Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Ndio yeye 🤣🤣Huyu ndyo alituambia mapenzi na shule ni mlenda na pilau enhe 😆😆😆😆😆
Ss hivi sio mdau wa Elimu na Maendeleo, kawa wa masuria.
Ss sijui atakuja na nyimbo ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio yeye 🤣🤣Huyu ndyo alituambia mapenzi na shule ni mlenda na pilau enhe 😆😆😆😆😆
🤣🤣🤣🤣usinifungie nitakula na nani?
😂kwani wapare sio watu?
🤣🤣😳 kumbe sio siri tena 😂😂
Babe gani tena na nipo singo?🤣🤣🤣🤣
Utampelekea babe wako,
Wapare watata sana!!
Mh hakika show ni kali 😂😐🤣🤣
Ndio hivo bhana
Babu nitumie hiyo laki nije 🤣🤣Hadi akutumie picha za Photo Lab kwani umeshindwa kumuomba mkutane kwaajili ya Dates ya kufahamiana?
Hakuna sehemu Tanzania hii nauli inafika Laki 1 kwa basi.
Kama anaishi Kigoma mtumie nauli mkutane hata Dodoma
Kama anaishi Ruvuma, mtumie nauli mkutane Iringa n.k
Wakati mwingine tutambue kuwa Mahusiano ni Uwekezaji pia.
Kwahiyo utachagua mwenyewe uletewe Picha za PhotoLab ama mtumie nauli muonane physically.
Kwa Wazee kama Sisi, hatuhangaiki na Picha. Maana tunauishi Msemo wetu wa "Hakuna Kuuziwa Mbuzi kwenye Gunia".
Unamkana? 🤣🤣🤣Babe gani tena na nipo singo?
Watata ndio wazuri 😁
Najua unajua 🤣🤣🤣Mh hakika show ni kali 😂😐
Ila hamna sina nnaemuangaikia
Najua hujui chochote maana hakuna chochoteNajua unajua 🤣🤣🤣
Mimi sina babe popote pale hapa dunianiUnamkana? 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Mwanyekiti na katibu wameangukia pua sijui itakuwaje Sasa😄😄🤣🤣🤣
Sisy nimecheka km mwehu!!
Mwenyekiti wetu Vicky Kamata anatuwakilisha vyema na Katibu waje J Ntyubaliwe 🤣🤣🤣
Tulia, tusichafue hali ya hewa 🤣🤣🤣Najua hujui chochote maana hakuna chochote
Hahahaha....................hivi namba ya kupokelea hela ni ile ile? 🤪Babu nitumie hiyo laki nije 🤣🤣
Njoo pm una kitu utanfikisha mbali 😂Tulia, tusichafue hali ya hewa 🤣🤣🤣
Sawa, uzuri huchelewi kujimixMimi sina babe popote pale hapa duniani
😂 labda sio mimiSawa, uzuri huchelewi kujimix
Ntakubananisha tyuuu!! 😂😂
Wakate rufaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwanyekiti na katibu wameangukia pua sijui itakuwaje Sasa😄😄
Ile ile babu usikosee 🤣🤣Hahahaha....................hivi namba ya kupokelea hela ni ile ile? 🤪
Wazee hatuna haja ya kutumiwa Photolab wakati Pension ipo 🤗