Tuwe wakweli tu CCM, inapendwa, inaaminika na inakubalika sana kwa waTanzania wote.

Ninavyoona ni kwako na wanafamilia yako na wale rafiki zenu.
 
Utatamani sana huu ndio ukweli, lakini kwa bahati mbaya zama hizo za ccm zimeshapita, na sio kupita tu, wala hazitakaa zirudi. Mtashurutisha sana kukubalika, mtateka watu, mtaua, mtazui uhuru wa vyombo vya habari kusema ukweli, lakini mjue mwisho wenu ulishafika, na hizo nguvu za dola zitaisha pia.
 
Ccm ingekuwa inapendwa, hakika utekaji usingekuwepo. Ccm imesheheni wendawazimu
 
Ninavyoona ni kwako na wanafamilia yako na wale rafiki zenu.
Gentleman,
mamilioni ya watanzania wanafurika mikutano ya CCM unadhani kwanini hakuna anaebaki nyumbani?๐Ÿ’
 
Ccm ingekuwa inapendwa, hakika utekaji usingekuwepo. Ccm imesheheni wendawazimu

Ccm ingekuwa inapendwa, hakika utekaji usingekuwepo. Ccm imesheheni wendawazimu
hizo drama zilifanywa na genge la uhalifu chadema, na ndio maana tangu isambaratike husikii hizo porojo ๐Ÿ’
 
Uzuri mkubwa sasa hivi ni kuwa CCM wanapambana na CCM.

Na lazima kuna mshindi na atakayeshindwa.

CCM ni chama pendwa
 
Uzuri mkubwa sasa hivi ni kuwa CCM wanapambana na CCM.

Na lazima kuna mshindi na atakayeshindwa.

CCM ni chama pendwa
Baada ya kura za maoni,
CCM hua ni moja tu gentleman,
hizo nyingine ni porojo tu ๐Ÿ’
 
Uzuri mkubwa sasa hivi ni kuwa CCM wanapambana na CCM.

Na lazima kuna mshindi na atakayeshindwa.

CCM ni chama pendwa
Baada ya kura za maoni,
CCM hua ni moja tu gentleman,
hizo nyingine ni porojo tu ๐Ÿ’
 
Ila Dr. Samia Suluhu Hasani kwakweli anapendwa aise, Magufuli akasome aise.
 
Kwa hiyo wewe umekuwa msemaji wetu? Utafiti gani uliofanywa mpaka uje na Matokeo hayo? Ulishawahi hata kujua idadi ya Watu waliopo kwenye eneo husika na idadi ya Wahudhuriaji?
 
Mchawi hakuchukii anakupenda, tatizo la wa Tz uchawi mwingi, Fisiemu ni nani tushindwe kumfanyia uchawi?
 
Kama ndivyo ni lazima kuja kusisitiza hapa? ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Kwa hiyo wewe umekuwa msemaji wetu? Utafiti gani uliofanywa mpaka uje na Matokeo hayo? Ulishawahi hata kujua idadi ya Watu waliopo kwenye eneo husika na idadi ya Wahudhuriaji?
[Huyo ni Ng'ombe kama Ng'ombe wengine kwenye zizi la mama.]
 

Moja ya njia ya kuiponya nchi yetu ni kuwatokomeza watu kama hawa
 
Kama unaamini mnakubalika wekeni level uwanja wa mashindalo alafu muingize timu uwanjani ndo utajua kilichomuweka kanga madoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ