Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukome na huna adabu!! Je wewe utaishi a wapi?Shetani limekufa...
Ujamaa wa ccm unatokana na Rais aliye madarakani na si itikadi ya chama.Faida na hasara zina fuata prederences na jinsi unavyofanya valuation...Hakudanganya kwakua katika hotuba zake alishasema nchi haiwezi pata hasara which is correct kwenye perspective ya uchumi iwapo tu hakuna kilichotoka nje kama capital flight...Hizo zinabakia kuwa tranafers ndani ya uchumi mkubwa ni kama wewe uamue kumpa masikininpesa akanunue chakula useme eti nimepata hasara...Tusipotoshwe...Nchi miradi yake ni public na uchumi una principles zake kuna welfare economics ambayo ni tofauti kabisa na uchumi unaotokana na assumption za akina Adam Smith za theory of the agency...Na hizo pia zinatofauti na kufanya auditing za cash flows zinaweka costs ambazo kiuchumi zinaweza kuwa benefits...Hii ni taaluma ya watu na Rais alikuwa na wataalamu...Unaposema kadanganya unamkosea kwakua ungemuuliza angekujibu vizuri tu kwakua CCM ni chama cha kijamaa siyo cha kibepari...Mabepari hasara na faida wanazitafsiri tofauti na wajamaa...Hasara ya firm iliyoko Norway haiwezi kufananishwa na iliyoko America...Lakini pia hata huko America kuna public investments huwezi hata siku moja kusema eti jeshi la marekani limepata hasara kwakua uchumi wao unabebwa na jeshi...Tuache upotoshaji
Kwa lugha rahisi magufuli aliwatumia kama mtaji wa kisiasa bila kujali sheria za mazingira na biashara zinasemaje. Changamoto iliyopo wakiondolewa sasa hivi wataona kama wanaonewa.Kabisa, nadharia ya machinga ni urahisi wa kutembea na bidhaa kufuata wateja walipo.
Ila kwenye hili la machinga, suala la bidhaa wanazouza liangaliwe upya. Wanauza pasi, tv, bidhaa mbalimbali zinazouzwa pia madukani tena bila risiti ya kodi. Hii imeua biashara rasmi ya rejareja pamoja na kushusha kodi.
Ushauri
machinga waundiwe sera yao itakayobainisha ni bidhaa/huduma gani wanaruhusiwa kutoa na hadi kufikia kiwango kipi cha mapato ili watoke sekta isiyo rasmi na kuingia sekta rasmi. Bidhaa ninazoona zinafaa kuuzwa na machinga ni bidhaa ghafi za kilimo, matunda mbogamboga na vyakula. Kazi/huduma za mikono yao ususi, fundi viatu, ufumaji.
Hapo juu, utaratibu wa vitambulisho uendelee n kuboreshwa ili kuwapa mazingira bora ya kufanya biashara zao
Bidhaa za viwandani (na mitumba kutoka nje ya bidhaa kama hizo) ziachiwe zifanywe na sekta rasmi kwani ndio sehemu ya kupata mapato na kuchochea ukuaji wa viwanda vya ndani.
well said,nitakuchagua kuwa waziri wangu wa uchumi sijaridhika na uteuzi wa Yule mwanachama wa yanga aliyeipoteza singida unitedHabarini wakuu…
Wakati bado tukiwa kwenye maombolezo, nimeona ni vema nifanye utafiti kidogo wa kumulika uchumi wa Hayati Magufuli, ili tuweke record zetu sawa, maana huku mtaani na kwenye vyombo vya habari kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana.
Japo mimi sijawahi kuwa mshabiki wa Hayati Magufuli, ila leo ntajaribu kuwa objective sana, kwa faida ya watu wa pande zote mbili, wale wanaoponda na wala wanaosifia. Nataka tufike kwenye mizania ya kujua ukweli wa Magufuli, ili kama mtu unasifia ujue unasifia kitu gani na kama unaponda ujue unaponda kitu gani.
Leo ntagusia viashiria vichache ambavyo vinanguvu katika uchumi wa nchi yeyote. Na viashiria hivo vina uhusiano wa viwakilishi kwenye kanuni ya kutafuta zao la nchi yaani GDP.
(GDP = Consumption + Investment + Government Spending + Net export)
Viashiria ambavyo ntaviangalia ni hivi vifuatavyo
1) Credit growth (Ukuaji wa mikopo inayotolewa na benki za kibiashara) – Hiki kiashiria kinawakilisha performance ya sekta binafsi kwenye uwekezaji, ukuaji wa mzunguko wa pesa, private sector confidence, performance ya mabenki ya kibiashara, na pia ni kiashiria cha consumption. Unapokuwa na declining trend, kwenye credit growth maana yake hayo mambo yote niliyoyataja lazima yawe negatively affected.
Ni nini kina determine credit growth? (Ama ni nini kisababishi cha ukuaji wa mikopo kwenye mabenki ya kibiashara kwa sekta binafsi?) – Nadhani hichi ni kitendawili ambacho Hayati Magufuli na wanaomzunguka wameshindwa kukijibu kwa miaka karibu sita aliyokuwa madarakani.
Asilimia karibu 65% mpaka 75% ya uchumi wa Tanzania upo determined na sekta binafsi, na hiyo inayobaki 25% mpaka 35% ndo sekta ambayo ni government nikimaanisha ile sekta inayohusu ukusanyaji wa mapato na bejeti ya nchi.
Utawala wa Magufuli, ulikuja na uwekezaji na matumizi makubwa kwenye projects kama Kununua Ndege, Ujenzi wa flyovers, Ujenzi wa Madaraja, Ujenzi wa Makao Makuu Dodoma, Ujezi wa Bwawa la Umeme, Ujenzi wa SGR na vinginevyo. Kwa ufupi naweza kukadiria kwamba, kwa miaka 6 iliyopita kuna Trillioni 40 mpaka 60 ambazo zilienda kwenye hizi projects za utawala Magufuli. Binafsi sina tatizo na hii approach ya Magufuli kwenye miundo mbinu, kwanza ntazidi kumsifu kwenye hili suala.
Tatizo kubwa ambalo nililiona na ambalo ndo kitendawili alichoshindwa kukijibu Magufuli na utawala wake ni kwamba, mipango ya kutekeleza hii miradi haikuangalia uwezo halisi wa nchi wa kutengeneza mapato ya ku finance hii miradi ambayo ilihitaj kiasi kikubwa cha pesa na rasilimali za viwandani.
Matokeo yake, serikali ya Magufuli ikajikuta ipo kwenye stress kubwa ya kupata pesa za ku finance hii miradi ya mapesa mengi. Kwa hiyo option zilikuwa ni mbili 1) Aaache kutekeleza hii miradi ya mepesa mengi au 2) Afanye kila njia kupata pesa.
Haiba ya Magufuli ilimfanya atumie njia namba mbili ‘Kutafuta pesa kwa gharama yeyote’. Nadhani hii njia ndo imefanya mpaka leo tuna vilio kwa wafanyabiashara, wawekezaji, wafanyakazi, mabenki, kwa sababu hii njia ilikuja na action zifuatazo za kutafuta pesa.
a) Kikosi kazi cha kukusanya kodi – Fairness kwenye mfumo wa kodi ilipotea, hakukua na logic tena, naweza sema kwa miaka sita iliyopita nchi ilikuwa kwenye ‘Unyang’anyi wa kodi’ na sio ‘Ukusanyaji wa kodi’. Madam President ameongea vema sana jana kuhusu hichi kitu. Hichi ndio kikubwa ambacho kimeua confidence ya sekta binafsi, matokeo yake ikaathiri mzunguko wa pesa kwenye uchumi, kwasababu kumbuka sekta binafsi ndio haswa wateja wa mabenki ya kibiashara. Kwa kuthibitisha hilo angalia trend ya utoaji mikopo kuanzia mwaka 2010 enzi ya kikwete mpaka 2020. Enzi ya Kikwete sekta binafsi ilikuwa inakuwa kwa kasi sana n ahata unaweza kuona trend ya utoaji wa mikopo ambayo ilikuwa ni kwa wastani wa asilimia Zaidi ya 13% wakati ukuaji wa mikopo kwenye utawala wa Magufuli ni wastani wa asilimia 5.6% kwa miaka mitano iliyopita. So unaweza kuona ni kwa namna gani sera ya Magufuli kwenye kodi ilivoua sekta binafsi na ukuaji wa mikopo.
View attachment 1741641
View attachment 1741642
Kwa kuangalia data za ongezeko la ukusanyaji wa mapato kwa miaka 10 iliyopita pamoja na ongezeko la utoaji mikopo kwa sekta binafsi kama zilivo hapo juu, tunaweza kuwa na conclusion zifuatazo kuhusu uchumi wa Magufuli dhidi ya watangulizi wake.
- Kwa miaka mitano ya mwisho ya utawala wa Kikwete, kwa ujumla aliweza kuongeza kodi kwa karibu asilimia 88% kwa kuangalia kodi iliyokusanywa 2011 na ile iliyokusanywa 2015, wakati huo huo, sekta binafsi ilikuwa ikifanya vizuri kwa kuangalia uwiano wa mikopo na zao ghafi la ndani, ilikuwa ikipanda kutoka 12.21% mwaka 2011 mpaka 14.47% mwaka 2015 alipotoka madarakani. (Key note: Utawala wa Kikwete uliweza kuongeza makusanyo ya kodi mwaka hadi mwaka, na wakati huo huo sekta binafsi ilikuwa inamea mwaka hadi mwaka – Economically hii ndio tunaiita positive
- Kwa miaka mine ya Magufuli 2016 – 2019 (sikuweza kupata data za 2020), kwa ujumla aliweza kuongeza makusanyo ya kodi kwa asilimia 56% ndani ya miaka minne 2016 -2019, wakati huo huo mikopo kwa sekta binafsi ilianza kudorora kwa kuangalia uwiano wa mikopo na GDP ambao kwa miaka hiyo minne imekuwa ikienda chini kutoka ile peak iliyofikiwa na utawala wa kikwete ya 14.47% mwaka 2015 mpaka 12.05% mwaka 2019. Hii ki uchumi tunaiita growth ambayo ni negative, yaani GDP inakuwa lakini sekta ya mikopo inadorora, na unaweza kuona ni kipindi hichi hichi nchi ilikuwa na sera za kodi za unyang’anyi.
b) Kutokuongeza mishahara ya watumishi wa umma – ilikuwa pia ni lazima utawala wa Magufuli ufanye hichi kitu ambacho is unfair, kwa minajili ya kulinda pesa za kufanya miradi. Kwa miaka sita iliyopita, kipato cha mfanyakazi kimeporomoka karibu kwa asilimia 18% kutokana na kupanda kwa gharama za maisha na serikali kushindwa kuongeza mishahara.
c) Kuzuia fao la kujitoa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii – ambacho wengi hawajui ni kwamba katika harakati za kutafuta pesa za miradi, utawala wa magufuli ndani ya miaka 6, wamekopa Zaidi ya Trillioni 12 kwenye hii mifuko ya hifadhi ya jamii, kitu ambacho kimepelekea hii mifuko kuwa ni kama imefilisika na ndio maana ikabidi wazuie fao la kujitoa kwasababu mifuko imekaushwa na serikali.
d) Kukua kwa haraka kwa deni la serikali (madeni ya nje na ndani) – Hii ndo ilikuwa karata ya mwisho ya kupata pesa, kwa sababu njia zote tatu hapo juu ni kama hazikuzaa matunda. (Ntaelezea kwa mapana hichi kitu nyuzi zinazofuata)
Hayo ni baadhi ya mambo yaliyotokea kama sera za uchumi wa Magufuli ambao ntaendelea kuuchambua, ila kwanza nataka mnielewe taratibu ili tuweze kwenda sawa.
Kwa wale ambao wana mashaka na uchambuzi wangu kuhusu masuala ya kiuchumi naomba mpitie baadhi ya nyuzi zangu ambazo niliwahi kuandika kipindi cha nyuma na ambazo zitahusika moja kwa moja na uchambuzi kuhusu uchumi wa Magufuli. Naahidi kuwaletea vipande vipande na hoja chache chache ili msije kuchanganyikiwa na rundo la taarifa.
-----------------------------------------------------------------------------------------------------
1. Ukali wa maisha kwa watanzania - Serikali tafakarini kuongeza mishahara ya Watumishi wa Umma, ukali wa maisha ni bomu linaloua taratibu!
2. Kuadimika kwa saruji nchini - Serikali haiwezi kukwepa lawama ya kuadimika na kupanda kwa bei ya Saruji nchini. Waziri wa Viwanda ana kazi sana, kuna janga linatunyemelea
3. Uchumi bado upo kwenye mkwamo - ‘Namba zinanuka’ – kwanini nasema bado uchumi wetu upo kwenye mkwamo?
4. Serikali imedumaza mifuko ya hifadhi ya jamii - ‘Namba zinanuka’ – Serikali imechangia kudumaza mifuko ya Hifadhi ya Jamii
5. Uchumi wetu ni dhaifu - USHAHIDI: IMF hawajakosea, Uchumi wetu ni ‘DHAIFU’
Mkuu tafadhali usichelewe kutuwekea "sehemu ya pili"Ntafanya hivo, ila kwa Magufuli sekta ambayo ilifanya vizuri ni sekta ya Ujenzi, ambayo ndo imekuwa ni driver ya uchumi wa Magufuli kwa miaka 5 iliyopita, enzi ya Kikwete naweza sema sekta zote ziikuwa vibrant ndo maana watu walikuwa na pesa mfukoni.
Yeye ndie alikuwa anasema wamachinga wasisumbuliwe wafanye biashara popote. Watendaji wake unawaonea tu.Mh. Rais yeye kama individual hakuwa mchumi, kazi ya ubunifu ni ya watendaji ambao ndiyo walalamikaji wakubwa na wanaotaka kula wasichokizalisha...Tunashida kubwa kwenye wataalamu wetu katika kutafsiri njia sahihi ya kutumia public investments...Hili ni tatizo la wataalamu kutafsiri maendeleo siyo la taasisi ya u Rais na Bunge ambazo zinafanya maamuzi kwakuangalia kura
Acha kupotosha, tulikuwa tunapata kodi kwa mashirika binafsi ya ndege wakati sasa hivi tunapata hasara kwa ATCL. Maelezo meengi lakini nikwambie tu hakuna kinachofanyika na ATCL sasa hivi ambacho kilikuwa hakifanyiki na mashirika binafsi. ATCL itakuwa na maana kama itatengeneza faida na si vinginevyo.Kwamtizamo wangu hapa umefanya self seeking; numbers au statistics can be used any how to justify your desire...It depends on how you define your objective functions...Uchumi siyo mathematics una njia mbili za kuuelezea na katika hizo kuna judgements amabzo zinatokana na intuitions za mchumi anayezitafsiri ndiyo maana unayo field nyingi sana na kukuhakikishia hata duniani hakuna utangamano (makubaliano ya pamoja) katika maswala ya uchumi...Hata leading policy ya sustainability ina definitions zaidi ya 1000 na dunia ikaamua kuchukua ile ya UNCED 1992...
Usipotoshe watu kwa sababu zako kwenye short term na hasa unapofanya investiments kwenye uchumi hasara lazima zionekane kuwa kubwa...Nikichukulia mfano wa ATCL hilo siyo private company uifanyie financial analyses kujustify hasara zake...Project hiyo siyo mutually exclusive na zingine kama za utalii na kuongeza movements za executives katika kuwafikia projects zilizosambaa nchi nzima; tena hazi exclude umuhimu wa vyakula kama samaki ambavyo vina short shelf life na suplies wenye small capital kama small fisherfolks kumfikia consumer wa Dar ambaye ana purchasing power ndogo...Inamaana serikali imesubidies some how hizo incomes za both suppliers na consumers ambao iliwatafsiri wanyonge kwakufanya transfer kutoka kwa wale wenye uchumi mkubwa ambao ni wachache lakini wanauwezo wa kutumia ndege kuongeza tija kwenye shughuli zao (kiasi cha transfers within economy kinajionyesha kwenye hiyo gap ambayo wewe unaiita hasara kwakua unaiangalia kwa financial eye na siyo economic benefit kwa nchi kwakua zimeenda kwa hao wanyonge kuonheza welfare) ...Alichofanya hayati JPM kiuchumi ni aibu kukianza kukifanyia analyses katika hii short tem period hasa ukichukulia miaka ambayo generation ya Tanzania itaishi... Na hata huko mbele tafsiri sahihi ni kama awamu ya sita itaendelea katika trajectory ile ile aliyoianzia otherwise Tanzania haina nafasi tena ya kumhukumu hayati Dr. JPM kwakua hakumaliza term zake zote mbili ambazo ndizo alizitumia ku frame projects zake...Tutamhulumu kwa hisia na wala si kwakutumia principles za uchumi...
Tuache blame games tuijenge nchi yetu kwakumtakia amani Hayati JPM na kuendelea kumsaidia HE mama Samia katika kuiendeleza nchi yetu; yeye amefarki, apumzike kwaamani kwakua sasa historia pekee ndiyo itamhukumu. Sisi bado tunayo nafasi ya kurekebisha alipokosea na sisi pia tutakapoondoka historia mbili zitajilinganisha na kutoa hukumu ya haki.
Hata kama sijui kuandika,ila ujumbe umefika, serikali ya Jk ilijaa majizi wapigaji,wala rushwa,na wauza madawa ya kurevya,inawezaka nawewe ulikuwa miongoni,eti mnajifanya wachambuzi wa uchumi, wakati WB walisema uchumi wa Tanzania umekua mpaka kupifiki wa kati na GDP imepanda,eti anatoka mtu ajiita Namtombe anasema Jpm amealibu uchumi,na kuna watu wanashangiria, ukiuliza kwa takwimu zipi!unaambiwa ukuna pesa mtaani,utafikiri pesa ni mabomba ya maji kupatika kila nyumba.Mwandiko wako tu unakutanabaisha ulivyo mweupe kichwani pure mataga
Umeandika kistaarabu nitakujibuUjamaa wa ccm unatokana na Rais aliye madarakani na si itikadi ya chama.
Mfano halisi ni matendo tofauti na mwelekeo tofauti wa kisera kwa awamu ya 4 na ya 5. Hatua nyingi za Kikwete zilifuata ubepari na kuacha sekta binafsi kukua na kukuza uchumi. Hatua za Magufuli , alihimiza zaidi sekta ya umma kukuza uchumi.
CCM ilifuata upepo wa maelekezo ya mwenyekiti.
La pili, huko kwenye welfare economy kanuni za kiuchumi zinatumika pia kuanzia "marginal analysis" hadi "pareto optimality" pia hufanyi jambo kwa hisia tu.
Analysisi yako ya Welfare economy ingehusu zaidi mipango ya kusawazisha kipato kusiwe na gap kubwa kati ya masikini na matajiri. Unafuu wa huduma kama za shule, maji, afya.
Miradi ya ndege haihusiani na uchumi wa wanyonge
Uongo wa mchana EFD imeanza kipindi cha mwinyi!!!Hiyo niliyowekea rangi siyo kweli. Mfumo wa EFD ulianzishwa mwishoni mwa kipindi cha pili cha Mzee Mwinyi! Ukaendelezwa na Mpaka na kuja kukamilishwa na JK.
Okay calm down hizo kodi zilichangia kiasi gani ya GDP?Acha kupotosha, tulikuwa tunapata kodi kwa mashirika binafsi ya ndege wakati sasa hivi tunapata hasara kwa ATCL. Maelezo meengi lakini nikwambie tu hakuna kinachofanyika na ATCL sasa hivi ambacho kilikuwa hakifanyiki na mashirika binafsi. ATCL itakuwa na maana kama itatengeneza faida na si vinginevyo.
Hongera kwa uchambuzi yakinifu 👊Habarini wakuu…
Wakati bado tukiwa kwenye maombolezo, nimeona ni vema nifanye utafiti kidogo wa kumulika uchumi wa Hayati Magufuli, ili tuweke record zetu sawa, maana huku mtaani na kwenye vyombo vya habari kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana.
Japo mimi sijawahi kuwa mshabiki wa Hayati Magufuli, ila leo ntajaribu kuwa objective sana, kwa faida ya watu wa pande zote mbili, wale wanaoponda na wala wanaosifia. Nataka tufike kwenye mizania ya kujua ukweli wa Magufuli, ili kama mtu unasifia ujue unasifia kitu gani na kama unaponda ujue unaponda kitu gani.
Leo ntagusia viashiria vichache ambavyo vinanguvu katika uchumi wa nchi yeyote. Na viashiria hivo vina uhusiano wa viwakilishi kwenye kanuni ya kutafuta zao la nchi yaani GDP.
(GDP = Consumption + Investment + Government Spending + Net export)
Viashiria ambavyo ntaviangalia ni hivi vifuatavyo
1) Credit growth (Ukuaji wa mikopo inayotolewa na benki za kibiashara) – Hiki kiashiria kinawakilisha performance ya sekta binafsi kwenye uwekezaji, ukuaji wa mzunguko wa pesa, private sector confidence, performance ya mabenki ya kibiashara, na pia ni kiashiria cha consumption. Unapokuwa na declining trend, kwenye credit growth maana yake hayo mambo yote niliyoyataja lazima yawe negatively affected.
Ni nini kina determine credit growth? (Ama ni nini kisababishi cha ukuaji wa mikopo kwenye mabenki ya kibiashara kwa sekta binafsi?) – Nadhani hichi ni kitendawili ambacho Hayati Magufuli na wanaomzunguka wameshindwa kukijibu kwa miaka karibu sita aliyokuwa madarakani.
Asilimia karibu 65% mpaka 75% ya uchumi wa Tanzania upo determined na sekta binafsi, na hiyo inayobaki 25% mpaka 35% ndo sekta ambayo ni government nikimaanisha ile sekta inayohusu ukusanyaji wa mapato na bejeti ya nchi.
Utawala wa Magufuli, ulikuja na uwekezaji na matumizi makubwa kwenye projects kama Kununua Ndege, Ujenzi wa flyovers, Ujenzi wa Madaraja, Ujenzi wa Makao Makuu Dodoma, Ujezi wa Bwawa la Umeme, Ujenzi wa SGR na vinginevyo. Kwa ufupi naweza kukadiria kwamba, kwa miaka 6 iliyopita kuna Trillioni 40 mpaka 60 ambazo zilienda kwenye hizi projects za utawala Magufuli. Binafsi sina tatizo na hii approach ya Magufuli kwenye miundo mbinu, kwanza ntazidi kumsifu kwenye hili suala.
Tatizo kubwa ambalo nililiona na ambalo ndo kitendawili alichoshindwa kukijibu Magufuli na utawala wake ni kwamba, mipango ya kutekeleza hii miradi haikuangalia uwezo halisi wa nchi wa kutengeneza mapato ya ku finance hii miradi ambayo ilihitaj kiasi kikubwa cha pesa na rasilimali za viwandani.
Matokeo yake, serikali ya Magufuli ikajikuta ipo kwenye stress kubwa ya kupata pesa za ku finance hii miradi ya mapesa mengi. Kwa hiyo option zilikuwa ni mbili 1) Aaache kutekeleza hii miradi ya mepesa mengi au 2) Afanye kila njia kupata pesa.
Haiba ya Magufuli ilimfanya atumie njia namba mbili ‘Kutafuta pesa kwa gharama yeyote’. Nadhani hii njia ndo imefanya mpaka leo tuna vilio kwa wafanyabiashara, wawekezaji, wafanyakazi, mabenki, kwa sababu hii njia ilikuja na action zifuatazo za kutafuta pesa.
a) Kikosi kazi cha kukusanya kodi – Fairness kwenye mfumo wa kodi ilipotea, hakukua na logic tena, naweza sema kwa miaka sita iliyopita nchi ilikuwa kwenye ‘Unyang’anyi wa kodi’ na sio ‘Ukusanyaji wa kodi’. Madam President ameongea vema sana jana kuhusu hichi kitu. Hichi ndio kikubwa ambacho kimeua confidence ya sekta binafsi, matokeo yake ikaathiri mzunguko wa pesa kwenye uchumi, kwasababu kumbuka sekta binafsi ndio haswa wateja wa mabenki ya kibiashara. Kwa kuthibitisha hilo angalia trend ya utoaji mikopo kuanzia mwaka 2010 enzi ya kikwete mpaka 2020. Enzi ya Kikwete sekta binafsi ilikuwa inakuwa kwa kasi sana n ahata unaweza kuona trend ya utoaji wa mikopo ambayo ilikuwa ni kwa wastani wa asilimia Zaidi ya 13% wakati ukuaji wa mikopo kwenye utawala wa Magufuli ni wastani wa asilimia 5.6% kwa miaka mitano iliyopita. So unaweza kuona ni kwa namna gani sera ya Magufuli kwenye kodi ilivoua sekta binafsi na ukuaji wa mikopo.
View attachment 1741641
View attachment 1741642
Kwa kuangalia data za ongezeko la ukusanyaji wa mapato kwa miaka 10 iliyopita pamoja na ongezeko la utoaji mikopo kwa sekta binafsi kama zilivo hapo juu, tunaweza kuwa na conclusion zifuatazo kuhusu uchumi wa Magufuli dhidi ya watangulizi wake.
- Kwa miaka mitano ya mwisho ya utawala wa Kikwete, kwa ujumla aliweza kuongeza kodi kwa karibu asilimia 88% kwa kuangalia kodi iliyokusanywa 2011 na ile iliyokusanywa 2015, wakati huo huo, sekta binafsi ilikuwa ikifanya vizuri kwa kuangalia uwiano wa mikopo na zao ghafi la ndani, ilikuwa ikipanda kutoka 12.21% mwaka 2011 mpaka 14.47% mwaka 2015 alipotoka madarakani. (Key note: Utawala wa Kikwete uliweza kuongeza makusanyo ya kodi mwaka hadi mwaka, na wakati huo huo sekta binafsi ilikuwa inamea mwaka hadi mwaka – Economically hii ndio tunaiita positive
- Kwa miaka mine ya Magufuli 2016 – 2019 (sikuweza kupata data za 2020), kwa ujumla aliweza kuongeza makusanyo ya kodi kwa asilimia 56% ndani ya miaka minne 2016 -2019, wakati huo huo mikopo kwa sekta binafsi ilianza kudorora kwa kuangalia uwiano wa mikopo na GDP ambao kwa miaka hiyo minne imekuwa ikienda chini kutoka ile peak iliyofikiwa na utawala wa kikwete ya 14.47% mwaka 2015 mpaka 12.05% mwaka 2019. Hii ki uchumi tunaiita growth ambayo ni negative, yaani GDP inakuwa lakini sekta ya mikopo inadorora, na unaweza kuona ni kipindi hichi hichi nchi ilikuwa na sera za kodi za unyang’anyi.
b) Kutokuongeza mishahara ya watumishi wa umma – ilikuwa pia ni lazima utawala wa Magufuli ufanye hichi kitu ambacho is unfair, kwa minajili ya kulinda pesa za kufanya miradi. Kwa miaka sita iliyopita, kipato cha mfanyakazi kimeporomoka karibu kwa asilimia 18% kutokana na kupanda kwa gharama za maisha na serikali kushindwa kuongeza mishahara.
c) Kuzuia fao la kujitoa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii – ambacho wengi hawajui ni kwamba katika harakati za kutafuta pesa za miradi, utawala wa magufuli ndani ya miaka 6, wamekopa Zaidi ya Trillioni 12 kwenye hii mifuko ya hifadhi ya jamii, kitu ambacho kimepelekea hii mifuko kuwa ni kama imefilisika na ndio maana ikabidi wazuie fao la kujitoa kwasababu mifuko imekaushwa na serikali.
d) Kukua kwa haraka kwa deni la serikali (madeni ya nje na ndani) – Hii ndo ilikuwa karata ya mwisho ya kupata pesa, kwa sababu njia zote tatu hapo juu ni kama hazikuzaa matunda. (Ntaelezea kwa mapana hichi kitu nyuzi zinazofuata)
Hayo ni baadhi ya mambo yaliyotokea kama sera za uchumi wa Magufuli ambao ntaendelea kuuchambua, ila kwanza nataka mnielewe taratibu ili tuweze kwenda sawa.
Kwa wale ambao wana mashaka na uchambuzi wangu kuhusu masuala ya kiuchumi naomba mpitie baadhi ya nyuzi zangu ambazo niliwahi kuandika kipindi cha nyuma na ambazo zitahusika moja kwa moja na uchambuzi kuhusu uchumi wa Magufuli. Naahidi kuwaletea vipande vipande na hoja chache chache ili msije kuchanganyikiwa na rundo la taarifa.
-----------------------------------------------------------------------------------------------------
1. Ukali wa maisha kwa watanzania - Serikali tafakarini kuongeza mishahara ya Watumishi wa Umma, ukali wa maisha ni bomu linaloua taratibu!
2. Kuadimika kwa saruji nchini - Serikali haiwezi kukwepa lawama ya kuadimika na kupanda kwa bei ya Saruji nchini. Waziri wa Viwanda ana kazi sana, kuna janga linatunyemelea
3. Uchumi bado upo kwenye mkwamo - ‘Namba zinanuka’ – kwanini nasema bado uchumi wetu upo kwenye mkwamo?
4. Serikali imedumaza mifuko ya hifadhi ya jamii - ‘Namba zinanuka’ – Serikali imechangia kudumaza mifuko ya Hifadhi ya Jamii
5. Uchumi wetu ni dhaifu - USHAHIDI: IMF hawajakosea, Uchumi wetu ni ‘DHAIFU’
Kwa sababu unajua ya saa sita mchana tu na hujui ya saa 11 asubuhi!! Nilikuwa na marafiki zangu tuliosoma nao ambao walikuwa maafisa wa kodi waliokuwa assigned kwenye project ya taxation computerization wakati wa Mwinyi. Kwa vile hujui hilo, basi usipige kelele; ni uungwana kukubali kuwa ulikuwa hujui hayo. siyo kwamba EFD ilizaliwa usiku mmoja tu, ni process iliyochukua zaidi ya miaka kumi!!!Uongo wa mchana EFD imeanza kipindi cha mwinyi!!!
Kodi zilichangia GDP kama zilivyo kodi nyingine. Unaposema mchango wa ndege za ATCL unaonekana kwenye utalii nashindwa kukuelewa sababu hadi sasa hatuna ndege inayoenda Marekani wala Ulaya, na hizo ndizo sehemu wanazotoka watalii au wewe mchango wa hizi ndege unauona kutoka Dar kwenda Arusha tu? Unauliza investments zao kama zipo Tanzania wakati ulikuwa unaona fast jet na precision air zinafanya kazi.Okay calm down hizo kodi zilichangia kiasi gani ya GDP?
Maana mchango wa ndege kwa haraka unauonankwenye utalii na unachangia kama namba 2 kwenye GDP tena kwa figure ya 6Trillions...Hayo mashirika yalichangia kiasi gani cha kodi? Je investments zao zimo humu Tanzania? Walikuwa wanaweka pesa zao humu? Je haikuwa njia ya
Unatulisha matango pori alafu tukubali tu.Kwa sababu unajua ya saa sita mchana tu na hujui ya saa 11 asubuhi!! Nilikuwa na marafiki zangu tuliosoma nao ambao walikuwa maafisa wa kodi waliokuwa assigned kwenye project ya taxation computerization wakati wa Mwinyi. Kwa vile hujui hilo, basi usipige kelele; ni uungwana kukubali kuwa ulikuwa hujui hayo. siyo kwamba EFD ilizaliwa usiku mmoja tu, ni process iliyochukua zaidi ya miaka kumi!!!
Great analysis,Habarini wakuu…
Wakati bado tukiwa kwenye maombolezo, nimeona ni vema nifanye utafiti kidogo wa kumulika uchumi wa Hayati Magufuli, ili tuweke record zetu sawa, maana huku mtaani na kwenye vyombo vya habari kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana.
Japo mimi sijawahi kuwa mshabiki wa Hayati Magufuli, ila leo ntajaribu kuwa objective sana, kwa faida ya watu wa pande zote mbili, wale wanaoponda na wala wanaosifia. Nataka tufike kwenye mizania ya kujua ukweli wa Magufuli, ili kama mtu unasifia ujue unasifia kitu gani na kama unaponda ujue unaponda kitu gani.
Leo ntagusia viashiria vichache ambavyo vinanguvu katika uchumi wa nchi yeyote. Na viashiria hivo vina uhusiano wa viwakilishi kwenye kanuni ya kutafuta zao la nchi yaani GDP.
(GDP = Consumption + Investment + Government Spending + Net export)
Viashiria ambavyo ntaviangalia ni hivi vifuatavyo
1) Credit growth (Ukuaji wa mikopo inayotolewa na benki za kibiashara) – Hiki kiashiria kinawakilisha performance ya sekta binafsi kwenye uwekezaji, ukuaji wa mzunguko wa pesa, private sector confidence, performance ya mabenki ya kibiashara, na pia ni kiashiria cha consumption. Unapokuwa na declining trend, kwenye credit growth maana yake hayo mambo yote niliyoyataja lazima yawe negatively affected.
Ni nini kina determine credit growth? (Ama ni nini kisababishi cha ukuaji wa mikopo kwenye mabenki ya kibiashara kwa sekta binafsi?) – Nadhani hichi ni kitendawili ambacho Hayati Magufuli na wanaomzunguka wameshindwa kukijibu kwa miaka karibu sita aliyokuwa madarakani.
Asilimia karibu 65% mpaka 75% ya uchumi wa Tanzania upo determined na sekta binafsi, na hiyo inayobaki 25% mpaka 35% ndo sekta ambayo ni government nikimaanisha ile sekta inayohusu ukusanyaji wa mapato na bejeti ya nchi.
Utawala wa Magufuli, ulikuja na uwekezaji na matumizi makubwa kwenye projects kama Kununua Ndege, Ujenzi wa flyovers, Ujenzi wa Madaraja, Ujenzi wa Makao Makuu Dodoma, Ujezi wa Bwawa la Umeme, Ujenzi wa SGR na vinginevyo. Kwa ufupi naweza kukadiria kwamba, kwa miaka 6 iliyopita kuna Trillioni 40 mpaka 60 ambazo zilienda kwenye hizi projects za utawala Magufuli. Binafsi sina tatizo na hii approach ya Magufuli kwenye miundo mbinu, kwanza ntazidi kumsifu kwenye hili suala.
Tatizo kubwa ambalo nililiona na ambalo ndo kitendawili alichoshindwa kukijibu Magufuli na utawala wake ni kwamba, mipango ya kutekeleza hii miradi haikuangalia uwezo halisi wa nchi wa kutengeneza mapato ya ku finance hii miradi ambayo ilihitaj kiasi kikubwa cha pesa na rasilimali za viwandani.
Matokeo yake, serikali ya Magufuli ikajikuta ipo kwenye stress kubwa ya kupata pesa za ku finance hii miradi ya mapesa mengi. Kwa hiyo option zilikuwa ni mbili 1) Aaache kutekeleza hii miradi ya mepesa mengi au 2) Afanye kila njia kupata pesa.
Haiba ya Magufuli ilimfanya atumie njia namba mbili ‘Kutafuta pesa kwa gharama yeyote’. Nadhani hii njia ndo imefanya mpaka leo tuna vilio kwa wafanyabiashara, wawekezaji, wafanyakazi, mabenki, kwa sababu hii njia ilikuja na action zifuatazo za kutafuta pesa.
a) Kikosi kazi cha kukusanya kodi – Fairness kwenye mfumo wa kodi ilipotea, hakukua na logic tena, naweza sema kwa miaka sita iliyopita nchi ilikuwa kwenye ‘Unyang’anyi wa kodi’ na sio ‘Ukusanyaji wa kodi’. Madam President ameongea vema sana jana kuhusu hichi kitu. Hichi ndio kikubwa ambacho kimeua confidence ya sekta binafsi, matokeo yake ikaathiri mzunguko wa pesa kwenye uchumi, kwasababu kumbuka sekta binafsi ndio haswa wateja wa mabenki ya kibiashara. Kwa kuthibitisha hilo angalia trend ya utoaji mikopo kuanzia mwaka 2010 enzi ya kikwete mpaka 2020. Enzi ya Kikwete sekta binafsi ilikuwa inakuwa kwa kasi sana n ahata unaweza kuona trend ya utoaji wa mikopo ambayo ilikuwa ni kwa wastani wa asilimia Zaidi ya 13% wakati ukuaji wa mikopo kwenye utawala wa Magufuli ni wastani wa asilimia 5.6% kwa miaka mitano iliyopita. So unaweza kuona ni kwa namna gani sera ya Magufuli kwenye kodi ilivoua sekta binafsi na ukuaji wa mikopo.
View attachment 1741641
View attachment 1741642
Kwa kuangalia data za ongezeko la ukusanyaji wa mapato kwa miaka 10 iliyopita pamoja na ongezeko la utoaji mikopo kwa sekta binafsi kama zilivo hapo juu, tunaweza kuwa na conclusion zifuatazo kuhusu uchumi wa Magufuli dhidi ya watangulizi wake.
- Kwa miaka mitano ya mwisho ya utawala wa Kikwete, kwa ujumla aliweza kuongeza kodi kwa karibu asilimia 88% kwa kuangalia kodi iliyokusanywa 2011 na ile iliyokusanywa 2015, wakati huo huo, sekta binafsi ilikuwa ikifanya vizuri kwa kuangalia uwiano wa mikopo na zao ghafi la ndani, ilikuwa ikipanda kutoka 12.21% mwaka 2011 mpaka 14.47% mwaka 2015 alipotoka madarakani. (Key note: Utawala wa Kikwete uliweza kuongeza makusanyo ya kodi mwaka hadi mwaka, na wakati huo huo sekta binafsi ilikuwa inamea mwaka hadi mwaka – Economically hii ndio tunaiita positive
- Kwa miaka mine ya Magufuli 2016 – 2019 (sikuweza kupata data za 2020), kwa ujumla aliweza kuongeza makusanyo ya kodi kwa asilimia 56% ndani ya miaka minne 2016 -2019, wakati huo huo mikopo kwa sekta binafsi ilianza kudorora kwa kuangalia uwiano wa mikopo na GDP ambao kwa miaka hiyo minne imekuwa ikienda chini kutoka ile peak iliyofikiwa na utawala wa kikwete ya 14.47% mwaka 2015 mpaka 12.05% mwaka 2019. Hii ki uchumi tunaiita growth ambayo ni negative, yaani GDP inakuwa lakini sekta ya mikopo inadorora, na unaweza kuona ni kipindi hichi hichi nchi ilikuwa na sera za kodi za unyang’anyi.
b) Kutokuongeza mishahara ya watumishi wa umma – ilikuwa pia ni lazima utawala wa Magufuli ufanye hichi kitu ambacho is unfair, kwa minajili ya kulinda pesa za kufanya miradi. Kwa miaka sita iliyopita, kipato cha mfanyakazi kimeporomoka karibu kwa asilimia 18% kutokana na kupanda kwa gharama za maisha na serikali kushindwa kuongeza mishahara.
c) Kuzuia fao la kujitoa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii – ambacho wengi hawajui ni kwamba katika harakati za kutafuta pesa za miradi, utawala wa magufuli ndani ya miaka 6, wamekopa Zaidi ya Trillioni 12 kwenye hii mifuko ya hifadhi ya jamii, kitu ambacho kimepelekea hii mifuko kuwa ni kama imefilisika na ndio maana ikabidi wazuie fao la kujitoa kwasababu mifuko imekaushwa na serikali.
d) Kukua kwa haraka kwa deni la serikali (madeni ya nje na ndani) – Hii ndo ilikuwa karata ya mwisho ya kupata pesa, kwa sababu njia zote tatu hapo juu ni kama hazikuzaa matunda. (Ntaelezea kwa mapana hichi kitu nyuzi zinazofuata)
Hayo ni baadhi ya mambo yaliyotokea kama sera za uchumi wa Magufuli ambao ntaendelea kuuchambua, ila kwanza nataka mnielewe taratibu ili tuweze kwenda sawa.
Kwa wale ambao wana mashaka na uchambuzi wangu kuhusu masuala ya kiuchumi naomba mpitie baadhi ya nyuzi zangu ambazo niliwahi kuandika kipindi cha nyuma na ambazo zitahusika moja kwa moja na uchambuzi kuhusu uchumi wa Magufuli. Naahidi kuwaletea vipande vipande na hoja chache chache ili msije kuchanganyikiwa na rundo la taarifa.
-----------------------------------------------------------------------------------------------------
1. Ukali wa maisha kwa watanzania - Serikali tafakarini kuongeza mishahara ya Watumishi wa Umma, ukali wa maisha ni bomu linaloua taratibu!
2. Kuadimika kwa saruji nchini - Serikali haiwezi kukwepa lawama ya kuadimika na kupanda kwa bei ya Saruji nchini. Waziri wa Viwanda ana kazi sana, kuna janga linatunyemelea
3. Uchumi bado upo kwenye mkwamo - ‘Namba zinanuka’ – kwanini nasema bado uchumi wetu upo kwenye mkwamo?
4. Serikali imedumaza mifuko ya hifadhi ya jamii - ‘Namba zinanuka’ – Serikali imechangia kudumaza mifuko ya Hifadhi ya Jamii
5. Uchumi wetu ni dhaifu - USHAHIDI: IMF hawajakosea, Uchumi wetu ni ‘DHAIFU’
Hilo ni tatizo lako.Unatulisha matango pori alafu tukubali tu.
Jomba umejitahidi kuchambua ila sina uhakika kama wewe ni mchumi...umechambua chambua lakini sijaona namna gani revenue ya Taifa kupitia madini na maeneo yanayofanana yalikuwaje...na hujatoa forecast ambayo in relate na Mali zetu tulizonazo na namna ambavyo tutazitumia..I believe investment ilikua inafanyika kwa sababu ya assurance ya assets na Mali nyingine tulizonazo kama mineral deposits .na for sure tuna uhakika wa kukopesheka popote duniani..of which sio kitu cha ajabu..hata Marekani inakopa, hata China inakopa...na balance sheet zinakaa sawia kabisa...hujazungumzia pia tuko middle income level, how do we progress and become sustainable. This is very important .how do we foresee in the next ten to twenty years...sijui kama umesoma FYDP 2020-2025..umeifanyia analysis? Mambo yako mengi uliyozungumza yana majibu mazuri tu mule..sasa jomba jipange sawasawa...njoo na a comprehensive analysis tupate picha ya uhakika na ukweliHabarini wakuu…