Tuweke kumbukumbu zetu sawa, huu ndo uchumi wa Magufuli aliouacha, all facts! - Sehemu ya kwanza

Funzo kubwa USIMWAGE DAMU ISIYO NA HATIA PIA AUWAE KWA UPANGA ATAUWAWA KWA UPANGA.
 
Likijibiwa kwa ufasaha hili swali naleft group la jf.
 
Kwa uchumi wa JK ulivyokuwa vibrant hata haka kareli na kabwawa tunakonyanyaswa nako bado angejenga bila kutunyanyasa.
 
Nahisi utakuwa mtumishi wa TANESCO!
Hata hivyo umeeleza kwa lugha nzuri ambayo hata sisi tumeelewa.
Kuna kaswali kadogo,kwa nini serikali zilizopita hazikuliona hilo?
Je kuna uwezekano wa 10% kwa miradi hiyo inayohitaji overhaul kila baada ya miaka miwili?
Tukumbuke tu sera zinazotekelezwa ni za CCM tangu kupata Uhuru
 
Mkuu ningekua mfanyakazi wa Tanesco ningekua nishayajua hayo siku nyingi.

Mimi sio mfanyakazi wa Tanesco ila imetokea tu bahati kwenye kazi nayofanya nikapata exclusive access na taarifa na nyaraka za Tanesco na kuzipitia hivyo kunipa ufahamu mkubwa zaidi wa ndani wa tanesco.

Ni bahati mbaya habari kama hizi hua hazipatikani kwa umma amma hivyo inakua ni siri miaka yote huku waanchi wakitwishwa mzigo.

Ni kweli kua hii mikataba imeingiwa na serikali ya ccm. Ndio maana mimi binafsi hua nasema ccm haijawahi kua na nia njema na watanzania, bila kuondoa ccm maendeleo tutaendelea kuyaona kwenye tv.
 
Naantombe Mushi kasomeuhalisia hapo juu uache kugidwa na Mushi
 
Kwa ufupi sekta ya gesi aliyoitelekeza jiwe ingekuwa na manufaa lukuki na makubwa kiuchumi mara nyingi zaidi kuliko manufaa yatakayopatikana katika hilo bwawa alilioenda kulijenga kwenye hifadhi ya wanyama. Jiwe na watu wa aina yako wanashabikia tu gharama kidogo za unit ya umeme utokanao na maji bila kutazama manufaa ya muunganiko wa uchumi mzima kwa ujumla.

Makosa hayo hayo aliyafanya alipoenda kuchukua pesa za wakulima wa korosho na kuagiza BoT inunue korosho.
Sijakuelewa, uneandika nini.

Unaweza kuiweka sawasawa hoja yako?
 
Wengi walikua wanafata mkumbo wa kigogo kule twitter kumchukia
 
Hayo manufaa ya gesi na uchumi mzima na muunganiko wake ni yapi?

Ungeweza kunisaidia kunielimisha kwenye hilo ningeshukuru sana.

Ahsante.
 
One of the worst project ni SGR all the studies ever done zilisema the project is not viable kwa nature ya biashara ya nchi yetu
At the moment out of 16m tones ya Cargo inayoingia Dar port 67% inabaki TZ na 90% of it inabaki Dar es Salaam the remaining 33% unsends nchi za nje of which over 60% inaenda via Tunduma

Operation costs za SGR ziko so high has hii ya umeme of which SGR ni Another project itakayokuwa inachukua hela za walipakodi kuigharamia kuiendesha
 
Hakuna mbaya katika yote. Kila mtu ana ubaya wake na uzuri wake. Kinachoangaliwa ni mabaya yasi outweigh mazuri.
 
yote kwa yote baadhi mnaojaribu kutoa uchambuzi wenu wa kiuchumi mi naona mnatoa theory tu za darasani ambazo hua ni tofauti na uhalisia kwenye field na hilo hayalt siku anamuapisha mh.hussein bashe kwa teuzi ya mara ya kwanza "alisema nenda kafanye kazi achana na zile theory za bungeni" hivyo basi pamoja na mapungufu yote hayati katuachia vichocheo vya ukuaji wa uchumi ambavyo kama vikiendelezwa na kukamilika kwa wakati sahihi basi kila mtanzania ataweza kufikia malengo yake na kuenjoy cake ya taifa.Na kuelekea mafanikio yoyote lazima kuna wachache wataumia ili wengi wapone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…