Tuwe wakweli tu CCM, inapendwa, inaaminika na inakubalika sana kwa waTanzania wote.

Tuwe wakweli tu CCM, inapendwa, inaaminika na inakubalika sana kwa waTanzania wote.

Sasa kama ccm inapendwa na mamilioni ya watu kulikoni kuogopa uchaguzi ulio huru, wazi na wa haki kweli??.
 
Gentleman,
ramli na ushirikiana ni nonsense kipindi hiki cha ukweli na uwazi šŸ’
8063E352-31E9-4D2A-B8A2-9FC92627D1DB.jpeg
 
Sasa kama ccm inapendwa na mamilioni ya watu kulikoni kuogopa uchaguzi ulio huru, wazi na wa haki kweli??.
Gentleman,
uchaguzi mkuu wa October 29,2025 utafanyika bila aibu na wala bila kumuogopa kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa nchini

Na Dr.Samia Suluhu Hassan atatangazwa mshindi kwa uwazi zaid šŸ’
 
Raia hawana option na wanajua watakacho kutana nacho wakiwa wapinzani, mta acha vipi kuaminika?
upinzani ni mateso makali kisiasa,kijamii na kiuchumi.

Ni lofa pekee anaweza kuchagua kuishi Mazingira hayo gentleman šŸ’
 
upinzani ni mateso makali kisiasa,kijamii na kiuchumi.

Ni lofa pekee anaweza kuchagua kuishi Mazingira hayo gentleman šŸ’
Mkuu wengine wetu sio watumwa, hatuko tayari kulamba makalio ya watawala ili kupata kula yetu...
 
Kama inapendwa iruhusu tume huru na katiba mpya sio taarabu na ngonjera zako
 
Mkuu wengine wetu sio watumwa, hatuko tayari kulamba makalio ya watawala ili kupata kula yetu...
endeleeni kuwalamba hao vibaka na matapeli wa kisiasa wanaowabeba ufala wa kifikra daima šŸ’
 
Kama inapendwa iruhusu tume huru na katiba mpya sio taarabu na ngonjera zako
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi iko kwa mujibu wa katiba ya Tanzania na inatekeleza majukumu yake sawa sawia kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct 29,2025.

hakuna mbambamba juu ya hilo šŸ’
 
Sote ni mashuhuda jinsi wananchi maeneo mballimbali nchini wanavyojitolea na kujitokeza kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025.

Kama Taifa, una kila sababu ya kumshukuru Mungu, kwa kutujaalia kiongozi huyu mwanamke shupavu, mwenye nia na dhamira ya kuwaunganisha wananchi na kuwaletea maendeleo.šŸ’

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
Naunga mkono hoja Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. tarehe 29 October, watu wote twendeni tuka...

P
 
upinzani ni mateso makali kisiasa,kijamii na kiuchumi.

Ni lofa pekee anaweza kuchagua kuishi Mazingira hayo gentleman šŸ’
Tunataka Tanzania safi, Haijalishi itatoka katika chama kipi.
Ni wazi kuwa chama chenu kimeshindwa kuleta hilo.
Saivi Tanzania imekua kama kitabu cha "THE ANIMAL FARM"
 
Sote ni mashuhuda jinsi wananchi maeneo mballimbali nchini wanavyojitolea na kujitokeza kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025.

Licha ya changamoto za uduni wa vyombo vya usafiri wanavyotumia kuelekea mikutanoni, lakini bado kila mTanzania anatamani na anahakikisha vyovyote iwavyo anakwenda kwenye mkutano kumuona na kumsikiliza Dr Samia Suluhu Hassan.

Wananchi wote wako tayari kuacha shughuli zao muhimu na kwenda mikutano kumsikiliza Dr. Samia Suluhu Hassan ambayo ni muhimu zaidi. Na huo ndio uzalendo wa kweli.

Kama Taifa, una kila sababu ya kumshukuru Mungu, kwa kutujaalia kiongozi huyu mwanamke shupavu, mwenye nia na dhamira ya kuwaunganisha wananchi na kuwaletea maendeleo.šŸ’

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
Ni wajinga pekee, CHAWA, mafisadi, wezi, wabadhirifu wa mali ya umma, wachawi, na wanafiki ndiyo mnao ipenda hiyo ccm.
 
Ni wajinga pekee, CHAWA, mafisadi, wezi, wabadhirifu wa mali ya umma, wachawi, na wanafiki ndiyo mnao ipenda hiyo ccm.
Gentleman,
ni muhimu sana kua na heshma kidogo kwa wananchi.

haiwezekani kuwadharau maelfu kwa mamilioni ya waTanzania wanaookusanyika kwa namna mbalimbali kote nchini kuja kumuona na kumsikiliza mgombea urais kupitia CCM Dr.Samia Suluhu Hassan.

ni kitu kibaya sana kudharau mapenzi ya waTanzania wazalendo kwa viongozi wao wa chama na serikali šŸ’
 
Tunataka Tanzania safi, Haijalishi itatoka katika chama kipi.
Ni wazi kuwa chama chenu kimeshindwa kuleta hilo.
Saivi Tanzania imekua kama kitabu cha "THE ANIMAL FARM"
Gentleman,
Chama Cha Mapinduzi pekee ndio muarobaini wa changamoto za kisiasa kijamii na kiuchumi za waTanzania wote.
CCM inaaminika na kukubalika kwa wananchi wote.šŸ’
 
Back
Top Bottom