Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Ndio shem wake kyuti, nataka niwasaidie wanaopenda kuwa weupe wasiteseke kutumia photo lab [emoji1787][emoji1787]
Waambie hii kitu ni moto km waarabu wa dp weldi vile watakavyo shine [emoji1787][emoji1787]
Usisahau kuwawekea jikii, beii iwe nafuu, afu kwa mafungu, buku kwa jeroo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu na mikorogoo yao mjinii.
 
Hao sasa wanataka kula nauli za nani?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Toleo jipyaa utawawezaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamepania kukwapua waume zenu.
 
Kuziuzia huku wapi? Alafu Lv na Zara ni nguo tu? Hakuna viatu, handbags?

Dogo mbona unaulizia maswali ukiwa unataka majibu ya harakaharaka. Uliza taratibu leo kanipa ruhusa nijibu

Unakunywa nini leo?
Cocastic mchukue shem wako anaanza kutoa siri za mkewe [emoji1787][emoji1787]
Anakoelekea sio kuzuri kabisa
 
Unakunywa nini leo?
Cocastic mchukue shem wako anaanza kutoa siri za mkewe [emoji1787][emoji1787]
Anakoelekea sio kuzuri kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shem na huyo Dogo wa MUST hawajawahi kuelewana.
Sijui shida nn yaan.
 
Usisahau kuwawekea jikii, beii iwe nafuu, afu kwa mafungu, buku kwa jeroo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu na mikorogoo yao mjinii.

Hilo limezingatiwa na maji ya betri kwaajiri ya kuchachua [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nacheka km chizi hapa
 
Ndugu watoto wakiume, wavulana, vijana na wanaume wote bila kusahau wazee wetu wanaume

Nawasalimu nyote kwa Jina la Jamuhuri ya wana JF.

Na wote tuseme JF idumu milele.

Ndugu zangu ujio wa app ya photo lab upo mjini na wale wazee wa kuview mapicha picha pamoja na kutumiwa picha tuweni makini sana tujitahidi kuonaa na watoto wa kike, mabinti pamoja na wanawake ana kwa ana (uso kwa uso) na siyo kutegemea kutumiwa picha ndugu zangu.

Teknolojia imekua na kila siku kuna ujio wa vitu vizuri vizuri ili kurahisisha maisha na kupendezesha dunia.

Ujio wa app ya photo lab umefanya picha za wanawake ziwe nzuri zaidi hivyo tujitahidi pia kukutana nao uso kwa uso kabla ya kuanza kuwekeza akili huko.

Naomba kuwasilisha.
aise hiyo app ni moto,
itasababisha watu wanaume wengi kusitisha kutoa mahari aisee dah!!!
 
... jamani anzisheni mada za kuchochea mawazo ya kulipelekea taifa mbele - changamoto za kijamii, kiuchumi, kisiasa, kimaadili, ajira, n.k. Hizi akili za kila mara kuwaza katikati ya magoti na kitovu cha mwanamke, "Tigers of the East" tutaendelea kuimba kama kasuku tu.
Tuanzie kwako...unafanya nini humu?
 
Back
Top Bottom