Shamuse_bey
JF-Expert Member
- Jun 15, 2026
- 467
- 601
Mwenyezi Mungu ameumba idadi kubwa sana ya wanawake kuliko wanaume.
Yani uwiano wa mwanamke kwa mwanaume ni 3:1 na hata sayansi (genetics) imetuthibitishia hilo.
Sasa tamaa za kimwili zikizidi matokeo yake majuto yasiyokwisha maisha yako yote mpaka unaingia kaburini.
Hakuna kitu cha aibu kama mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbile na mbaya zaidi wengi wanaofanyiwa hivyo huwa wanafanyiwa na mtu zaidi ya mmoja (3 na kuendelea )mwisho wa siku wengi huishi kwa sonona / aibu wengine wanathirika zaidi na kugeuka mashoga wa kudumu.
Kuna mwenzetu humu yamemkuta, sitataka nimuelezee kiundani ila yeye akisoma huu uzi atajijua , na hili pia liwe funzo kwa wengine wanaomendea wake za watu.
Kaa mbali sana na mke wa mtu, wanawake wapo wengi sana
Kama mkifikia hatua ya kuvunjika kwa ndoa kunapaswa kufanyika kwa utaratibu wa kisheria na kwa heshima, badala ya kuanzisha uhusiano mpya kabla ndoa iliyopo haijamalizika rasmi. sawa bwashee ?3. Ndoa ivunjike, wanaopendana wakaishi pamoja.
Watu wanaweza kuanza kutesti kwanza kabla ndoa haijavunjika, mbona vijana huwa wanaanza kula tunda kabla hawajafunga ndoa.Kama mkifikia hatua ya kuvunjika kwa ndoa kunapaswa kufanyika kwa utaratibu wa kisheria na kwa heshima, badala ya kuanzisha uhusiano mpya kabla ndoa iliyopo haijamalizika rasmi. sawa bwashee ?
upo sahihi kiongoziWatu wanaweza kuanza kutesti kwanza kabla ndoa haijavunjika, mbona vijana huwa wanaanza kula tunda kabla hawajafunga ndoa.
Wanadanganya au sio😅?Kuna kakikundi kameibuka siku za hivi karibuni kanaleta sera za "Ooh, hata ufanyaje jua mkeo wanamla tu".
Bablai, we kula tu wake za watu, ila omba usishikwe! Ukiingia kwenye 18, utajua haujui!
waoane kabisa, kuna misikiti, makanisa, bomani na milani wakafunge ndoa huko, vinginevyo wivu usiwepo kwa kuwa we mwanaume uliyesogeza mwanamke mkawa mnaishi naye huyo si mkewe, wengine nao watamla tuUnakuta watu wanaishi zogeza tukae halafu akikukuta unamshenyeta hawara wake anasema umemgegeda mkewe
Kwani huyo mwanaume ndo amekuaa amemuumba mwanamnke? Umesalitiwa toa taraka. Mimi ukinikamata ugoni muulize mkeo kwanini anazini, lakini ukisema unakuja kibabe kwangu ujue kuna mawili, ufe au nife. Huwezi kuniingilia kinyume cha maumbile kifara hivo. Mwanamke sio mali yako. Mie nikimkamata ugoni wife ndoa ndo inaishia pale. Kwanini nimetese mwanaume mwingine kisa meanamke?Mwenyezi Mungu ameumba idadi kubwa sana ya wanawake kuliko wanaume.
Yani uwiano wa mwanamke kwa mwanaume ni 3:1 na hata sayansi (genetics) imetuthibitishia hilo.
Sasa tamaa za kimwili zikizidi matokeo yake majuto yasiyokwisha maisha yako yote mpaka unaingia kaburini.
Hakuna kitu cha aibu kama mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbile na mbaya zaidi wengi wanaofanyiwa hivyo huwa wanafanyiwa na mtu zaidi ya mmoja (3 na kuendelea )mwisho wa siku wengi huishi kwa sonona / aibu wengine wanathirika zaidi na kugeuka mashoga wa kudumu.
Kuna mwenzetu humu yamemkuta, sitataka nimuelezee kiundani ila yeye akisoma huu uzi atajijua , na hili pia liwe funzo kwa wengine wanaomendea wake za watu.
Kaa mbali sana na mke wa mtu, wanawake wapo wengi sana usijiharibie uanaume wako kwa kutamani wake za watu, kwanza unajiweka hatarini zaidi pindi ukigundulika maana comeback ya mwenye mke asilimia kubwa huwa ni ya kinyama sana.
Chunga tamaa mbaya, usione vyaelea ujue vimeundwa.