waTanzania wazalendo wote wanashauriwa kutumia kila aina ya usafiri unaowezekana katika maeneo yao, na kuhakikisha wanafika kumpokea, kumuona na kumsikiliza kipenzi chao Dr Samia Suluhu Hassan katika vituo maalumu vya vya kampeni yalioyoaandaliwa kwenye mikoa yao πKwa kutumia marori au ?.
Kinyeo wa mikocheni ujamboView attachment 3466398
Sahihi kabisaSote ni mashuhuda jinsi wananchi maeneo mballimbali nchini wanavyojitolea na kujitokeza kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025.
Licha ya changamoto za uduni wa vyombo vya usafiri wanavyotumia kuelekea mikutanoni, lakini bado kila mTanzania anatamani na anahakikisha vyovyote iwavyo anakwenda kwenye mkutano kumuona na kumsikiliza Dr Samia Suluhu Hassan.
Wananchi wote wako tayari kuacha shughuli zao muhimu na kwenda mikutano kumsikiliza Dr. Samia Suluhu Hassan ambayo ni muhimu zaidi. Na huo ndio uzalendo wa kweli.
Kama Taifa, una kila sababu ya kumshukuru Mungu, kwa kutujaalia kiongozi huyu mwanamke shupavu, mwenye nia na dhamira ya kuwaunganisha wananchi na kuwaletea maendeleo.π
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
Wote na kina nani?Sote ni mashuhuda jinsi wananchi maeneo mballimbali nchini wanavyojitolea na kujitokeza kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025.
Licha ya changamoto za uduni wa vyombo vya usafiri wanavyotumia kuelekea mikutanoni, lakini bado kila mTanzania anatamani na anahakikisha vyovyote iwavyo anakwenda kwenye mkutano kumuona na kumsikiliza Dr Samia Suluhu Hassan.
Wananchi wote wako tayari kuacha shughuli zao muhimu na kwenda mikutano kumsikiliza Dr. Samia Suluhu Hassan ambayo ni muhimu zaidi. Na huo ndio uzalendo wa kweli.
Kama Taifa, una kila sababu ya kumshukuru Mungu, kwa kutujaalia kiongozi huyu mwanamke shupavu, mwenye nia na dhamira ya kuwaunganisha wananchi na kuwaletea maendeleo.π
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
msingi na malengo ya kuanzishwa kwa CCM ni kushiriki uchaguzi, kushinda uchaguzi, kukamata dola, kuunda serikali, kuongoza nchi, kuwatumikia wananchi na kuwaletea waTanzania wote maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchmi.Mimi CCM Lakini napenda ligi ziwe SAWA..Ningependa mtiti Kama wa 2015..ili tujipime.. Lakini kwasasa ziwezi SEMA lolote.
Wapumbavu woteeCCM imebeba matumaini ya watanzania wote
mapenzi ya wananchi kwa CCM ni ya asili, ndio maana unaona waTanzania wote wapo radhi kuahirisha na kuacha shughuli zao ili tu kwenda kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan,Inapendwq kwa kutoa khanga, chumvi, tisheti, baiskeli, bodaboda, kujaza mafuta kwa bodaboda, kulazimisha wanafunzi wakachomwe jua, kukodi wasanii wakubwa waje majukwaani ili watu wakashangae wasanii na kuonekana walizaja watu kwenye kampeni kisha siku ya uchaguzi wanakuja na matokeo ya kupika.
Chama cha Mafisadi
Gentleman,CCM INAENDA KUANGUKA
WATAGOMBANA WAO KWA WAO
TUOMBEE TAIFA LETU
View attachment 3466425
MUNGU HAJAPENDEZWA NA UOVU ULIOKO MADARAKANI
KABLA YA ROHO YA VITA KUACHILIWA