Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Sote ni mashuhuda jinsi wananchi maeneo mballimbali nchini wanavyojitolea na kujitokeza kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025.
Licha ya changamoto za uduni wa vyombo vya usafiri wanavyotumia kuelekea mikutanoni, lakini bado kila mTanzania anatamani na anahakikisha vyovyote iwavyo anakwenda kwenye mkutano kumuona na kumsikiliza Dr Samia Suluhu Hassan.
Wananchi wote wako tayari kuacha shughuli zao muhimu na kwenda mikutano kumsikiliza Dr. Samia Suluhu Hassan kitu ambacho ni muhimu zaidi. Na huo ndio uzalendo wa kweli.
Kama Taifa, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu, kwa kutujaalia kiongozi huyu mwanamke shupavu, mwenye nia na dhamira ya dhati ya kuwaunganisha wananchi na kuwaletea maendeleo endelevu kisiasa, kijamii na kiuchumi.🐒
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.