- Thread starter
- #21
Dini au imani ni eneo pana, sio tu kwenda Msikitini kupiga rakaa au kuingia kanisani kusikiliza mahubiri na kula mkate. Ni pale unapoingiza kanuni za dini yako katika maisha yako ya kila siku.Haya ni baadhi ya mataifa ambayo dini imepuuzwa sana na yameendelea sana,
1.China
2.Japan
3.Sweden
4. Czech
5. Estonia
6.Ufaransa
Sasa hawa wanaoishi maisha yao kila siku wanaamua kuyaleta maisha hayo katika ujenzi wa taifa. Hao uliowataka kaangalie wanavyosimamia sheria za uendeshaji wa mataifa yao.
Tanzania hujui kama viongozi ni wakristo, waislam, wa kimila etc. Maake huyu kaiba pesa ya kutunzia Mama wajawazito halafu anaachwa bila kufanywa chochote. Vipi kama tungefunua kitabu kimojawapo kutafuta adhabu ya kumpa huyu mtu? Ili jambo kama hili lisijirudie?
Hayo mataifa Yameweka Dini na Mila zao kwenye uendeshaji wa Serikali na Usimamizi wa Vyombo vya dola