Tuwe wakweli tu CCM, inapendwa, inaaminika na inakubalika sana kwa waTanzania wote.

Sote ni mashuhuda jinsi wananchi maeneo mballimbali nchini wanavyojitolea na kujitokeza kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025.

Licha ya changamoto za uduni wa vyombo vya usafiri wanavyotumia kuelekea mikutanoni, lakini bado kila mTanzania anatamani na anahakikisha vyovyote iwavyo anakwenda kwenye mkutano kumuona na kumsikiliza Dr Samia Suluhu Hassan.

Wananchi wote wako tayari kuacha shughuli zao muhimu na kwenda mikutano kumsikiliza Dr. Samia Suluhu Hassan ambayo ni muhimu zaidi. Na huo ndio uzalendo wa kweli.

Kama Taifa, una kila sababu ya kumshukuru Mungu, kwa kutujaalia kiongozi huyu mwanamke shupavu, mwenye nia na dhamira ya kuwaunganisha wananchi na kuwaletea maendeleo.🐒

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
Ninavyoona ni kwako na wanafamilia yako na wale rafiki zenu.
 
Utatamani sana huu ndio ukweli, lakini kwa bahati mbaya zama hizo za ccm zimeshapita, na sio kupita tu, wala hazitakaa zirudi. Mtashurutisha sana kukubalika, mtateka watu, mtaua, mtazui uhuru wa vyombo vya habari kusema ukweli, lakini mjue mwisho wenu ulishafika, na hizo nguvu za dola zitaisha pia.
 
Ccm ingekuwa inapendwa, hakika utekaji usingekuwepo. Ccm imesheheni wendawazimu
 
Ninavyoona ni kwako na wanafamilia yako na wale rafiki zenu.
Gentleman,
mamilioni ya watanzania wanafurika mikutano ya CCM unadhani kwanini hakuna anaebaki nyumbani?🐒
 
Ccm ingekuwa inapendwa, hakika utekaji usingekuwepo. Ccm imesheheni wendawazimu

Ccm ingekuwa inapendwa, hakika utekaji usingekuwepo. Ccm imesheheni wendawazimu
hizo drama zilifanywa na genge la uhalifu chadema, na ndio maana tangu isambaratike husikii hizo porojo 🐒
 
Sote ni mashuhuda jinsi wananchi maeneo mballimbali nchini wanavyojitolea na kujitokeza kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025.

Licha ya changamoto za uduni wa vyombo vya usafiri wanavyotumia kuelekea mikutanoni, lakini bado kila mTanzania anatamani na anahakikisha vyovyote iwavyo anakwenda kwenye mkutano kumuona na kumsikiliza Dr Samia Suluhu Hassan.

Wananchi wote wako tayari kuacha shughuli zao muhimu na kwenda mikutano kumsikiliza Dr. Samia Suluhu Hassan ambayo ni muhimu zaidi. Na huo ndio uzalendo wa kweli.

Kama Taifa, una kila sababu ya kumshukuru Mungu, kwa kutujaalia kiongozi huyu mwanamke shupavu, mwenye nia na dhamira ya kuwaunganisha wananchi na kuwaletea maendeleo.🐒

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
Uzuri mkubwa sasa hivi ni kuwa CCM wanapambana na CCM.

Na lazima kuna mshindi na atakayeshindwa.

CCM ni chama pendwa
 
Baada ya kura za maoni,
CCM hua ni moja tu gentleman,
hizo nyingine ni porojo tu 🐒
 
Ila Dr. Samia Suluhu Hasani kwakweli anapendwa aise, Magufuli akasome aise.
 
Sote ni mashuhuda jinsi wananchi maeneo mballimbali nchini wanavyojitolea na kujitokeza kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025.

Licha ya changamoto za uduni wa vyombo vya usafiri wanavyotumia kuelekea mikutanoni, lakini bado kila mTanzania anatamani na anahakikisha vyovyote iwavyo anakwenda kwenye mkutano kumuona na kumsikiliza Dr Samia Suluhu Hassan.

Wananchi wote wako tayari kuacha shughuli zao muhimu na kwenda mikutano kumsikiliza Dr. Samia Suluhu Hassan kitu ambacho ni muhimu zaidi. Na huo ndio uzalendo wa kweli.

Kama Taifa, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu, kwa kutujaalia kiongozi huyu mwanamke shupavu, mwenye nia na dhamira ya dhati ya kuwaunganisha wananchi na kuwaletea maendeleo endelevu kisiasa, kijamii na kiuchumi.🐒

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
Kwa hiyo wewe umekuwa msemaji wetu? Utafiti gani uliofanywa mpaka uje na Matokeo hayo? Ulishawahi hata kujua idadi ya Watu waliopo kwenye eneo husika na idadi ya Wahudhuriaji?
 
Mchawi hakuchukii anakupenda, tatizo la wa Tz uchawi mwingi, Fisiemu ni nani tushindwe kumfanyia uchawi?
 
Sote ni mashuhuda jinsi wananchi maeneo mballimbali nchini wanavyojitolea na kujitokeza kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025.

Licha ya changamoto za uduni wa vyombo vya usafiri wanavyotumia kuelekea mikutanoni, lakini bado kila mTanzania anatamani na anahakikisha vyovyote iwavyo anakwenda kwenye mkutano kumuona na kumsikiliza Dr Samia Suluhu Hassan.

Wananchi wote wako tayari kuacha shughuli zao muhimu na kwenda mikutano kumsikiliza Dr. Samia Suluhu Hassan kitu ambacho ni muhimu zaidi. Na huo ndio uzalendo wa kweli.

Kama Taifa, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu, kwa kutujaalia kiongozi huyu mwanamke shupavu, mwenye nia na dhamira ya dhati ya kuwaunganisha wananchi na kuwaletea maendeleo endelevu kisiasa, kijamii na kiuchumi.🐒

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
Kama ndivyo ni lazima kuja kusisitiza hapa? 🚮🚮🚮🚮
 
Kwa hiyo wewe umekuwa msemaji wetu? Utafiti gani uliofanywa mpaka uje na Matokeo hayo? Ulishawahi hata kujua idadi ya Watu waliopo kwenye eneo husika na idadi ya Wahudhuriaji?
[Huyo ni Ng'ombe kama Ng'ombe wengine kwenye zizi la mama.]
 
Sote ni mashuhuda jinsi wananchi maeneo mballimbali nchini wanavyojitolea na kujitokeza kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025.

Licha ya changamoto za uduni wa vyombo vya usafiri wanavyotumia kuelekea mikutanoni, lakini bado kila mTanzania anatamani na anahakikisha vyovyote iwavyo anakwenda kwenye mkutano kumuona na kumsikiliza Dr Samia Suluhu Hassan.

Wananchi wote wako tayari kuacha shughuli zao muhimu na kwenda mikutano kumsikiliza Dr. Samia Suluhu Hassan kitu ambacho ni muhimu zaidi. Na huo ndio uzalendo wa kweli.

Kama Taifa, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu, kwa kutujaalia kiongozi huyu mwanamke shupavu, mwenye nia na dhamira ya dhati ya kuwaunganisha wananchi na kuwaletea maendeleo endelevu kisiasa, kijamii na kiuchumi.🐒

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzan

Moja ya njia ya kuiponya nchi yetu ni kuwatokomeza watu kama hawa
 
Kama unaamini mnakubalika wekeni level uwanja wa mashindalo alafu muingize timu uwanjani ndo utajua kilichomuweka kanga madoa
 
Back
Top Bottom