Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Angalia vitimbi wanatufanyia sisi wabara kama wametubagua Haina haja ya kufika..Hata ndugu wa tumbo moja Akileta noma na kwake hatufikii sio ubaya sema ni kujipa heshima na hadhi.Wale ni ndugu zako katika Imaaaaaan Sheikh.....
Kumbe na nyie ndugu wa imani mnabaguana?
Si mnasemaga muislam ndugu yake muislam, imekuwaje tena??
Huna ulijuwalo katika sekta ya utalii, ficha upumbavu wako.
Nonsense.Huwa una tatizo gani bwana mdogo, unafikiri unaelewa sana, nadhani ni vizuri ukauficha wako pia.
Nonsense.
Hakuna kitu wewe kule wanapotandikana na mchina ni Kashmir china sio Kashmir IndiaKwani Kashmir kosa limesawazishwa? Angalia wanavyotandikwa na mchina , Karma inafanya kazi
Zanzibar wangekuwa mbali kwa lipi ???Zanzibar ingekuwa mbali muungano ndio unaowabana kwa vitu vingi.
Hakuna kitu wewe kule wanapotandikana na mchina ni Kashmir china sio Kashmir India
Hakuna anaempiga mwenzie wanapigana kila upande wanakufa chief.Si anatandikwa na mchina ?? anamwonea mkashimiri kwa sababu ni mnyonge , Mungu kawaleta wachina na wao wanatandikwa
NARUDIA TENA KUSEMA HILI!Na gia zinavyobadilishwa angani huko wallahi bin Taabana Tanganyika tutaisoma Namba.
Wazanzibari wanatuchukia kwa nguvu zote na kutubagua kwa maksuidi tukiwa huko Zenji.
Ajira za serikali za Zanzibar inabidi uwe mzanzibari na ukilazimisha kuomba watabaki kukushangaa kwenye interview umeenda kufanya nini, wao wanaomba kote kote za huku bara tunazogawana nao na huko kwao kwajili ya peke yao.
JKT wabara wakimaliza mafunzo ni ngumu sana kupenya idara za ulinzi ila Zanzibar wananynyekewa sana kuingizwa idara za ulinzi, wabara wengi wanamaliza JKT pale wanarudi kulima vijijini ama kwenda Suma JKT kupokea mishahara ya laki 2, wachache sana wanatoboa kwenda idara za ulinzi, kwa Wazanzibari yani kumaliza JKT ni shavu.
Ardhi, leseni za udereva, siasa, n.k, mavyo vishazungumziwa sana kuhusu tabia ya vyao kutoguswa.
[emoji38] [emoji23] [emoji38] mkuu utalii unajua maana yake?Zanzibar kuna utalii?? Kuona magofu yaliyopakwa rangi nyeupe?
Kaa kwa kutulia wewe, Zanzibar Ni mkoa Kama mkoa wa Lindi tu.Zanzibar huo Muungano wenu hatuutaki
serikali ingeamua wazazibari wanaomiliki nyumba na mashamba na maduka bara, wawe na kibali maaluum na wawekwe kama diaspora na malipo yao yawe tofauti ni mtu wa bara na awe na limit ya kumiliki kitu kama ni nyumba basi awe nayo moja tu haruhusiwi zaidi
Jamani ningefanikiwa kumfahamu mwalimu wako wa history ningemcharaza bakora zisizohesabaka kwa kukupotosha wewe tunayedhani nawe ni great thinker.Kwamba Tanganyika ilianzishwa na Waingereza!!!, Ndo Mwalimu alikufundisha hivyo???.Tanganyika ilikuwa nchi bandia iliyoanzishwa na Waingereza. Haina historia yoyote zaidi ya kuwa koloni la Uingereza.
Mmh!Rasilimali gani hizo za hao unaowaita Watanganyila zilizogawiwa Zanzibar? Hivi unafahamu kwamba >60% ya Watalii wanaokuja Tanzania wanakuja sababu ya Zanzibar na siyo Bara ? Unajua utalii unachangia kiasi pato la Taifa kwa ujumla?
Sasa hivi mnaye huyo Bibi yenu mwambie avunje muungano maana sisi wenyewe hatuutakiZanzibar ingekuwa mbali muungano ndio unaowabana kwa vitu vingi.
Muungano ni kama ndoa, unapeleka posa, mahari, unahudumia mke, wakwe na ndugu zake, mbona haulalamiki?, lakini hii ndoa ya huu muungano, kila siku ni kelele, why?. Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja!.Ajira za serikali za Zanzibar inabidi uwe mzanzibari na
Ardhi, leseni za udereva, siasa, n.k, mavyo vishazungumziwa sana kuhusu tabia ya vyao kutoguswa.
Sasa si mjitenge! Imagine mna Rais, Bunge lenu, wizara, wimbo wenu wa Taifa, mipaka, nk.Zanzibar huo Muungano wenu hatuutaki
Na aliutetea sana.Hata hivyo,kuna hotuba yake alionya kwamba tuchukue mazuri tuyaendeleze yawe mazuri zaidi.Na yale ya kipumbavu yaachwe.Sasa tumeng'ang'ania yote kama kokoro.Hayo ni kati ya makosa mengi ya Nyerere.