Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Tunakula tu na hata tukija tunajua utakimbia mwenyew stendi
Hahaha....................ukila nauli nakutumia tena, Kwanza Wazee tunamsemo wetu kuwa "Mkulima hachagui jembe"

Ukiwa na Sura ya Baba, nachukua taulo nakufunika usoni, mengine tunaendelea πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Nimeshuhudia sasa hivi,asee kuweni makini nimeangalia status ya mtu nakaa naye hapahapa kilichonishangaza katoka cheusi mangala kawa cheupe dawa na brazilian hair

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Hii imeenda mkuu. Njia rahisi ni kupiga video call ili ujionee mzigo live bila chenga. Tumechoka kuuziwa mbuzi guniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…