Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

Chanzo cha yote ni hayo mazoea ya mwanzoni, mazoea ni mabaya sana
 
Ziba mkuuu acha undezi

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Mchaichai huwaga unaleta shida sehemu nyingi sana.. Mama mwenye nyumba tulipopanga aliung'oa kabisa yani kisa sisi tulikuwa tunachuma.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Wee jamaa hii chai walahi...[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Chanzo cha yote ni hayo mazoea ya mwanzoni, mazoea ni mabaya sana
Yah mwanzoni hata mimi kabla sijahamia nilijenga mazoea na wao kumbe wao wananilia timing wasinipe bara bara,,nawaambia bara bara yangu Vip blah blah kibao,
Kumbe walikuwa wanasikia Habari zangu kuwa huyu mtu ni kichaa hiyo siku ndo waliamini, mtaa mzima ulijazana,
Moja ya nyumba yake ilivunjwa nikapewa bara bara yangu, tangu hapo kila mtu anamuheshimu mwenzie na tumekuwa familia moja,
 
Mmmhhh ebu ongezea nyama! Ulivunja nyumba ya mtu
 
Mimi mtaani nilikuwa wa mwisho kujenga. Majirani wakamaliza viwanja vyao vyote wakawa wanatumia kiwanja changu kama njia. Yaani njia kiungo kama pale jangwani ukiziba watu inabidi wazunguke Kigogo au kinondoni.
Nilipoanza kujenga kila mtu anasubiri hatima ya barabara 'yao' wengine washaanza kutangaza barabara inafungwa.
Nilimaliza kujenga nikaacha njia kama Mita 4 hivi kifupi nilimega kiwanja changu kama sqm kama 100.
Sasa jamaa wa upande ule nilioacha barabara akaanza kujenga fremu nikamwambia hapo unajenga fremu unaweka milango kwenye eneo langu(barabara nilioacha) usijenge. Jamaa hakusikia. Nikamwambia ukimaliza kujenga naweka ukuta kwenye eneo langu tusilaumiane. Nikamtaarifu mjumbe nitakachofanya. Jamaa akaacha akajenga mbele ya nyumba yake. Mpaka leo haongei na mimi kanipunguzia watu wapuuzi wa kuwasalimia.
 
Kuna jirani yangu mmoja hadi sasa alishasogeza kama Mita mbili kwenye eneo langu, nilichofanya nikamuuliza anadhani mpaka unaishia wapi kanielekeza namimi nikapanda mchongoma, cha ajabu mchongoma pia kauhamishia mbele kabisa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Ubinadamu kazi aiseee
 
Kiwanja changu ni cha kati kati, Leo naenda kusogeza mpaka kama mita 4, ni njia imeachwa loose maana wenye viwanja vya juu wameifunga njia,...sijui itakuwaje huko mbeleni..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…