Hapo kwenye mawasiliano ndio utasubiri sana[emoji23][emoji23]
Alishategeneza base yake, wewe hangaika kutafuta utakutana nazo zikiwa zinauzwa rejareja na watu wengine.
Safari ya kwanza kila kitu juu yakeMshahara wa beki tatu mpk ufikie huko si ntazeekea kwa boss [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ushamba bado upo sijui hata mbussu inafananajeSasa Joannah kaingiaje hapa mdogo wangu?
Mimi nawe tumewahi koseana popote?
Ushamba ninaongelea ni jina lako tu
Nilipiga na pilau kuku[emoji23]Ya wapi hiyo sijawahi kuisikia au kwa vile me sio mlevi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza wanapenda kukopa, kulipa shida
Wacongo anachukua pisi 200 kwa cash zote og na bado anakupa order ulete na zingine na advance anatoa kabla hata ya mzigo.
Sema cute kanifundisha vingi aisee [emoji1787][emoji1787]
Jirani kwa kantrii
Nilipiga na pilau kuku[emoji23]
U
naharibu tulia mimi napita baki na kantrii alaa
Safari ya kwanza kila kitu juu yake
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nijifunike nicheke sauti isitoke nje, majirani wasije kuniona maralia imepanda
Uone pilau?Tuone [emoji23][emoji23][emoji23]
Nawapenda wote[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo Kantri sijui kakimbiwa na mkewe, muda wote ananilia mingle. Simuelewi kabisa ananitaka nini!!! [emoji23]
Ngoja nimtag tuanzie humu alafu tumalizie pembeni Cute WifeKweli? [emoji1787][emoji1787]
Fanya chap kuniunganisha naye bas
[emoji23][emoji23]
Uone pilau?
Nawapenda wote[emoji23]
Kwa... jamani anzisheni mada za kuchochea mawazo ya kulipelekea taifa mbele - changamoto za kijamii, kiuchumi, kisiasa, kimaadili, ajira, n.k. Hizi akili za kila mara kuwaza katikati ya magoti na kitovu cha mwanamke, "Tigers of the East" tutaendelea kuimba kama kasuku tu.