Kweli nimekulia Mara sijawahi kusikia haya mambo, nimekuta pwani. Kule Mars wanakuua na mapanga...Pwani wanaume wa Dar wanakuf!rahao mapadri "walibaka" wanaume? kwa arabs wanaume wanabakwa zaidi na wanaume klk wanawake na siyo kwamba nasema ni sawa kubaka, la hasha, ila nataka tu kusema ni wapi hii tabia iliyoenea hapa tanzagiza pwani, zanzibar na mombasa ya kubaka wanaume kama form ya punishment inakotokea, kwa maana siyo utamadunia wetu ...
Na wengi wanaojifanya wana uchungu wamefanya kusogeza tu kama wanasogeza mizigowaoane kabisa, kuna misikiti, makanisa, bomani na milani wakafunge ndoa huko, vinginevyo wivu usiwepo kwa kuwa we mwanaume uliyesogeza mwanamke mkawa mnaishi naye huyo si mkewe, wengine nao watamla tu
Wanajazana upepo😀Wanadanganya au sio😅?
Wanavizia kibunda dawa ni kuwapuuzia tu na kuwa kauzuLakini nao hao wake waache uchokozi. Sijui ni kwangu tu au ni general
Hivi wakina Anko T ni watu wa kutokea pwani?Na je wadhamini wao wale wanaowateteaga kwa kivuli cha haki za binadamu kisha wanawahamisha nchi na kuwaalika Marekani pia ni watu wa pwani au ni waarabu?huo ushenzi na ufirauni ni matokeo ya arab influence, kwenye mila na desturi zetu za kibantu hata hakuna mambo ya wanaume kubaka mwanaume mwingine kama form of punishment, tembelea vijiji vyetu mikoani au uliza watu waliokulia vijijini kama walishawahi kusikia mwanaume kabwakwa na kundi kundi la wanaume wenzake, uliza wamasai kama wana huo ushenzi na ufirauni.
huo ushenzi uko pwani tu ambako kuna arabic influence btw hata north afrika kuna ushenzi na ufirauni hivyo hivyo kama pwani ya tanzagiza, zanzibar au mombasa kwamba kundi la wanaume wanalawiti mwanaume mwenzao ...
Waisrael ni watu wa jamii gani?labda hufahamu maana ya neno arabIsrael sio Arabs
Hivi wakina Anko T ni watu wa kutokea pwani?Na je wadhamini wao wale wanaowateteaga kwa kivuli cha haki za binadamu kisha wanawahamisha nchi na kuwaalika Marekani pia ni watu wa pwani au ni waarabu?
Hizi ni stori za kusadikika tu ni uvumi na uzushi mimi nimekaa uarabuni sijawahi kuwaona hao mashoga
Uhakika."Mke wa mtu ni sumu"
Mimi hata wakae uchi,sishtuki. Nina mambo ya muhimu sana ya kudeal nayo!. Wakawachokoze waume zao huko!.Lakini nao hao wake waache uchokozi. Sijui ni kwangu tu au ni general
Siwezi kuthibitisha kitu ambacho sijakiona kwa macho yangu kwa kusikia tu.haya sasa elezea kwa nini mambo ya ufirauni na ushenzi yako zaidi magomeni, ilala, mwananyamala, zanzibar na mombasa? kwa nini hatuyasikii mbeya, songea, mpanda, musoma au hata bariadi? au kwa nini kwa kenya hatuyasikii wakikuyu au wajaluo lkn only mombasa? isitoshe hapa tunaongelea ushenzi wa makundi ya wanaume kubaka mwanaume mwingine kama adhabu, huu ushenzi kwa nini mikoani kwetu hauko? kwa nini umeshamiri tu zanzibar, mombasa, magomeni, ilala, kariakoo? ...
Siwezi kuthibitisha kitu ambacho sijakiona kwa macho yangu kwa kusikia tu.
Ili niweze kuthibitisha lazima kwanza nitembee mikoa yote na kulinganisha ila sio kwa kusikia tu na uvumi
wewe ulishatembelea mikoa yote ukalinganisha au umesikia tu?sawa, basi ukimaliza kutembelea unaweza kurudi tena hapa na mrejesho kama ukipenda, internet inaweka records ...
Ushawahi troka na mke wa mtu mailavu akee????
Dah, fedheha kubwa sana hiyo... hapo kavuliwa uanaume wake wote.Uhakika.
Huku. mchizi wamemfira kama mke wao mpaka mitandao ya kijamii amefuta pich zake .
Sina kumbukumbu...Ushawahi troka na mke wa mtu mailavu akee????
Imeisha hioooo!!!Sina kumbukumbu...