Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
hahahahaha, hawataki ile hali ijirudie, wako na plan za muda mfupi,muda wa kati na muda mrefu, mbaya au nzuri jamaa wanashirikisha hadi vyombo vya dola,swali kuu nini kilipelekea ile hali,nini kifanyike, sasa wameanza utekelezaji , kuna vitu mtakua mnaona kama masihara kumbe ndio mnajaa hivyo kwenye 18tatizo lipo hapa
wapinzini hqwataki kukubali
Noma wanataka kutufanyaje
nakukubalia kabisaKwa aina ya upknzani CCM bado ipo sana
Na hao watu ndio wengi Nchini !hahahahahaha, huo mtego ccm wameuacha makusudi , ili utoke hapo ni wewe mwenyewe binafsi uone hali halisi, nje ya hapo ngumu. umasikini,ujinga, uelewa mdg, kushindwa kuchambua mambo ndio mtaji wa ccm
na ndio kura zao zilipo , usiwadharau hao layman mkuu, na mbaya ccm hao watu wanawapa nafasi ,kumbuka kule kwao ni ujue kusoma tu na kuandika tuNa hao watu ndio wengi Nchini !
Kuanzia wakubwa mpaka wadogo !
Wewe inabidi tuongee vizurihumu sio wote GT wengine ni hoya hoya tu , nilikua nawachora watu kipindi cha kampeniii humu, eti hatoboi hatoboi, wakawa wanapewa info za uongo wakiamini kweli kumbe wenzao wanawachora tu, na kuwacheka
hahahahaha, karibu MkuuWewe inabidi tuongee vizuri
Exactly ,na ndio kura zao zilipo , usiwadharau hao layman mkuu, na mbaya ccm hao watu wanawapa nafasi ,kumbuka kule kwao ni ujue kusoma tu na kuandika tu
Hakuna kitu kinanikera kama hizi mambo aiseehahahahaha, karibu Mkuu
hapa kati mlitestiwa je mnal lolote mnajua khs Mama? mkajimaliza weee, hahahha,
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya TanzaniaWTumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzaniaaweke na ya mdude chadema
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania, wanuka uchi kweli wanatushauri ujinga nani atoke ?vipi mkuu keshokutwa utatoka? au kazi yako kuhamasisha wengine tu
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanuka uchi wanatuchezesha kimaisha kweli?Mbinu zao sio za kishamba kwa sababu mara zote huibuka washindi huwezi kusema mtu anatumia mbinu za kishamba huku ana kubagaza
Ni kukubali kua adui amekuzidi mbali ili ujipange kikamilifu
Huko kudogosha mbinu za CCM ndio udhaifu ulipo na gori linafungwa
Tatizo sio Maria sarungi au MangeTumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanuka uchi wanatuchezesha kimaisha kweli?
ila hawa ndo wanaochochea uhalifu sana , mfumo mbaya utabadilishwa ndani sio kwa uhuni kama huuTatizo sio Maria sarungi au Mange
Tatizo sio CCM
Adui wa taifa ni mfumo uliopo
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanuka uchi wanatuchezesha kimaisha kweli?Wananchi siyo Wajinga kama mnavyodhani.
Huwezi kuzuia Ibada ya Maombolezo kwa Propaganda za kijinga namna hii
mude nyagali alipatikana enheee enheeee enheeeee haaaaaa ahaaaaaa wajina nyumbu pori wataisha mwaka huuMwaipaya mshampata? Au ndio kudandia kila linalokuja? Au ndio maana ya akili kubwa? Ahahahahaha!!
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanuka uchi wanatuchezesha kimaisha kweli?Mbinu zao sio za kishamba kwa sababu mara zote huibuka washindi huwezi kusema mtu anatumia mbinu za kishamba huku ana kubagaza
Ni kukubali kua adui amekuzidi mbali ili ujipange kikamilifu
Huko kudogosha mbinu za CCM ndio udhaifu ulipo na gori linafungwa
mitego kama ile ndio inawapa mwanga kuwa kumbe hawa watu hawajui lolote ni waokota story, eti mtu anakuambia chanzo cha ndani kimenipa kumbe katestiwa je unajua nini huku? kuna siku ni kawe kwa mh Mkuu, mh anacheza na wajukuu, huku JF wakaja na uzi eti kakata moto, dah nilicheka sana nikasema kweli serikali inajua inachofanya , kesho yake mh akapaa zake shinyanga na tabora kukaagua miradi ya taasisis yakeHakuna kitu kinanikera kama hizi mambo aisee
Kuna member na muheshimu
Akaja na uzi wa udaku kuhusu hii issue nilishangaa kumbe kua mtu mzima haina maanaa........?
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanuka uchi wanatuchezesha kimaisha kweli?hahahahaha, hawataki ile hali ijirudie, wako na plan za muda mfupi,muda wa kati na muda mrefu, mbaya au nzuri jamaa wanashirikisha hadi vyombo vya dola,swali kuu nini kilipelekea ile hali,nini kifanyike, sasa wameanza utekelezaji , kuna vitu mtakua mnaona kama masihara kumbe ndio mnajaa hivyo kwenye 18
Mnawapa kete ya kuchochea hicho unachokiita uhalifuila hawa ndo wanaochochea uhalifu sana , mfumo mbaya utabadilishwa ndani sio kwa uhuni kama huu