Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
Kwa wajinga kama wewe sawa.Sote ni mashuhuda jinsi wananchi maeneo mballimbali nchini wanavyojitolea na kujitokeza kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025.
Licha ya changamoto za uduni wa vyombo vya usafiri wanavyotumia kuelekea mikutanoni, lakini bado kila mTanzania anatamani na anahakikisha vyovyote iwavyo anakwenda kwenye mkutano kumuona na kumsikiliza Dr Samia Suluhu Hassan.
Wananchi wote wako tayari kuacha shughuli zao muhimu na kwenda mikutano kumsikiliza Dr. Samia Suluhu Hassan kitu ambacho ni muhimu zaidi. Na huo ndio uzalendo wa kweli.
Kama Taifa, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu, kwa kutujaalia kiongozi huyu mwanamke shupavu, mwenye nia na dhamira ya dhati ya kuwaunganisha wananchi na kuwaletea maendeleo endelevu kisiasa, kijamii na kiuchumi.π
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
WaTanganyika aliyewaloga mtafuteni dah!Sote ni mashuhuda jinsi wananchi maeneo mballimbali nchini wanavyojitolea na kujitokeza kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025.
Licha ya changamoto za uduni wa vyombo vya usafiri wanavyotumia kuelekea mikutanoni, lakini bado kila mTanzania anatamani na anahakikisha vyovyote iwavyo anakwenda kwenye mkutano kumuona na kumsikiliza Dr Samia Suluhu Hassan.
Wananchi wote wako tayari kuacha shughuli zao muhimu na kwenda mikutano kumsikiliza Dr. Samia Suluhu Hassan kitu ambacho ni muhimu zaidi. Na huo ndio uzalendo wa kweli.
Kama Taifa, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu, kwa kutujaalia kiongozi huyu mwanamke shupavu, mwenye nia na dhamira ya dhati ya kuwaunganisha wananchi na kuwaletea maendeleo endelevu kisiasa, kijamii na kiuchumi.π
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
Ila kijani bhna, sawa mnapendwa sana.Sote ni mashuhuda jinsi wananchi maeneo mballimbali nchini wanavyojitolea na kujitokeza kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025.
Licha ya changamoto za uduni wa vyombo vya usafiri wanavyotumia kuelekea mikutanoni, lakini bado kila mTanzania anatamani na anahakikisha vyovyote iwavyo anakwenda kwenye mkutano kumuona na kumsikiliza Dr Samia Suluhu Hassan.
Wananchi wote wako tayari kuacha shughuli zao muhimu na kwenda mikutano kumsikiliza Dr. Samia Suluhu Hassan kitu ambacho ni muhimu zaidi. Na huo ndio uzalendo wa kweli.
Kama Taifa, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu, kwa kutujaalia kiongozi huyu mwanamke shupavu, mwenye nia na dhamira ya dhati ya kuwaunganisha wananchi na kuwaletea maendeleo endelevu kisiasa, kijamii na kiuchumi.π
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
Safari hii hawakukucheleweshea posho yako ya kuandika hapa JF? umepata kwa wakati au bado unadai? Mungu laani chama cha Mapinduzi wala tunakuomba usiibariki nchi hii inayoua wananchi wake ovyo, bali laani hii nchi na viongozi wake matapeli, wezi na wauaji.Sote ni mashuhuda jinsi wananchi maeneo mballimbali nchini wanavyojitolea na kujitokeza kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025.
Licha ya changamoto za uduni wa vyombo vya usafiri wanavyotumia kuelekea mikutanoni, lakini bado kila mTanzania anatamani na anahakikisha vyovyote iwavyo anakwenda kwenye mkutano kumuona na kumsikiliza Dr Samia Suluhu Hassan.
Wananchi wote wako tayari kuacha shughuli zao muhimu na kwenda mikutano kumsikiliza Dr. Samia Suluhu Hassan kitu ambacho ni muhimu zaidi. Na huo ndio uzalendo wa kweli.
Kama Taifa, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu, kwa kutujaalia kiongozi huyu mwanamke shupavu, mwenye nia na dhamira ya dhati ya kuwaunganisha wananchi na kuwaletea maendeleo endelevu kisiasa, kijamii na kiuchumi.π
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
Gentleman siku chache kabla ya uchaguzi ulipotea mpaka Leo hujulikani uliposina maoni π
Gentleman siku chache kabla ya uchaguzi ulipotea mpaka Leo hujulikani ulipoBaada ya kura za maoni,
CCM hua ni moja tu gentleman,
hizo nyingine ni porojo tu π
Gentleman siku chache kabla ya uchaguzi ulipotea mpaka Leo hujulikani uliponi mamilioni ya waTanzania gentleman hususan waliojiandikisha kutiki βοΈ Oct 29 π
Jicho lake limeliwa usiku ndio maana amechanganyikiwqUmeamka unawashwa jicho lako la 3!