Huyu dogo mshamba_hachekwi atakuwa ana sup tatu zinamsumbua akili...asameheweπ₯π₯π₯Sasa Joannah kaingiaje hapa mdogo wangu?
Mimi nawe tumewahi koseana popote?
Ushamba ninaongelea ni jina lako tu
Msalimie Countrywide π π πMe wa mji kasoro bahari mbona [emoji1787][emoji1787]
Nipo Beshte yangu....Miss you.Na mm nikasema ngoja nianze nae taratibu... [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Upo lakini beshte...umepotea mmeniacha mwnyw jukwaani kule...
πππKuna jiraniyangu nilikuwa napiga nae story mara nikapita status namuona kama mturuki hivi nikashangaa ikabid nimuulize hapohapo kama ni yeyeπππ
Mbona waturuki na mablack americans ni wengi sana ππππKuna jiraniyangu nilikuwa napiga nae story mara nikapita status namuona kama mturuki hivi nikashangaa ikabid nimuulize hapohapo kama ni yeyeπππ
ππJana nimekuta mdogowang kawa mzungu na wig la million 2 aiseπππMbona waturuki na mablack americans ni wengi sana π
Kuna mmoja kapost huko fb na maneno ya shombo kibao ila tunaomjua tunabaki kuduwaa tu kwa jinsi alivyo.
Alafu anaomba vocha ya jero ππππJana nimekuta mdogowang kawa mzungu na wig la million 2 aiseπππ
ππNdo maajabu yalipo SasaAlafu anaomba vocha ya jero ππ
Nipe username yako ya fb nikaone hizo shombo jirani πMbona waturuki na mablack americans ni wengi sana π
Kuna mmoja kapost huko fb na maneno ya shombo kibao ila tunaomjua tunabaki kuduwaa tu kwa jinsi alivyo
Goodmorning dear...Nipo Beshte yangu....Miss you.
Mambo tu yanakuwa mengi...Nimerudi sasa..
Good Morning..
π sasa utaonaje kwani mim ndie niliepost? User name inayotakiwa ni ya mpost shomboNipe username yako ya fb nikaone hizo shombo jirani π
ππ hii imeenda nawewe ebu picha yako ukiwa TexasππNdo maajabu yalipo Sasa
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Goodmorning dear...
Welcome back...
Naona jana uliwapikiamo wageni chakula kitamu kweri kweriπNipe username yako ya fb nikaone hizo shombo jirani π
ππHata sijui inapatikana wapiππ hii imeenda nawewe ebu picha yako ukiwa Texas
We ndio utak unywele wa bei ghali πππHata sijui inapatikana wapi
Tangu nizaliwe sijawah suka nywele ya kufikia Elfu 70 πππ ndo nikaupate huko labdaWe ndio utak unywele wa bei ghali π
Uje usuke hata mara moja ntalipa alafu utalipia kidogo kidogo π πTangu nizaliwe sijawah suka nywele ya kufikia Elfu 70 πππ ndo nikaupate huko labda