Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Zamani nilikua namuona Kajala ni half-smart kumbe ni hopeless kabisa. Kamuharibu sana mwanae. Mama zero brain kabisa. Haya manamake mengine ni ya kuyatom** tu sio ya kuyaoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mwanangu umeangalia H2H ya mama mtu ukajua hii mechi lazima itoe both teams to score au Luca Doncic to score 30+ points. Upo sahihi laana hizi bila maombi zinatambaaga na kizazi.Watalamu wa mambo wanasema historian ni mwalimu mzuri sana, wahenga mlikuwa mnafuatilia masuala ya burudani mnakumbuka mtindo wa maisha wa Elizabeth Michael jina Lulu, kabla ajapata tatizo la tuhuma za kumuua mwigizaji Kanumba.
Lulu alikuwa ashikiki binti scandal hazimuishi bata club yeye magazeti hayaishi mwandika yeye hana habari kwa bahati mbaya mda huo hizi social media zilikuwepo ila hazikuwa na mashiko kama sasa mda ule kibongo bongo blogs ndio zilikuwa zinasumbua na face book ndio ilikuwa zaidi na watz wengi smart phone walikuwa hawana so binti alisumbua.
Kilichomtuliza sote tunajua baada ya sakata la Kanumba binti akaenda gerezani akasota Mungu akamsaidia akatoka binti akawa matured akili ikamkaa sawa akatulia.
Sasa uyu Kajala yeye yashamtokea ila kajisahaulisha tamaa tamaa alingia mkenge kwa tapeli bila huruma za Wema Sepetu angekuwa mfungwa kwahiyo ajajifunza so tusave the date hii itajirudia tu yeye na mwanae mtindo wa maisha wanaoenda nao siyo mjini hapa wataingizwa choo cha kiume tu.
Mwanae alipataga scandal za video za utupu ikapita ikaja scandal nyingine ikapita imekuja hii nayo itapita ila watajichanganya tu si wanapenda bata litawacost history zipo wazi watapata msala hao watanyea segedansi aacha waende ende Dubai sijui wapi watajikuta punda bila kujua hapo ndio wataita maji mma.
Yaaah, wanavyodai kajala alikuaga Marcelo ndio majani akapiga sio kwamba yalikua mahusiano seriousUkimtazama KHALFAN MAJAN... kisha ukamtazama KAJALA... ni ushahidi tosha kwamba takko limetupeleka chaka wanaume wengi
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kahojiwa Leo,amesema hausiki! Mtt wake alishamkataa,kuwa Ye sio baba yake!Huruma ninamuonea PFank Majani kwani ndiye mhanga katika hili.
Kafunguka leoP funk kuna interview alishamuonya kajala kumexpose Paula kwenye social media nadhani ndio maana kanyamaza kimya anaangalia mchezo
[emoji23][emoji23]Ila kila mtu ana sifa zake kwa demu, mbona mi Paula mamuona wa kawaida sana, na ilo tabasamu lake pana ndio kabisaaaa simtaki.
Kamjua lulu insta ajui binti alikuwa ashikikiLulu hajawa na kashfa za hivyo kiasi hiki? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja nicheke tu
jamaa hata yeye amekili jana kwamba alikosea sana kwa kajala, anadai yule sio mkeUkimtazama KHALFAN MAJAN... kisha ukamtazama KAJALA... ni ushahidi tosha kwamba takko limetupeleka chaka wanaume wengi
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app