barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
HahahahMuda mwingine upole unatuponza. Ubabe Ni muhimu. "The great question of the day will not be settled by means of speeches and majority decision but by iron and blood".
Vyoo master siku hiziNi zaidi ya majirani. Jirani wa nje ukifunga geti lako hutamuona ila mpangaji mwenzio mtapishana hata chooni.
Hapo kwa muhaya ni ukweliNimepakana na Muhaya pamoja na vurugu zote alizonifanyia siku hizi anajifanya mwema kwangu.
Haipiti wiki lazima atagonga hodi kuja kwangu kusalimia namchora tu namuona mshamba wa maisha.
Wachaga vipiHapo kwa muhaya ni ukweli
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Usiombe upakane na mchaga au mhaya, mtagombania ardhi mpaka ahakikishe unaondoka duniani
Hiyo siyo kusolve question sasa, labda kudestroy questionMuda mwingine upole unatuponza. Ubabe Ni muhimu. "The great question of the day will not be settled by means of speeches and majority decision but by iron and blood".
Hiyo nazi π unaiokota, unamshukuru, unaichoma, unaikula π
Ndo maoni ya jilanHiyo siyo kusolve question sasa, labda kudestroy question
Kama tu unavyochoma ^key-a-zi^ kwenye oven na kulaNazi unaichomaje[emoji85]
Hilo jirani lako kama langu kabisa...ila watu wana maroho aseee [emoji134][emoji134]Jirani kanizibia njia ya kupitisha gari langu. Nimetoka asubuhi narudi jioni nakuta bonge la fence ukuta umepanda kozi 6. Tangu siku hiyo sina hamu nae, nikaongea na jirani wa pembeni akaniuzia njia TZS 1,000,000/= ndiko napitisha gari yangu siku hizi. Sasa kuna ujirani hapo
He he he[emoji16][emoji16]"Unapopata shida usiku wa manane ,jirani yako ndio wa kwanza kukusaidia ,hata vitabu vya Mungu viliandika mpende jirani yako kama unavyojipenda,Jirani yako ndio nduguyo" - African Stars - Jirani.
Imekuwaje mkuuMke wake
Mambo ya kikubwa wee acha tu...Imekuwaje mkuu
Ebu simulia japo kidogo mambo yakoBad enough unaweza kuchagua marafiki unaowataka lakini jirani unapangwa na Mungu, usiombe kupangiwa na kichomi utajuta.
Sikia kwa wenzako usiombe yakukute, kuna majirani visirani acha kabisa.
#Witnessj ebu tuambie yaliyokukuta hukoHilo jirani lako kama langu kabisa...ila watu wana maroho aseee [emoji134][emoji134]
Duh!!!!Pole sana MkuuJamaa kachimba choo karibu na dirisha la chumba cha kulala , nailamba harufu nzito ya ajabu . Cha ajabu hata juu hajafunika . We acha tu ni KERO
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app