Tunaangalia miradi inavyoenda kwa kasi 🤣 🤣 🤣 🤣Hakuna anayempa credit samia ktk mradi wa SGR,maana ameukuta tayar uko hatua nyingi za ujenzi,tutampongeza kwa kumalizia palipobakia.
Yeye mzaramo kama angekuwa mwaminifu angekumbuka pia hatukumnyima pongezi ktk BRT maana aliiacha iko miles kadhaa mbele.
Tutamkumbuka pia ktk shule za kata za sekondari hatuna hiyana.
Kama kupanga na kutekeleza ni jambo moja,panga kupata mtoto na mkeo,miezi 9 baadae azaliwe muhindi,ndio utaelewa.
Na wala sio amri ya papa,,,huku wakulungwa wakiamua ishapita hio
Dahjakaya legacy pekee ameacha ni majizi na utani. hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kujilimbikizia mali.
Huyo mfate napeHalafu yule robot mliyempeleka bungeni anakaa wapi? Nataka anifundishe kiingereza na akili zake mnembe😂😂😂😂
Shida vyeo vya wakina seint wanatoa wakina papaHata Papa ni binadamu kama mimi na wewe. Mwenyezi Mungu peke yake ndiye anayejua nani atakaa upande gani akishaenda mita sita chini
Lakini hazikufika 1.5 trillionKuzungumza kila mtu anazungumza. Kufanya ili itokee ndio mtihani. JPM apewe maua yake. Wengine wanachofanya kitokee ni kubeba hela kwa sandarusi
Shida vyeo vya wakina seint wanatoa wakina papa
Can you show the evidence? Au ni maneno ya kwenye gahawa wakati tunakula BryaniLakini hazikufika 1.5 trillion
Evidence gani tena unayoitaka zaidi ya ripoti ya CAG,hela haikuonekana kwenye matumizi ya serikali na mtu mzima kauchuna kimya kama hakijatokea kitu wakati yeye alijifanya mtu wa kunyoosha,kusoma hujui hata picha huioni!Can you show the evidence? Au ni maneno ya kwenye gahawa wakati tunakula Bryani
Wivu wa nini blaza,,,wakati mambo yao na sie huku tulikua tunayo muda tu,,,shida lugha tuThe most organized entity in the whole world. Ndio maana mna wivu nayo sana. In fact Napoleone wanted to crush it down completely with is masonic ideas. He failed. Na yeye yote yule anayejaribu toka ndani au nje atafeli
Hakika JPM alikuwa mtekelezaji wa miradi mipango mingi.Kuzungumza kila mtu anazungumza. Kufanya ili itokee ndio mtihani. JPM apewe maua yake. Wengine wanachofanya kitokee ni kubeba hela kwa sandarusi
Alama ninayomkumbuka ni skendo za ufisadi wa kutisha, usanii..........Ifike hatua tuwe na adabu,
Jakaya kikwete ndio Rais mstaafu tuliyenaye, huyu ni msaada Kwa nchi yetu, angeamua kua kama uhuru anaweza lakini katulia na amebaki akiambiwa panda pikipiki wala hajali,
Nawapa hizi dondoo chache, fedha za SGR hadi dodoma aliacha ametafuta Jakaya, ile kijazi interchange alitafuta jakaya, tena magufuli akavuruga ramani, ilikua ni bonge la kitu,
Upanuzi wa barabara kimara hadi mile moja fedha alitafuta jakaya, daraja la tanzanite pesa aliacha jakaya,
Jakaya kawa muwazi kua mipango ilianza Kwa mkapa, akaihanikiza, magufuli kaisimamia, kosa lake ni lipi?
Nchi haijengwi na mtu mmoja, nchi inajengwa Kwa kupokezana, uongozi ni mbio za vijiti ni kupokezana huyu anakimbia hadi hapa na mwingine hadi kule.
Viongozi wetu wana mazuri na mabaya yao na kila mmoja anakitu alifanyia nchi yake tuwe na heshima,
Kwenye Unga hapo naungana na wewe,Mpaka ikafika wakati wanataka kubadilishana mateka na Aridhi yetu ya Bagamoyo...Kaharibu sana vijana wa kinondoni na sjui kwa nn mpaka leo afi akapate Adhabu yake mbinguni.LEGACY KUBWA ALIACHA NI YA UFISADI NA UUZAJI UNGA