Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Enzi gani, andika hoja kama mtu ambae angalau umefika darasa la 7.Hebu tujikumbushe enzi za ukame then tuendelee kujadili vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enzi gani, andika hoja kama mtu ambae angalau umefika darasa la 7.Hebu tujikumbushe enzi za ukame then tuendelee kujadili vizuri.
Funzo kubwa USIMWAGE DAMU ISIYO NA HATIA PIA AUWAE KWA UPANGA ATAUWAWA KWA UPANGA.Jiwe au "Mwamba" kwa jina jipya walllombatiza baada ya kifo chake ndilo lilimpa jeuri ya "KUJIMWAMBAFY" .
Wakti Jiwe akijimwambafy na kuelekeza wapinzani wapigwe marisasi na kupotezwa alifikiri hii Tanzania na dunia alikuwa amezifanya miliki yake!!!!!. Niliwahi kusema huko nyuma, kuwa kwa Watz hao waliokuwa wakiteseka, nyanyasika na kupotezewa maisha yao, GOD WAS JUST WATCHING FROM A DISTANCE. Sasa imekwisha......! It's now over!
R.I.P. Mwamba wa Chato!
Likijibiwa kwa ufasaha hili swali naleft group la jf.JK alikuwa anapata wapi pesa za kujenga barabara za lami kuunganisha mikoa yote, vyuo, airport, kuajiri, kupandisha mishahara kila mwaka, sherehe, mbio za mwenge, kulipa pensheni n.k bila hata kunyang'anya wakulima wa korosho au bureau de change pesa zao?
Nahisi utakuwa mtumishi wa TANESCO!Ila mimi nimemuelewa Magufuli kwenye baadhi ya mambo baada ya kufariki.
Kuna vitu nimekua exposed kwake kwa hivi karibuni kwa siku za mwisho mwisho za uhai wake, ndio nikaja kujua alikua na nia gani.
Kwenye ujenzi wa bwawa la umeme, nilikua nampinga tu Magufuli kwa kufuata mkumbo lakini baada ya kupata facts kuhusu gharama za uendeshaji wa mitambo ya gesi na mafuta kwa tanesco, nikajua kabisa Magufuli aliona mbali na alikua na nia njema kabisa kuhusu uchumi wa nchi yetu.
Sasa naamini ukiona mtu anapinga jambo flani inaweza kua halijui vizuri, ana maslahi binafsi, hajalielewa ama anafuata tu mkumbo au ameamua tu, maana watu wengine wanaweza kuamua tu kua dogma, akapewa undeniable facts na bado akaamua tu kutokuelewa.
Mfano mzuri watu dogma ni kama Magufuli mwenyewe juu ya covid 19, aliamua tu kua dogma juu ya corona na bahati mbaya udogmatic wake umegharimu maisha yake.
Ukweli ni kwamba uzalishaji wa umeme kutumia maji ni way cheaper kuliko sources nyingine zote za nishati, ni kati ya shilingi za kitanzania 60 hadi 90 kwa unit. Lakini pia maintanance ya mitambo yake ni baada ya muda mrefu sana, zaidi ya miaka 15 na hata gharama za utengenezaji wake sio kubwa.
Ukija kwenye gas, uzalishaji wa unit moja ni mara 2.5 ya uzalishaji wa maji, lakini pia mitambo ya gesi inahitaji overhaul maintenance kila baada ya miaka 2 na ni billion of money, hao ABB ya Uingereza, Siemens ya Sweden, General Electric ya Marekani, Wartisila na wengine hela wanazofyonza pale Tanesco sio za kitoto, sio za kitoto. Hawa hawataki kusikia tunakua na chanzo kingine cha umeme zaidi ya gasi ama mafuta mazito maana ulaji wao pale Tanesco utakata.
Mfano,Kihansi wanaenda kufanya overhaul maintenance baada ya miaka 20 toka kituo kianzishwe na gharama yake haitazidi 10b, lakini kule kinyerezi General Electric ya Marekani wanataka zaidi ya 80b kufanya ukarabati mkubwa kwa miaka 3 engines na wanataka walipwe kabla ya kufanya kazi. Mitambo ya gesi inataka matengenezo kila baada ya miaka 2.5 ama 3 na gharama zake si chini ya 30B.
Sasa watu kama hao watataka tuwe na vyanzo rahisi vya nishati kama maji? Obviously hawataki kabisa na watatumia propaganda zote kutuonyesha kua maji hayafai, sijui ujinga gani.
Mkuu ningekua mfanyakazi wa Tanesco ningekua nishayajua hayo siku nyingi.Nahisi utakuwa mtumishi wa TANESCO!
Hata hivyo umeeleza kwa lugha nzuri ambayo hata sisi tumeelewa.
Kuna kaswali kadogo,kwa nini serikali zilizopita hazikuliona hilo?
Je kuna uwezekano wa 10% kwa miradi hiyo inayohitaji overhaul kila baada ya miaka miwili?
Tukumbuke tu sera zinazotekelezwa ni za CCM tangu kupata Uhuru
Naantombe Mushi kasomeuhalisia hapo juu uache kugidwa na MushiIla mimi nimemuelewa Magufuli kwenye baadhi ya mambo baada ya kufariki.
Kuna vitu nimekua exposed kwake kwa hivi karibuni kwa siku za mwisho mwisho za uhai wake, ndio nikaja kujua alikua na nia gani.
Kwenye ujenzi wa bwawa la umeme, nilikua nampinga tu Magufuli kwa kufuata mkumbo lakini baada ya kupata facts kuhusu gharama za uendeshaji wa mitambo ya gesi na mafuta kwa tanesco, nikajua kabisa Magufuli aliona mbali na alikua na nia njema kabisa kuhusu uchumi wa nchi yetu.
Sasa naamini ukiona mtu anapinga jambo flani inaweza kua halijui vizuri, ana maslahi binafsi, hajalielewa ama anafuata tu mkumbo au ameamua tu, maana watu wengine wanaweza kuamua tu kua dogma, akapewa undeniable facts na bado akaamua tu kutokuelewa.
Mfano mzuri watu dogma ni kama Magufuli mwenyewe juu ya covid 19, aliamua tu kua dogma juu ya corona na bahati mbaya udogmatic wake umegharimu maisha yake.
Ukweli ni kwamba uzalishaji wa umeme kutumia maji ni way cheaper kuliko sources nyingine zote za nishati, ni kati ya shilingi za kitanzania 60 hadi 90 kwa unit. Lakini pia maintanance ya mitambo yake ni baada ya muda mrefu sana, zaidi ya miaka 15 na hata gharama za utengenezaji wake sio kubwa.
Ukija kwenye gas, uzalishaji wa unit moja ni mara 2.5 ya uzalishaji wa maji, lakini pia mitambo ya gesi inahitaji overhaul maintenance kila baada ya miaka 2 na ni billion of money, hao ABB ya Uingereza, Siemens ya Sweden, General Electric ya Marekani, Wartisila na wengine hela wanazofyonza pale Tanesco sio za kitoto, sio za kitoto. Hawa hawataki kusikia tunakua na chanzo kingine cha umeme zaidi ya gasi ama mafuta mazito maana ulaji wao pale Tanesco utakata.
Mfano,Kihansi wanaenda kufanya overhaul maintenance baada ya miaka 20 toka kituo kianzishwe na gharama yake haitazidi 10b, lakini kule kinyerezi General Electric ya Marekani wanataka zaidi ya 80b kufanya ukarabati mkubwa kwa miaka 3 engines na wanataka walipwe kabla ya kufanya kazi. Mitambo ya gesi inataka matengenezo kila baada ya miaka 2.5 ama 3 na gharama zake si chini ya 30B.
Sasa watu kama hao watataka tuwe na vyanzo rahisi vya nishati kama maji? Obviously hawataki kabisa na watatumia propaganda zote kutuonyesha kua maji hayafai, sijui ujinga gani.
Sijakuelewa, uneandika nini.
Unaweza kuiweka sawasawa hoja yako?
Wengi walikua wanafata mkumbo wa kigogo kule twitter kumchukiaIla mimi nimemuelewa Magufuli kwenye baadhi ya mambo baada ya kufariki.

Mimi machinga unanisononesha sana natamani ningekuwa kuribu yako nikupige bao la usoShetani limekufa...
Hayo manufaa ya gesi na uchumi mzima na muunganiko wake ni yapi?Kwa ufupi sekta ya gesi aliyoitelekeza jiwe ingekuwa na manufaa lukuki na makubwa kiuchumi mara nyingi zaidi kuliko manufaa yatakayopatikana katika hilo bwawa alilioenda kulijenga kwenye hifadhi ya wanyama. Jiwe na watu wa aina yako wanashabikia tu gharama kidogo za unit ya umeme utokanao na maji bila kutazama manufaa ya muunganiko wa uchumi mzima kwa ujumla.
Makosa hayo hayo aliyafanya alipoenda kuchukua pesa za wakulima wa korosho na kuagiza BoT inunue korosho.
HahahahahaAisee nimesoma uzi mwanzo mwisho.. Huyu mtu ni kama Mungu amemchukua kulinusuru Taifa
Sukuma Gang bado mpo kwenye denialMimi machinga unanisononesha sana natamani ningekuwa kuribu yako nikupige bao la uso
Boresha lugha mkuuhichi kitu. Hichi
Hakuna mbaya katika yote. Kila mtu ana ubaya wake na uzuri wake. Kinachoangaliwa ni mabaya yasi outweigh mazuri.Ila mimi nimemuelewa Magufuli kwenye baadhi ya mambo baada ya kufariki.
Kuna vitu nimekua exposed kwake kwa hivi karibuni kwa siku za mwisho mwisho za uhai wake, ndio nikaja kujua alikua na nia gani.
Kwenye ujenzi wa bwawa la umeme, nilikua nampinga tu Magufuli kwa kufuata mkumbo lakini baada ya kupata facts kuhusu gharama za uendeshaji wa mitambo ya gesi na mafuta kwa tanesco, nikajua kabisa Magufuli aliona mbali na alikua na nia njema kabisa kuhusu uchumi wa nchi yetu.
Sasa naamini ukiona mtu anapinga jambo flani inaweza kua halijui vizuri, ana maslahi binafsi, hajalielewa ama anafuata tu mkumbo au ameamua tu, maana watu wengine wanaweza kuamua tu kua dogma, akapewa undeniable facts na bado akaamua tu kutokuelewa.
Mfano mzuri watu dogma ni kama Magufuli mwenyewe juu ya covid 19, aliamua tu kua dogma juu ya corona na bahati mbaya udogmatic wake umegharimu maisha yake.
Ukweli ni kwamba uzalishaji wa umeme kutumia maji ni way cheaper kuliko sources nyingine zote za nishati, ni kati ya shilingi za kitanzania 60 hadi 90 kwa unit. Lakini pia maintanance ya mitambo yake ni baada ya muda mrefu sana, zaidi ya miaka 15 na hata gharama za utengenezaji wake sio kubwa.
Ukija kwenye gas, uzalishaji wa unit moja ni mara 2.5 ya uzalishaji wa maji, lakini pia mitambo ya gesi inahitaji overhaul maintenance kila baada ya miaka 2 na ni billion of money, hao ABB ya Uingereza, Siemens ya Sweden, General Electric ya Marekani, Wartisila na wengine hela wanazofyonza pale Tanesco sio za kitoto, sio za kitoto. Hawa hawataki kusikia tunakua na chanzo kingine cha umeme zaidi ya gasi ama mafuta mazito maana ulaji wao pale Tanesco utakata.
Mfano,Kihansi wanaenda kufanya overhaul maintenance baada ya miaka 20 toka kituo kianzishwe na gharama yake haitazidi 10b, lakini kule kinyerezi General Electric ya Marekani wanataka zaidi ya 80b kufanya ukarabati mkubwa kwa miaka 3 engines na wanataka walipwe kabla ya kufanya kazi. Mitambo ya gesi inataka matengenezo kila baada ya miaka 2.5 ama 3 na gharama zake si chini ya 30B.
Sasa watu kama hao watataka tuwe na vyanzo rahisi vya nishati kama maji? Obviously hawataki kabisa na watatumia propaganda zote kutuonyesha kua maji hayafai, sijui ujinga gani.
HaswaaaaaMkuu tupo CCM tuliokaa kando kupisha buldoza lipite usitulaani kiasi hichi tafadhali
But is no more my dear, vipi unamtusi mtu ambaye hayupo kwa dunia?Alishawahi kusema kama sisi ni washenzi yeye ni mshenzi zaidi yetu.