Tuwe wakweli tu CCM, inapendwa, inaaminika na inakubalika sana kwa waTanzania wote.

Sote ni mashuhuda jinsi wananchi maeneo mballimbali nchini wanavyojitolea na kujitokeza kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025.

Licha ya changamoto za uduni wa vyombo vya usafiri wanavyotumia kuelekea mikutanoni, lakini bado kila mTanzania anatamani na anahakikisha vyovyote iwavyo anakwenda kwenye mkutano kumuona na kumsikiliza Dr Samia Suluhu Hassan.

Wananchi wote wako tayari kuacha shughuli zao muhimu na kwenda mikutano kumsikiliza Dr. Samia Suluhu Hassan kitu ambacho ni muhimu zaidi. Na huo ndio uzalendo wa kweli.

Kama Taifa, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu, kwa kutujaalia kiongozi huyu mwanamke shupavu, mwenye nia na dhamira ya dhati ya kuwaunganisha wananchi na kuwaletea maendeleo endelevu kisiasa, kijamii na kiuchumi.🐒

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
Kwa wajinga kama wewe sawa.
 
CCM ingekubali kujipima ubavu na CHADEMA chama cha wananchi tungejua kama CCM inapendwa!
Lakini hii ya kujifariji kwa kusomba wanachama kwa malori kutoka mikoa mbalimbali ili kujaza mikutano ya kutoa Ahadi za Uongo hicho kipimo cha kupendwa na wananchi.
 
Hakuna mtu anaipenda ccm endelea kujifurahisha watu wako huko kwa maslahi yao binafsi. Wakwepa kodi, wezi na mafisadi huko kichaka chao
 
Sote ni mashuhuda jinsi wananchi maeneo mballimbali nchini wanavyojitolea na kujitokeza kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025.

Licha ya changamoto za uduni wa vyombo vya usafiri wanavyotumia kuelekea mikutanoni, lakini bado kila mTanzania anatamani na anahakikisha vyovyote iwavyo anakwenda kwenye mkutano kumuona na kumsikiliza Dr Samia Suluhu Hassan.

Wananchi wote wako tayari kuacha shughuli zao muhimu na kwenda mikutano kumsikiliza Dr. Samia Suluhu Hassan kitu ambacho ni muhimu zaidi. Na huo ndio uzalendo wa kweli.

Kama Taifa, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu, kwa kutujaalia kiongozi huyu mwanamke shupavu, mwenye nia na dhamira ya dhati ya kuwaunganisha wananchi na kuwaletea maendeleo endelevu kisiasa, kijamii na kiuchumi.🐒

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
WaTanganyika aliyewaloga mtafuteni dah!
 
Ila kijani bhna, sawa mnapendwa sana.
 
Safari hii hawakukucheleweshea posho yako ya kuandika hapa JF? umepata kwa wakati au bado unadai? Mungu laani chama cha Mapinduzi wala tunakuomba usiibariki nchi hii inayoua wananchi wake ovyo, bali laani hii nchi na viongozi wake matapeli, wezi na wauaji.
 
Baada ya kura za maoni,
CCM hua ni moja tu gentleman,
hizo nyingine ni porojo tu 🐒
Gentleman siku chache kabla ya uchaguzi ulipotea mpaka Leo hujulikani ulipo
 
ni mamilioni ya waTanzania gentleman hususan waliojiandikisha kutiki ✔️ Oct 29 🐒
Gentleman siku chache kabla ya uchaguzi ulipotea mpaka Leo hujulikani ulipo
 
Tlaatlaah huna hata ndugu mmoja alepigwa risasi kwenye maandamano ya amani 29/10.
Ungepata msiba akili ingekukaa sawa.
 
Back
Top Bottom