Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,324
- 6,657
huwa mnapendelea harufu au?[emoji28][emoji28]..niliwah kwenda moshi mbona nilidata na maua...yaan nilisafiri na maua utanionea hurum..yaan kwangu mark ya kwanza wanapaita kwenye nyumba yenye maua mengi..napenda maua had naumwa.
Yananicost balaa
umempa lift anataka apige na honi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Jiran nilimruhusu aje ghetto awe anachek mechi kistaarabu tu siku zilivyozid kwenda akawa hana adabu siku nyingine anakaa kwenye kochi yangu anaweka miguu yake michafu kwenye kochi zangu, akaona haitoshi akaanza kualika na marafik zake wengne had Leo hii gheto kwangu ikifika siku ya mechi wanajaa kama banda la video alaf wao ndo wanashika remote...
ila sijagombana nao nimeamua nitulie tu na roho yangu ya kiume sitak ugomv kisa vitu vdogo
Nakubali...!Usiombe upakane na mchaga au mhaya, mtagombania ardhi mpaka ahakikishe unaondoka duniani
Kuna siku ghetto nlitoka kdog kwenda dukan kurudi nilikuta wamechemsha maji kwa heater alaf wamegawana vikombe wanakunywa Chai wamechana na teabags zangu kwanzia siku hiyo nikawa naweka vyakula mbali alaf ni watu wazima wameshaowa ni mm peke yangu ndo sjaowa lakin hawaon kuwa wananiharibia bajet zangu, hiv unaanzaje kula vyakula kwa mtu bila kualikwa? Yan ujipakulie tuumempa lift anataka apige na honi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Aisee itakuwa nomaView attachment 1736211
Umeona hiyo Beacon? Kajenga hivo hivo mpk kule juu. Nata nami niumanishe hapo pembeni msingi wangu alafu bati langu lishuke kidogo ili maji yamwagike dirishani kwake , option ya pili basi akate mabati yake yasining’inie kwenye kiwanja changu.
Ni kuhusu maua au mchai mchai? Yes unasmell goodhuwa mnapendelea harufu au?
Labda urafiki wenu mmeshibanaKuna siku ghetto nlitoka kdog kwenda dukan kurudi nilikuta wamechemsha maji kwa heater alaf wamegawana vikombe wanakunywa Chai wamechana na teabags zangu kwanzia siku hiyo nikawa naweka vyakula mbali alaf ni watu wazima wameshaowa ni mm peke yangu ndo sjaowa lakin hawaon kuwa wananiharibia bajet zangu, hiv unaanzaje kula vyakula kwa mtu bila kualikwa? Yan ujipakulie tu
Shida kubwa kama Una kiwanja kikubwa ukuta unakula matofali yanayoweza kujenga boma zima hapo ndio unaona hapana ukuta baadae.Kwahiyo ni bora kiwanja ukazungusha ukuta kwanza hata kama huna ya kujenga ilu kujiepusha na kuibiana mipaka wadau??
Siku akipika yeye Vipi hakuletei na wewe uonje?Kuombaomba vitu vidogovidogo kila mara. Akisikia harufu ya nyama au samaki anakuja mbio na kibakuli chake huku kashikilia dera lake na mkono mmoja.
Ni kweli,ila da ukuta wakati mwingine ni ghali kuliko garama ya nyumba.Kwahiyo ni bora kiwanja ukazungusha ukuta kwanza hata kama huna ya kujenga ilu kujiepusha na kuibiana mipaka wadau??
Kama kiwanja kikubwa jenga hata kozi 4 tuu mipaka ijulikane baadae utamaliziaShida kubwa kama Una kiwanja kikubwa ukuta unakula matofali yanayoweza kujenga boma zima hapo ndio unaona hapana ukuta baadae.
maua.nilitaka nipate maua mazuri nikajaribu kwenye bustani yangu nione hiyo harufu nzuriNi kuhusu maua au mchai mchai? Yes unasmell good
inabidi uwafungie vioo ishakuwa kero sometime ni bora mtu uwe kauzuKuna siku ghetto nlitoka kdog kwenda dukan kurudi nilikuta wamechemsha maji kwa heater alaf wamegawana vikombe wanakunywa Chai wamechana na teabags zangu kwanzia siku hiyo nikawa naweka vyakula mbali alaf ni watu wazima wameshaowa ni mm peke yangu ndo sjaowa lakin hawaon kuwa wananiharibia bajet zangu, hiv unaanzaje kula vyakula kwa mtu bila kualikwa? Yan ujipakulie tu
pole sana usilie tena ni mambo yanayotokea duniani ila ukimweleza mtu hataweza kukuelewa sahau na usamehe.Huu uzi umefanya nikumbuke mbali sana....mpaka nimelia.
Asante mkuu Alvin Slain.pole sana usilie tena ni mambo yanayotokea duniani ila ukimweleza mtu hataweza kukuelewa sahau na usamehe.
Ohhh maua yako mob balaa..nenda kanunue roses...yako.meng yenye harufu nzur inategemea unapenda harufu ipi...kuna mti unatoa harufu nzuri sana usk...maua.nilitaka nipate maua mazuri nikajaribu kwenye bustani yangu nione hiyo harufu nzuri