Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Sekta ya ujenzi na sekta ya Madini,mwaka 2019 kwenye ukaji wa Sekta ujenzi alizidiwa na Madini.Ntafanya hivo, ila kwa Magufuli sekta ambayo ilifanya vizuri ni sekta ya Ujenzi, ambayo ndo imekuwa ni driver ya uchumi wa Magufuli kwa miaka 5 iliyopita, enzi ya Kikwete naweza sema sekta zote ziikuwa vibrant ndo maana watu walikuwa na pesa mfukoni.
Mpango bado ana "hegemony" ya utawala uliopita wa Magu.Kinacho nishangaza ni Philipo mpango kusema lazima mapato yaongezeke ..
Wakati kashiriki kuumiza huu uchumi..
Angekuwa na akili angesema tuanze upya..
Nna wasiwasi Mpango anaweza asimsaidie Sana..Mama
Kwa Lugha Nyepesi tuseme ; Baba wa familia hatoi pesa ya matumizi nyumbani, watoto hawali, hawavai, ni mwendo wa Pasi ndefu na kuvaa midambwada ili pesa zote zitumike ktk ujenzi wa nyumba ya kisasa! Kipato cha Baba ni kidogo kuafford ujenzi wa nyumba hiyo ya kisasa hivyo Baba anajiingiza ktk madeni kimyakimya huku akiilaghai familia kua anajenga kwa kipato chake, Nyumba inafikia kwenye renta Baba anatangulia mbele za haki..Hii ni sehemu ya kwanza, nta cover sekta ya biashara, uwekezaji wa nje, viwanda, na ntaelezea kwa kina kuusu madeni ya taifa..
Ila conclusion kabisa ni kwamba 'Magufuli alichofanya ni kukopa pesa nying nje na kufanya plundering ya pesa za wafanya biashara kupitia kodi za kidhalimu ili kujenga uchumi ambao ulielemea katika projects kubwa za miundo mbinu ambayo bado hatujajua itakamilika lini'
Kwa Lugha Nyepesi tuseme ; Baba wa familia hatoi pesa ya matumizi nyumbani, watoto hawali, hawavai, ni mwendo wa Pasi ndefu na kuvaa midambwada ili pesa zote zitumike ktk ujenzi wa nyumba ya kisasa! Kipato cha Baba ni kidogo kuafford ujenzi wa nyumba hiyo ya kisasa hivyo Baba anajiingiza ktk madeni kimyakimya huku akiilaghai familia kua anajenga kwa kipato chake, Nyumba inafikia kwenye renta Baba anatangulia za haki..
Lkn kumbuka binadamu kukosea ni kawaida yetu,mhurumie tu MkuuYeye alimwombea beni Saanane? Risasi 16 za lisu mbona alikataza uchunguzi huru ? Azory gwanda unadhani mkewe na watoto wako kwenye trauma kiasi gani kupotea kwa baba Yao mpaka Leo siwezi kumuombea muuwaji alieuwa watu jambazi la chato Lile Mungu ka mmute milele.
Kwamtizamo wangu hapa umefanya self seeking; numbers au statistics can be used any how to justify your desire...It depends on how you define your objective functions...Uchumi siyo mathematics una njia mbili za kuuelezea na katika hizo kuna judgements amabzo zinatokana na intuitions za mchumi anayezitafsiri ndiyo maana unayo field nyingi sana na kukuhakikishia hata duniani hakuna utangamano (makubaliano ya pamoja) katika maswala ya uchumi...Hata leading policy ya sustainability ina definitions zaidi ya 1000 na dunia ikaamua kuchukua ile ya UNCED 1992...
Usipotoshe watu kwa sababu zako kwenye short term na hasa unapofanya investiments kwenye uchumi hasara lazima zionekane kuwa kubwa...Nikichukulia mfano wa ATCL hilo siyo private company uifanyie financial analyses kujustify hasara zake...Project hiyo siyo mutually exclusive na zingine kama za utalii na kuongeza movements za executives katika kuwafikia projects zilizosambaa nchi nzima; tena hazi exclude umuhimu wa vyakula kama samaki ambavyo vina short shelf life na suplies wenye small capital kama small fisherfolks kumfikia consumer wa Dar ambaye ana purchasing power ndogo...Inamaana serikali imesubidies some how hizo incomes za both suppliers na consumers ambao iliwatafsiri wanyonge kwakufanya transfer kutoka kwa wale wenye uchumi mkubwa ambao ni wachache lakini wanauwezo wa kutumia ndege kuongeza tija kwenye shughuli zao...Alichofanya hayati JPM kiuchumi ni aibu kukianza kukifanyia analyses katika hii short tem period hasa ukichukulia miaka ambayo generation ya Tanzania itaishi... Na hata huko mbele tafsiri sahihi ni kama awamu ya sita itaendelea katika trajectory ile ile aliyoianzia otherwise Tanzania haina nafasi tena ya kumhukumu hayati Dr. JPM kwakua hakumaliza term zake zote mbili ambazo ndizo alizitumia ku frame projects zake...Tutamhulumu kwa hisia na wala si kwakutumia principles za uchumi...
Tuache blame games tuijenge nchi yetu kwakumtakia amani Hayati JPM na kuendelea kumsaidia HE mama Samia katika kuiendeleza nchi yetu; yeye amefarki, apumzike kwaamani kwakua sasa historia pekee ndiyo itamhukumu. Sisi bado tunayo nafasi ya kurekebisha alipokosea na sisi pia tutakapoondoka historia mbili zitajilinganisha na kutoa hukumu ya haki.
Jumlisha hizo inflation rate kuanzia 2016.. ndo mana nikasema real income imeanguka zaidi ya 18% kwa sababu serikali haikuwa inaongeza miHii hapa siyo kweli kwa sababu kutokuongeza kwa mishahara kulisababisha inflation Tanzania ibaki kuwa ya chini sana. Aliingia madarakani kukiwa na 5.59% na wakati anaondoka inflation ilikuwa 3.56% Kwa hiyo madai ya gharama za maisha kupanda siyo ya kweli. Tatizo lililokuwepo na mzunguko hafifu wa fedha kutokana kna kudhibiti matumizi ya pesa za serikali. Uchumi wa Tanzania umekuwa unategemea sana pesa za serikali kuliko pesa za watu binafsi; serikali ikibana matumizi ya pesa zake basi watu wanalia hawana hela. Ilikuwa hivyo enzi za Mkapa mwanzoni, na enzi za magufuli. Serikali ikishaanza kulegeza usimamaizi wa matumiz yake basi ndipo unaona pesa zinakuw nyingi mitaani na inflation inaongezeka.
View attachment 1741777
Kabisa, nadharia ya machinga ni urahisi wa kutembea na bidhaa kufuata wateja walipo.Amejenga masoko alafu wamachinga wapo kila sehemu, nini faida yake?
Faida na hasara zina fuata preferences i.e stated au revealed; na inategemea zaidi jinsi unavyofanya valuation...Hakudanganya kwakua katika hotuba zake alishasema nchi haiwezi pata hasara which is correct kwenye perspective ya uchumi iwapo tu hakuna kilichotoka nje kama capital flight...Hizo zinabakia kuwa tranafers ndani ya uchumi mkubwa ni kama wewe uamue kumpa masikininpesa akanunue chakula useme eti nimepata hasara...Tusipotoshwe...Nchi miradi yake ni public na uchumi una principles zake kuna welfare economics ambayo ni tofauti kabisa na uchumi unaotokana na assumption za akina Adam Smith za theory of the agency...Na hizo pia zinatofauti na kufanya auditing za cash flows zinaweka costs ambazo kiuchumi zinaweza kuwa benefits...Hii ni taaluma ya watu na Rais alikuwa na wataalamu...Unaposema kadanganya unamkosea kwakua ungemuuliza angekujibu vizuri tu kwakua CCM ni chama cha kijamaa siyo cha kibepari...Mabepari hasara na faida wanazitafsiri tofauti na wajamaa...Hasara ya firm iliyoko Norway haiwezi kufananishwa na iliyoko America...Lakini pia hata huko America kuna public investments huwezi hata siku moja kusema eti jeshi la marekani limepata hasara kwakua uchumi wao unabebwa na jeshi...Tuache upotoshajiNaomba nichangie hapo kwenye ATCL.
Kwanini magufuli na serikali yake walikua wanasema ATCL inapata faida na tena inatoa mpaka gawio lakini juzi CAG akasema shirika halijawahi kupata faida?
Je kwanini walikua wanadanganya umma wa watanzania?View attachment 1741943View attachment 1741944
Hatua za kuanzisha masoko ya madini kila mkoa, ukuta wa mirerani zimedhibiti utoroshaji, kuwezesha upatikanaji wa takwimu sahihi na kuongeza mapato ya sekta hiiSekta ya ujenzi na sekta ya Madini,mwaka 2019 kwenye ukaji wa Sekta ujenzi alizidiwa na Madini.
Ukiacha makosa ya kiuandishi (mfano; which badala ya hiki) pamoja na matumizi ya maneno (mfano; imepelekea badala ya imesababisha), uzi umeutendea haki kwa uchambuzi wako mujarabu. Hata hivyo, ningependa unapofanya comparison ya uchumi wa swami ya 5 na ule wa awamu ya 6, uangalie pia aspect ya purchasing power katika awamu hizo 2. Vilevile, jitahidi kuweka vyanzo vya takwimu unazotumia kwenye Andiko lako. Ni hayo tu, Mkuu.Hongera mleta, umetuchambulia mambo ya kitaalamu kwa lugha rahisi na nyepesi kueleweka.
Mh. Rais yeye kama individual hakuwa mchumi, kazi ya ubunifu ni ya watendaji ambao ndiyo walalamikaji wakubwa na wanaotaka kula wasichokizalisha...Tunashida kubwa kwenye wataalamu wetu katika kutafsiri njia sahihi ya kutumia public investments...Hili ni tatizo la wataalamu kutafsiri maendeleo siyo la taasisi ya u Rais na Bunge ambazo zinafanya maamuzi kwakuangalia kuraAmejenga masoko alafu wamachinga wapo kila sehemu, nini faida yake?
Kuwa humu, bando linatumika uchumi unakua.Kafa ukali wa maisha umepungua unakula milo mingap kwa siku vip maisha yako ya me badilika!?
Achen unafki fanyeni kazi njaa zitawaua mkiendelea kukaa umu jamiforums na kuubil kua maisha Mazur unalelewa na kiongozi ngoja tuwaone
Ulichoandika kuhusu uwezekano wa miradi mikubwa kutokamilika kina ukweli aisee.Hii ni sehemu ya kwanza, nta cover sekta ya biashara, uwekezaji wa nje, viwanda, na ntaelezea kwa kina kuusu madeni ya taifa..
Ila conclusion kabisa ni kwamba 'Magufuli alichofanya ni kukopa pesa nying nje na kufanya plundering ya pesa za wafanya biashara kupitia kodi za kidhalimu ili kujenga uchumi ambao ulielemea katika projects kubwa za miundo mbinu ambayo bado hatujajua itakamilika lini'
You cannot eat what you did not produce hii ni sheria mama ya uchumi...Mshahara uupate kwenye nini wakati wewe umeshindwa ku add value kwenye miundombinu uliyojengewa kwa kodi za raia? Watu wanasema hapa Machinga complex imebaki wazi; hamsaidii raia waweze kutengeneza corprates waweze kuwa na mjtaji itakoyoendana na projects hizo kubwakubwa...are you not ashamed kuwa cry baby? Ukishindwa wewe usitusingizie wenzako step down give others chance to do what you failed to do...Kuna vijana wengi mtaani wenye uelewa mkubwa ambao hawana ajira wewe salary yako ni cost kwa nchi ndiyo maana tunaona inefficiency ya hali ya juu kwenye uchumi...Sector pekee iliyokubwa ni service sector hakuna ubunifu katika hiyo sector zaidi ya kupokea mishahara na kuongeza statusquo; hata kutengeneza ajira ni shida, wao kila siku ni kufikiria posho na safari zisizo na tija; kuwaza lini zile hawks investments zao za hotel zitaanza kutumia public funds kujiendesha; what a poor mind?Jumlisha hizo inflation rate kuanzia 2016.. ndo mana nikasema real income imeanguka zaidi ya 18% kwa sababu serikali haikuwa inaongeza mi
shahara
Kama hujui kusoma chati omba watu wakusadie chati hizo zipo kwenye vipindi vya miaka mitano mitano. Kikwete alimaliza utawala wake mwaka 2015, je aliacha inflation ya kiasi gani? Chati hiyo inaishia mwaka mwanozni mwa 2020 ikiwa ni miaka takriban mitano tangu Kikwete aondoke madarakani.Hizi takwimu mbona zinaishia kwa kikwete, tupe za magufuli.