Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Hadi akutumie picha za Photo Lab kwani umeshindwa kumuomba mkutane kwaajili ya Dates ya kufahamiana?

Hakuna sehemu Tanzania hii nauli inafika Laki 1 kwa basi.

Kama anaishi Kigoma mtumie nauli mkutane hata Dodoma

Kama anaishi Ruvuma, mtumie nauli mkutane Iringa n.k

Wakati mwingine tutambue kuwa Mahusiano ni Uwekezaji pia.

Kwahiyo utachagua mwenyewe uletewe Picha za PhotoLab ama mtumie nauli muonane physically.

Kwa Wazee kama Sisi, hatuhangaiki na Picha. Maana tunauishi Msemo wetu wa "Hakuna Kuuziwa Mbuzi kwenye Gunia".
 
Babu nitumie hiyo laki nije 🤣🤣
 
Back
Top Bottom