Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Sekta ya ujenzi na sekta ya Madini,mwaka 2019 kwenye ukaji wa Sekta ujenzi alizidiwa na Madini.Ntafanya hivo, ila kwa Magufuli sekta ambayo ilifanya vizuri ni sekta ya Ujenzi, ambayo ndo imekuwa ni driver ya uchumi wa Magufuli kwa miaka 5 iliyopita, enzi ya Kikwete naweza sema sekta zote ziikuwa vibrant ndo maana watu walikuwa na pesa mfukoni.