Ndio yeye π€£π€£Huyu ndyo alituambia mapenzi na shule ni mlenda na pilau enhe πππππ
π€£π€£π€£π€£usinifungie nitakula na nani?
πkwani wapare sio watu?
π€£π€£π³ kumbe sio siri tena ππ
Babe gani tena na nipo singo?π€£π€£π€£π€£
Utampelekea babe wako,
Wapare watata sana!!
Mh hakika show ni kali πππ€£π€£
Ndio hivo bhana
Babu nitumie hiyo laki nije π€£π€£Hadi akutumie picha za Photo Lab kwani umeshindwa kumuomba mkutane kwaajili ya Dates ya kufahamiana?
Hakuna sehemu Tanzania hii nauli inafika Laki 1 kwa basi.
Kama anaishi Kigoma mtumie nauli mkutane hata Dodoma
Kama anaishi Ruvuma, mtumie nauli mkutane Iringa n.k
Wakati mwingine tutambue kuwa Mahusiano ni Uwekezaji pia.
Kwahiyo utachagua mwenyewe uletewe Picha za PhotoLab ama mtumie nauli muonane physically.
Kwa Wazee kama Sisi, hatuhangaiki na Picha. Maana tunauishi Msemo wetu wa "Hakuna Kuuziwa Mbuzi kwenye Gunia".
Unamkana? π€£π€£π€£Babe gani tena na nipo singo?
Watata ndio wazuri π
Najua unajua π€£π€£π€£Mh hakika show ni kali ππ
Ila hamna sina nnaemuangaikia
Najua hujui chochote maana hakuna chochoteNajua unajua π€£π€£π€£
Mimi sina babe popote pale hapa dunianiUnamkana? π€£π€£π€£
π€£π€£π€£Mwanyekiti na katibu wameangukia pua sijui itakuwaje Sasaπππ€£π€£π€£
Sisy nimecheka km mwehu!!
Mwenyekiti wetu Vicky Kamata anatuwakilisha vyema na Katibu waje J Ntyubaliwe π€£π€£π€£
Tulia, tusichafue hali ya hewa π€£π€£π€£Najua hujui chochote maana hakuna chochote
Hahahaha....................hivi namba ya kupokelea hela ni ile ile? π€ͺBabu nitumie hiyo laki nije π€£π€£
Njoo pm una kitu utanfikisha mbali πTulia, tusichafue hali ya hewa π€£π€£π€£
Sawa, uzuri huchelewi kujimixMimi sina babe popote pale hapa duniani
π labda sio mimiSawa, uzuri huchelewi kujimix
Ntakubananisha tyuuu!! ππ
Wakate rufaa π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mwanyekiti na katibu wameangukia pua sijui itakuwaje Sasaππ
Ile ile babu usikosee π€£π€£Hahahaha....................hivi namba ya kupokelea hela ni ile ile? π€ͺ
Wazee hatuna haja ya kutumiwa Photolab wakati Pension ipo π€