Tuwe wakweli kwamba Nyerere alifanya vibaya kuua Uhuru wa Tanganyika na kugawa rasilimali za Watanganyika kwa Wazanzibari wasiotaka vyao kuguswa

Tuwe wakweli kwamba Nyerere alifanya vibaya kuua Uhuru wa Tanganyika na kugawa rasilimali za Watanganyika kwa Wazanzibari wasiotaka vyao kuguswa

Wale ni ndugu zako katika Imaaaaaan Sheikh.....

Kumbe na nyie ndugu wa imani mnabaguana?

Si mnasemaga muislam ndugu yake muislam, imekuwaje tena??
Angalia vitimbi wanatufanyia sisi wabara kama wametubagua Haina haja ya kufika..Hata ndugu wa tumbo moja Akileta noma na kwake hatufikii sio ubaya sema ni kujipa heshima na hadhi.
 
Yote haya yanasababishwa na watz kuwa waoga wa kudai haki.Bila haki kupiganiwa tutaendelea kunung'unika mwanzo mwisho.Kwanini waingereza waliweza kujiondoa umoja wa EU lakini sisi Tanganyika tunashindwa kukiondoa hiki kitakataka Zanzibar?Tanganyika tuchukue hatua,tusisubirie huruma za viongozi mbumbumbu wa ccm
 
Kwani Kashmir kosa limesawazishwa? Angalia wanavyotandikwa na mchina , Karma inafanya kazi
Hakuna kitu wewe kule wanapotandikana na mchina ni Kashmir china sio Kashmir India
 
Zanzibar ingekuwa mbali muungano ndio unaowabana kwa vitu vingi.
Zanzibar wangekuwa mbali kwa lipi ???

Wana nini ambacho tumewazuia ???

Shule zao ni the worst in the country year in year out. Graudates wao wamesoma bongo.

Vijijini hawalimi. Ardhi yao ni super virgin kwa saab hawalimi. Mpaka nyanya wanatoa bara.

Mijiji kazi kushinda vibarazani wazee na vijana. Mabinti kazi kusubiri kukomaa na kuolewa.

Idle, dependent, good for nothing society.

Nyerere's most bone headed blunder was to chain us with the Zanzibar dead weight.
 
Hakuna kitu wewe kule wanapotandikana na mchina ni Kashmir china sio Kashmir India

Si anatandikwa na mchina ?? anamwonea mkashimiri kwa sababu ni mnyonge , Mungu kawaleta wachina na wao wanatandikwa
 
Si anatandikwa na mchina ?? anamwonea mkashimiri kwa sababu ni mnyonge , Mungu kawaleta wachina na wao wanatandikwa
Hakuna anaempiga mwenzie wanapigana kila upande wanakufa chief.
 
Kama hayo yanayolalamikiwa ni ya kweli basi muungano huu ni fake na haufai napia Kuna haja ya kuufumua na kuunda muungano wa haki

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Na gia zinavyobadilishwa angani huko wallahi bin Taabana Tanganyika tutaisoma Namba.

Wazanzibari wanatuchukia kwa nguvu zote na kutubagua kwa maksuidi tukiwa huko Zenji.

Ajira za serikali za Zanzibar inabidi uwe mzanzibari na ukilazimisha kuomba watabaki kukushangaa kwenye interview umeenda kufanya nini, wao wanaomba kote kote za huku bara tunazogawana nao na huko kwao kwajili ya peke yao.

JKT wabara wakimaliza mafunzo ni ngumu sana kupenya idara za ulinzi ila Zanzibar wananynyekewa sana kuingizwa idara za ulinzi, wabara wengi wanamaliza JKT pale wanarudi kulima vijijini ama kwenda Suma JKT kupokea mishahara ya laki 2, wachache sana wanatoboa kwenda idara za ulinzi, kwa Wazanzibari yani kumaliza JKT ni shavu.

Ardhi, leseni za udereva, siasa, n.k, mavyo vishazungumziwa sana kuhusu tabia ya vyao kutoguswa.
NARUDIA TENA KUSEMA HILI!
CHUKI ZINAENEZWA MPAKA KWA WATALII! HILI SIO JAMBO JEMA! WIZARA HUSIKA FUATILIENI INFORMATIONS WANAZOPEWA WAGENI WANAOTOKEA ZANZIBAR KWENDA MBUGA ZA BARA! NI SUMU TUPU ZINAMWAGWA KUHUSU WABARA NA MBUGA ZA BARA! Nimeshuhudia mara tano! Kama sio busara ili uongo za kubalance story wageni wangetuelewa hovyo! DHAMBI YA UBAGUZI NI SAWA NA KUKA NYAMA YA MTU! UKISHA ONJA HUWEZI KUACHA! By JKN
 
Zanzibar kuna utalii?? Kuona magofu yaliyopakwa rangi nyeupe?
[emoji38] [emoji23] [emoji38] mkuu utalii unajua maana yake?

Hata London watu wanakuja kutalii kuona Buckingham Palace na Big Ben tu

Unafikiri kuna nini cha ziada? Utalii
Utalii ni hata kushangaa tu kwenye nchi ya watu
 
serikali ingeamua wazazibari wanaomiliki nyumba na mashamba na maduka bara, wawe na kibali maaluum na wawekwe kama diaspora na malipo yao yawe tofauti ni mtu wa bara na awe na limit ya kumiliki kitu kama ni nyumba basi awe nayo moja tu haruhusiwi zaidi

Wanavyofanyiwa Wazanzibari na Wa Tanganyika
 

Attachments

  • VID-20221220-WA0012.mp4
    45.8 MB
Tanganyika ilikuwa nchi bandia iliyoanzishwa na Waingereza. Haina historia yoyote zaidi ya kuwa koloni la Uingereza.
Jamani ningefanikiwa kumfahamu mwalimu wako wa history ningemcharaza bakora zisizohesabaka kwa kukupotosha wewe tunayedhani nawe ni great thinker.Kwamba Tanganyika ilianzishwa na Waingereza!!!, Ndo Mwalimu alikufundisha hivyo???.
 
Rasilimali gani hizo za hao unaowaita Watanganyila zilizogawiwa Zanzibar? Hivi unafahamu kwamba >60% ya Watalii wanaokuja Tanzania wanakuja sababu ya Zanzibar na siyo Bara ? Unajua utalii unachangia kiasi pato la Taifa kwa ujumla?
Mmh!
 
Zanzibar huo Muungano wenu hatuutaki
Sasa si mjitenge! Imagine mna Rais, Bunge lenu, wizara, wimbo wenu wa Taifa, mipaka, nk.

Inakuwaje mpaka leo bado mnaleta pua zenu huku Tanganyika? Hivi wale wawakilishi wenu kule Dodoma wana kazi gani? Naona kama wanatuibia tu kodi zetu. Hivi mna tofauti gani na kupe?
 
Back
Top Bottom