Tuwe wakweli tu CCM, inapendwa, inaaminika na inakubalika sana kwa waTanzania wote.

Sasa kama ccm inapendwa na mamilioni ya watu kulikoni kuogopa uchaguzi ulio huru, wazi na wa haki kweli??.
 
Sasa kama ccm inapendwa na mamilioni ya watu kulikoni kuogopa uchaguzi ulio huru, wazi na wa haki kweli??.
Gentleman,
uchaguzi mkuu wa October 29,2025 utafanyika bila aibu na wala bila kumuogopa kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa nchini

Na Dr.Samia Suluhu Hassan atatangazwa mshindi kwa uwazi zaid πŸ’
 
Raia hawana option na wanajua watakacho kutana nacho wakiwa wapinzani, mta acha vipi kuaminika?
upinzani ni mateso makali kisiasa,kijamii na kiuchumi.

Ni lofa pekee anaweza kuchagua kuishi Mazingira hayo gentleman πŸ’
 
upinzani ni mateso makali kisiasa,kijamii na kiuchumi.

Ni lofa pekee anaweza kuchagua kuishi Mazingira hayo gentleman πŸ’
Mkuu wengine wetu sio watumwa, hatuko tayari kulamba makalio ya watawala ili kupata kula yetu...
 
Kama inapendwa iruhusu tume huru na katiba mpya sio taarabu na ngonjera zako
 
Mkuu wengine wetu sio watumwa, hatuko tayari kulamba makalio ya watawala ili kupata kula yetu...
endeleeni kuwalamba hao vibaka na matapeli wa kisiasa wanaowabeba ufala wa kifikra daima πŸ’
 
Kama inapendwa iruhusu tume huru na katiba mpya sio taarabu na ngonjera zako
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi iko kwa mujibu wa katiba ya Tanzania na inatekeleza majukumu yake sawa sawia kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct 29,2025.

hakuna mbambamba juu ya hilo πŸ’
 
Naunga mkono hoja Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. tarehe 29 October, watu wote twendeni tuka...

P
 
upinzani ni mateso makali kisiasa,kijamii na kiuchumi.

Ni lofa pekee anaweza kuchagua kuishi Mazingira hayo gentleman πŸ’
Tunataka Tanzania safi, Haijalishi itatoka katika chama kipi.
Ni wazi kuwa chama chenu kimeshindwa kuleta hilo.
Saivi Tanzania imekua kama kitabu cha "THE ANIMAL FARM"
 
Ni wajinga pekee, CHAWA, mafisadi, wezi, wabadhirifu wa mali ya umma, wachawi, na wanafiki ndiyo mnao ipenda hiyo ccm.
 
Ni wajinga pekee, CHAWA, mafisadi, wezi, wabadhirifu wa mali ya umma, wachawi, na wanafiki ndiyo mnao ipenda hiyo ccm.
Gentleman,
ni muhimu sana kua na heshma kidogo kwa wananchi.

haiwezekani kuwadharau maelfu kwa mamilioni ya waTanzania wanaookusanyika kwa namna mbalimbali kote nchini kuja kumuona na kumsikiliza mgombea urais kupitia CCM Dr.Samia Suluhu Hassan.

ni kitu kibaya sana kudharau mapenzi ya waTanzania wazalendo kwa viongozi wao wa chama na serikali πŸ’
 
Tunataka Tanzania safi, Haijalishi itatoka katika chama kipi.
Ni wazi kuwa chama chenu kimeshindwa kuleta hilo.
Saivi Tanzania imekua kama kitabu cha "THE ANIMAL FARM"
Gentleman,
Chama Cha Mapinduzi pekee ndio muarobaini wa changamoto za kisiasa kijamii na kiuchumi za waTanzania wote.
CCM inaaminika na kukubalika kwa wananchi wote.πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…