Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Kwanza wanapenda kukopa, kulipa shida
Wacongo anachukua pisi 200 kwa cash zote og na bado anakupa order ulete na zingine na advance anatoa kabla hata ya mzigo.

Sema cute kanifundisha vingi aisee [emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nijifunike nicheke sauti isitoke nje, majirani wasije kuniona maralia imepanda
 
U

naharibu tulia mimi napita baki na kantrii alaa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo Kantri sijui kakimbiwa na mkewe, muda wote ananilia mingle. Simuelewi kabisa ananitaka nini!!! [emoji23]
 
... jamani anzisheni mada za kuchochea mawazo ya kulipelekea taifa mbele - changamoto za kijamii, kiuchumi, kisiasa, kimaadili, ajira, n.k. Hizi akili za kila mara kuwaza katikati ya magoti na kitovu cha mwanamke, "Tigers of the East" tutaendelea kuimba kama kasuku tu.
Kwa
Hiyo kwenye huu Uzi hujaona "changamoto za kijamii"?
 
Back
Top Bottom